Donald Trump anatangaza Vita Rasmi dhidi ya LGBTQI+

Safi jambo jema
 
Vipi tetemeko lililotokea Uturuki likaua watu 55,000 na Syria watu 5,000 mwaka jana??
 
Huyu anajaribu kuirudisha dunia kutoka shimoni.Maana sijawahigi kuelewa sababu kubwa ya kutumia nguvu nyingi sana kwenye kupromote agenda ya LGBTQ. Bado sijajua business model yake imekaeje.Yaani nani nafaidika na anafaidikaje na hili.
I wanda!

Na kwanini wanalazimisha ionekane kawaida? Sio kawaida and that’s that!
 
Huyu anajaribu kuirudisha dunia kutoka shimoni.Maana sijawahigi kuelewa sababu kubwa ya kutumia nguvu nyingi sana kwenye kupromote agenda ya LGBTQ. Bado sijajua business model yake imekaeje.Yaani nani nafaidika na anafaidikaje na hili.
Nani anafaidika na harakati za kuupinga ushoga na anafaidikaje?
 
Safi sana Donald...........nimeona X huko,huyu jamaa hapendwi kwasababu ni mcha Mungu na anasema ukweli kwa lugha ngumu tena ya kuudhi...........
Nahisi mnamiss point ya msingi hapa;
a) All Republicans are pro - lifers.
b) All Democrats are pro - choicers
Na hayo mawili ndio yanayowatenganisha. Trump ni Republican hivyo LAZIMA asimamie misingi ya pro - lifers ya kupinga ushoga, usagaji, utoaji mimba, ndoa za jinsi moja, transgender, nk.

Kwa upande wao Kamala Harris na Obama wao ni Democrats ambao ni pro - choicers hivyo LAZIMA wasimamie misingi ya uhuru wa mtu kujiamulia mambo yake kama vile kuwa shoga, msagaji, kutoa mtu wa jinsi yako, kutoa mimba, transgender, nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…