Lookmalasin
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 2,233
- 3,144
Oyaa jamani hivi mnafatilia hii speech??.
Jamaa anasema kuanzia Sasa, Marekan itatambua Jinsia mbili tu ambayo ni Ke na Me, na ambazo hutambulika mara tu ya kuzaliwa 🤣🤣🤣🤣
Woyooooooo
Serikali Haina faida zaidi ya kufanikisha malengo ya kishetani.Pharm Companies wanauza homons za kike na vifaa tiba, right? kwa serikali inakuwa inapeleka hela huko inalenga kupata nini hasa?
Kweli museven atapata nguvu sasa walikuwa wanampiga vita sana naamini kwa nchi kama Amerika ni nchi yenye nguvu duniani naamini tutaungana kote kumsuport trump naamini mungu atatusamehe kutuepusha na majanga na magonjwaMuseveni alianzishe sasa! Amalizie ile sheria yake iliyoishia njiani baada ya kupata vitisho toka tawala za kishoga. Now has full support from his excellence D. Trump.
Nafikiri atapigwa vita sana sababu wengi wakubwa wanaafiki hayo mambo. Wengi kwenye establishment wamefanya na wanafanya hayo mambo.ELIMU ELIMU ELIMU... Jamaa ànasisitiza ELIMU juu ya Nuclear Family, Baba ,Mama na Watoto.
Eti siku hizi vitabu vya watoto wetu Hawa, vinawafundisha aina ya familia...
1- Mwanaume na Mwanaume, watoto.
2-Mwanamke na Mwanamke , watoto.
Maajabu Mawaziri husika wapo 🤣🤣🤣
Apigwe na nani Amerika ndio supar power duniani hao watakaomponga ni nani? Ingekuwa ni raisi wa nchi za Africa ningekuwa na wasiwas kidogo lakini raisi wa Amerika hio imeshaendaNafikiri atapigwa vita sana sababu wengi wakubwa wanaafiki hayo mambo. Wengi kwenye establishment wamefanya na wanafanya hayo mambo.
Issue nyingine anataka kumaliza vita ya Ukraine na Russia. Anawaambia Ukraine wasipigane kulomboa Crimea na Donbas bali kuwe na DMZ hapo walipo.
Unajua ana kesi ngapi sasa hivi? Mara ngapi amenusurika kuuwawa?Apigwe na nani Amerika ndio supar power duniani hao watakaomponga ni nani? Ingekuwa ni raisi wa nchi za Africa ningekuwa na wasiwas kidogo lakini raisi wa Amerika hio imeshaenda
Ilijengwa kwenye msingi wa Mungu hasa uhuru wa kuabudu na uhuru binafsi lakini hawakufuata sheria za Mungu kuhusu utumwa. Kwamba binadamu wote ni sawa.USA, sasa yataka kurudi tena katika namna ya ilivyojengwa na waasisi wake
USA navyoijua mimi, ilijengwa kwenye msingi wa Mungu
Goo goo goo Trump
Sasa ivi ameshakuwa raisi hizo kesi zinazomkabili zitatupwa mbali kama uamininayokwambia ngoja aingie ikulu utaamini na sasa atakuwa na ulinzi mkubwa sana huyo ni raisi wa Amerika mkuu huyo tena sio mwenzangu na mieUnajua ana kesi ngapi sasa hivi? Mara ngapi amenusurika kuuwawa?
IleUSA, sasa yataka kurudi tena katika namna ya ilivyojengwa na waasisi wake
USA navyoijua mimi, ilijengwa kwenye msingi wa Mungu
Goo goo goo Trump
America in Kauli mbiu nzuri sana "In God we Trust" halafu unakuta kuna huu ushetani mkubwa sana unqanzia huko huko USASerikali Haina faida zaidi ya kufanikisha malengo ya kishetani.
Sasa ivi ameshakuwa raisi hizo kesi zinazomkabili zitatupwa mbali kama uamininayokwambia ngoja aingie ikulu utaamini na sasa atakuwa na ulinzi mkubwa sana huyo ni raisi wa Amerika mkuu huyo tena sio mwenzangu na mie
Usimponze kibabu wa watu muache ajifie taratibu kashajichokea anasubiri kukata ringi tu.Museveni alianzishe sasa! Amalizie ile sheria yake iliyoishia njiani baada ya kupata vitisho toka tawala za kishoga. Now has full support from his excellence D. Trump.
Mkuu, haijarishi itakuweje, ila acha vita vipiganwe, tangu leo naanza kumwombea TrumpNafikiri atapigwa vita sana sababu wengi wakubwa wanaafiki hayo mambo. Wengi kwenye establishment wamefanya na wanafanya hayo mambo.
Issue nyingine anataka kumaliza vita ya Ukraine na Russia. Anawaambia Ukraine wasipigane kulomboa Crimea na Donbas bali kuwe na DMZ hapo walipo.
Kwani Trump atafanya nini kuzuia ushoga?Mkuu, haijarishi itakuweje, ila acha vita vipiganwe, tangu leo naanza kumwombea Trump
Nimekuwa na msongo wa mawazo kwa maisha yangu kufikiri itakuweje siku moja mtoto wangu wa kiume aje kuwa shoga na eti mpumbavu mmojanaye wa kiume aje kuleta posa kwa mwanangu wa kiume??
Muda sio mrefu litapiga hela. Linakaribia kutiririsha wese for export.Usimponze kibabu wa watu muache ajifie taratibu kashajichokea anasubiri kukata ringi tu.
Yule huwa akibabanishwa kisawasawa na waganda anaibua ajenda ya ushoga ili kuzima joto la kisiasa. Pakipoa kidogo unashangaa ANAYEYA halafu sheria anaifuta kimya kimya ili apewe chochote kitu na MABEBERU.
Lile ZEE ni janja mno ila limechoka sana kwa sasa.
Cc: Poor Brain Extrovert Mzee wa kupambania