Domant phone numbers wanazogawiwa wateja wapya

Nikawa napigiwa sana
Sasa ili kuwakomesha kila anayepiga nilikuwa namjibu HALO HAPA NI MOCHWARI KARIBU TUKUHUDUMIE...
Nilimaliza tatizo kwa namna hiyo
Nimeipenda hii mbinu ngoja nami niitumie🤣 maana kwa bahati mbaya special namba yangu ilikua inatumiwa na CHUO CHA AFYA nakoma kwa usumbufu na watu hawajiongezi kugoogle Details za hiko chuo japo sshv imepungua
 
Nimeipenda hii mbinu ngoja nami niitumie[emoji1787] maana kwa bahati mbaya special namba yangu ilikua inatumiwa na CHUO CHA AFYA nakoma kwa usumbufu na watu hawajiongezi kugoogle Details za hiko chuo japo sshv imepungua
Hahahah[emoji23]
 
Nimeipenda hii mbinu ngoja nami niitumie🤣 maana kwa bahati mbaya special namba yangu ilikua inatumiwa na CHUO CHA AFYA nakoma kwa usumbufu na watu hawajiongezi kugoogle Details za hiko chuo japo sshv imepungua
Waache wajilengeshe wewe kusanya application fee mpaka akili ziwarejee
 
Waache wajilengeshe wewe kusanya application fee mpaka akili ziwarejee
Staki dhambišŸ˜‚ halafu wengi tu wapo mikoani wanapiga kuulizia Fomu bei gani na utaratibu wa Kujiunga mimi huwa nawajibu Umekosa namba, mimi ni mtu binafsi sio Chuo🤣🤣 wengine hawaelewi basi nablock tu staki stress
 
Hapo bado mkeo hajashika simu akutane na hizo mesej kua umetelekeza mimba huko nje. Patachimbika!
 
Kiukweli nimeitupa naona itaniharibia ndoa yangu
Kuitupa haitoshi.Nenda ofisini kwao ukaifute kwa sababu inaonekana kufuta huwezi kufanya mwenyewe japo imeandikwa kwenye menyu.
 
Kuitupa haitoshi.Nenda ofisini kwao ukaifute kwa sababu inaonekana kufuta huwezi kufanya mwenyewe japo imeandikwa kwenye menyu.
Duh msala huu
 
Sijui kwann huwa wanagawa namba za watu aisee. Unajua wanapogawa namba za simu za watu wanasahau kuwa kuna watu wanakuwa bado wanatafuta wahusika kupitia hizo namba.

Kwann utaratibu usingekuwa mtu akisajiri line, anapopoteza iwe ni lazima arejeshe namba ya awali awe nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…