Domant phone numbers wanazogawiwa wateja wapya

Daaaa!! weeee!!!1 dogo umenifurahisaha sana una miaka mingapi kwani???...kanywe soda kwa mangi naja lipa mie
 
swali la kizushi. kwanini kila simu wrong call m..yani simu zilizokosewa huwa ni watu wa shinyanga au mwanza.. uani umekaa tu paa namba ngeni inaongea lafudhi ya kisukuma haha majina unakuta shija
Nilidhani jnanitokea mimi peke yangu
 
swali la kizushi. kwanini kila simu wrong call m..yani simu zilizokosewa huwa ni watu wa shinyanga au mwanza.. uani umekaa tu paa namba ngeni inaongea lafudhi ya kisukuma haha majina unakuta shija
Nilidhani jnanitokea mimi peke yangu
 

Nilikuwa Kajiado kwa Ishu ya miezi Mitatu Bahati mbaya line nikapoteza kure.
ile narudi Dar na kuwaibukia Airtel pale mlimani kurenew wakaniambia line wamegawa kwa mwingine so nichague number mpya, niliwakoromea mbaya but hakukuwa na namna,
walinitia hasara pakubwa sana ikiwemo kupoteza email address muhimu
 
Nimecheka kama mazuri vile. Ila unachosema ni ukweli kabisa na issue ya kuangalia kwa umakini.
 
Achana na hiyo line
 
Unafaa sana kufanya kazi Huduma kwa Wateja. Apply tukupe kazi 🙂
 
Mie nilikuwa nikipokea nasikia "habari za asubuhi muheshimiwa"!! Nastuka muheshimiwa which,who,where..? Mara wanitumie msg Mh. Kikao kile kimehairishwa hadi tarehe fulani.

Sijui ilikuwa namba ya muheshimiwa gani!
Kidogo niseme Job Ndugai
 
Kuna issues zingine za kiusalama ambapo ni lazima mhusika apate namba tofauti. Imagine ile namba ya baba yake Paul Makonda ambayo Ask. Gwajima aliitaja live wakati ule wa timbwili lao. Haikupita round, ikawa imebadilishiwa usajili.
 
Namba yangu mpya ya airtel zinaingia mesej za bili za maji na wamama wanapiga kuulizia ratiba za jumuia vikundi na mikopo,,,,,, Nimeifunga nimeachana nayo Ningejua bora ningetumia mbinu ya mshana Jr nawaambia karibu Mochwari tukuhudumie
Hahahah[emoji23]
 
Kuna ule utaratibu wa baadhi ya ofisi kuwapa staff simu kwa matumizi ya ofisi na mtu akiondoka, simu/line ile ile anapewa staff mpya aliyemreplace aliyeondoka. Hili nalo ni janga

Niliwahi kusumbuliwa mno na watoto wengi sana wa kike as it seems aliyekuwa akitumia line ile kabla yangu alikuwa baharia flani hivi. Yaani kuna baadhi walikuwa wanang’ang’ania tukutane live ili kuhakikisha sio yule mtu wao. Mpaka huruma yaani
 
Kuna uwezekano wa wafanyakazi wapya kurithishwa makoloni
 
Kuna namba nyingine nilisajiligi mwaka 2018 nikawa natumia intaneti bure wakati wote, kuhusu spidi sijui maana nilikuwa natumia zile Nokia C2 zile zenye button nyingi.
Kuna siku nilipata shida fulani nikapiga simu call center, hapo ndio nilipoharibu mambo. Huduma ikaondolewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…