Donald Trump anatangaza Vita Rasmi dhidi ya LGBTQI+

Vipi tetemeko lililotokea Uturuki likaua watu 55,000 na Syria watu 5,000 mwaka jana??
Ni hayo hayo nayosema ma bara ya ulaya uchafu mwingi ndio unakoanzia ulishasikia vimbunga kwa nchi za Africa kama vinavyotekea huko ulaya?
 
Haya mawazo nilikuwaga nayo zamani.

Kumbe sipo peke yangu.
 
Hujambo? Ahsante Sana kwa maoni yako. Ukweli hawako salama, awali tulisema hakuna Sheria, Sheria ikatungwa, watu baadhi wanavunja, nikaanza kuwaelimisha kuhusu sheria kuwa tutachukua hatua, baadhi ya watu wakaanza kusema ona waziri haoni kazi za kufanya anakuja kukimbizana na watu online.

Kuna wakati jamii yetu tuwe tunaamua tunachotaka kwa dhati, Ili kikitekelezwa, tusirudishe nyuma utekelezaji Bali tushirikiane.

Hata hivyo, sijarudi nyuma, naendelea kushirikiana na wizara husika za kisekta kwenye safari hii inayohitaji elimu kwa umma na hatua kwa wasiosikia na kufanya yanayostahili.

Aidha, Februari mwaka huu, tulizindua kampeni ya wadau wote kuhusu child online protection (COP). Tutaandaa mkutano online, tutaomba Jukwaa hili la JF na majukwaa mengine, Ili tutoe taarifa na tusikie maoni yenu ya kuboresha kama ni Sheria au usimamizi wa sheria au mabadiliko ya sera, mikakati na Sheria.

Nakushukuru Sana
 
Bado huhajenga hoja, ni msimamo wa Republican, Hao ni dissenting members, na Trump aliwahi kusema ana heshimu machaguo ya wengine lakini msimamo wake ni NO kuhusu LGBT
 
Mashoga watapinga na kumind, zingatia comment zao.
 
Kuna mtangazaji nchini Uganda anayefahamika kwa jina la Simon Kaggwa, msemo wake maarufu ni huu "Are you gay?" akiuliza swali kwa mmoja wa mtu aliyekuwa akimhoji ambae alikuwa akipambania haki za LGBTQA+
Jambo la ajabu ni kwamba, kwasasa huyu Simon Kaggwa anatumika kutangaza contents za kishoga.

Carlos The Jackal , unapozidi kuandika kuhusu ushoga na mashoga unaendelea kuwapa matangazo ya bure na kuzidi kuwapa airtime hawa watu.

You are better than that!
 
Kushika bendera bado sio hoja Kwamba anaunga mkono,
Kushika bendera hiyo maana yake ana heshimu machaguo ya wengine.
Kwa Kama unakumbuka ni kwamba Trump alivyokuwa Rais kwa mara ya kwanza alifuta bajeti ya Kubadili jinsia jeshini kwa nini?
Kubadili jinsia na suala tofauti na ushoga, mashoga hawabadili jinsia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…