Domant phone numbers wanazogawiwa wateja wapya

kuna moja niliisajili mwaka jana nilipotua tu Tanzania airport baada ya saa 24 nakutana na meseji za kukumbushwa marejesho ya deni la benki, kuna meseji za risiti za NHIF kila wakati jamaa akipatiwa huduma hospitali zinaingia kwenye hiyo laini .. aaah nikaitupaa..
 
Na wengine hawakwambii hayo moja kwa moja, wanakutrick mkutane sehemu faragha, ukifika umekwisha
 
another evidence of BongoNyoso.
 
Mie nilikuwa nikipokea nasikia "habari za asubuhi muheshimiwa"!! Nastuka muheshimiwa which,who,where..? Mara wanitumie msg Mh. Kikao kile kimehairishwa hadi tarehe fulani.

Sijui ilikuwa namba ya muheshimiwa gani!
 
Ha ha ha[emoji23]
 
Nilipataga namba moja poa sana ila inaelekea jamaa alikuwa mtu wa totoz, bata na madeni mpaka ya pombe.. Nikawa napigiwa sana
Sasa ili kuwakomesha kila anayepiga nilikuwa namjibu HALO HAPA NI MOCHWARI KARIBU TUKUHUDUMIE...
Nilimaliza tatizo kwa namna hiyo
 
Dah jana namtafuta Mage wangu baada ya muda mrefu, naandika meseji yakibazazi sana mara inajibiwa najikoki kuisoma najua mage nae anabashasha kuonana nami, mesej nakuta imeandikwa we nani maana namba yako sina na unajua unachat na nani??, nkaona sio mbaya labda alipoteza simu nkajitambulisha na nkamwambia nachat na Mage, jamaa akajibu yeye ni .......mwanaume wa tabora huko, dah nkaishiwa pozi kabisa maana Mage ndo alikuaga wakuponea siku zikiwa mbaya, sijui atakua wapi mage wangu......asee nyie mitandao acheni kugawa namba za watu ovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…