Donald Trump anatangaza Vita Rasmi dhidi ya LGBTQI+

Donald Trump anatangaza Vita Rasmi dhidi ya LGBTQI+

Ndugu zangu, Sauti ya Kimamlaka anayotumia Donald Trump, ni lazima ukubaliane namimi kua, Mungu aliyanusuru Maisha yake Kwa Kazi maalumu.

Jamaa hata hajaapishwa, lakini tayari kaanza Kazi mara Moja.

Wale mashoga na mnaounga mkono Ushoga, na shughuli zoooooote za upuuzi wa aina hiyo ikiwemo pamoja na Utoani Mimba kiholela, kubadili jinsia, Sasa mtahamia Ulaya, Kinara US kaamua kua Mfuasi wa YESU KRISTO, MUNGU ANAYEISHI.


View: https://www.youtube.com/live/uCKUaJawPco?si=4v7YfpXtOO0N4ltJ

Waziri Dkt. Gwajima D sio dhambi kujifunza Kwa walioamua Kumlinda mtoto .

Embu tuzipitie Child protection policies za Warusi na Wachina .

Kama haitotosha tujifunze Kwa US Sasa chini ya Trump, nadhan Ile Presha tunayoiogopea Sasa haipo.

Katika Kumlinda mtoto , na vita dhidi ya LGBT , tushirikiane sekta zote.

Niligusia hapa Wakati tunapambana na Unyanyasaji wa kimwili dhidi wa watoto, mkumbusheni Waziri Gwajima, watoto hawako salama Mitandaoni

Safi jambo jema
 
Naamini sasa mungu atawaepushia azabu na hata maafa ya vimbunga vinavyotokea Amerika ni asira za mungu uchafu mwingi sana ulikuwa unafanyika Amerika na amini dunia tuungane kote tupinge uchafu huu na mungu atatubariki hongera sana trump mungu akupe nguvu zaidi dunia yote ijue
Vipi tetemeko lililotokea Uturuki likaua watu 55,000 na Syria watu 5,000 mwaka jana??
 
Wataje ni wakina nani?
Hizo ni Sera za chama
Screenshot_20241110-121133_X.jpg
 
Huyu anajaribu kuirudisha dunia kutoka shimoni.Maana sijawahigi kuelewa sababu kubwa ya kutumia nguvu nyingi sana kwenye kupromote agenda ya LGBTQ. Bado sijajua business model yake imekaeje.Yaani nani nafaidika na anafaidikaje na hili.
I wanda!

Na kwanini wanalazimisha ionekane kawaida? Sio kawaida and that’s that!
 
Huyu anajaribu kuirudisha dunia kutoka shimoni.Maana sijawahigi kuelewa sababu kubwa ya kutumia nguvu nyingi sana kwenye kupromote agenda ya LGBTQ. Bado sijajua business model yake imekaeje.Yaani nani nafaidika na anafaidikaje na hili.
Nani anafaidika na harakati za kuupinga ushoga na anafaidikaje?
20241110_123446.jpg
 
Safi sana Donald...........nimeona X huko,huyu jamaa hapendwi kwasababu ni mcha Mungu na anasema ukweli kwa lugha ngumu tena ya kuudhi...........
Nahisi mnamiss point ya msingi hapa;
a) All Republicans are pro - lifers.
b) All Democrats are pro - choicers
Na hayo mawili ndio yanayowatenganisha. Trump ni Republican hivyo LAZIMA asimamie misingi ya pro - lifers ya kupinga ushoga, usagaji, utoaji mimba, ndoa za jinsi moja, transgender, nk.

Kwa upande wao Kamala Harris na Obama wao ni Democrats ambao ni pro - choicers hivyo LAZIMA wasimamie misingi ya uhuru wa mtu kujiamulia mambo yake kama vile kuwa shoga, msagaji, kutoa mtu wa jinsi yako, kutoa mimba, transgender, nk.
 
Back
Top Bottom