Donald Trump ashinda Urais wa Marekani kwa 51.05% dhidi ya Harris Kamala aliyepata 47.46%

Chama cha Democrats kilikosea kupiga mahesabu vizuri kuhusiana na suala la Uchaguzi huu. Kampeni za Uchaguzi huu walipaswa kuanza mapema angalau mwaka mmoja kabla ya mwaka wa uchaguzi wenyewe kwa kumuweka Wazi mapema Mgombea wao mtarajiwa ili kumnadi kwa Wapiga Kura.
Kamala Harris aliibuka tu kama surprise au kama ambush kwa Wapigakura.
 
NINGESHANGAA DUNIA KUONGOZWA NA DEM
 
Wamnadi muda mwingi wakati ndio alikuwa VP kwa miaka 4?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…