Donald Trump ashinda Urais wa Marekani kwa 51.05% dhidi ya Harris Kamala aliyepata 47.46%

Donald Trump ashinda Urais wa Marekani kwa 51.05% dhidi ya Harris Kamala aliyepata 47.46%

mbona sasa hivi baada ya kupewa dawa / dozi ya awali umekuja / umerudi kwa nidhamu kubwa tofauti na pale awali?
Sina tu kawaida ya kubishana na akili ndogo that's why,,, kwangu mtu ambaye badala ya kujenga hoja anaingiza maneno yasiyostahili, huwa nakubali kushindwa,, 😎🤝🏽
 
Mara ya mwisho nilipocheki, Tanzania ilikuwa umbali wa kilomita 11,000 kutoka Marekani, halafu uchaguzi wetu mkuu wenyewe uko mwakani!

Sasa habari za kushindwa kwa Kamala na pigo kwa Tanzania, wapi na wapi?

Anewei, nimekupata, mkuu. Tumpe pole sana mheshimiwa. Hivi kule Q-ba mkutano wake umeendelea vizuri kweli? Maana pigo hilo la Trump si la kitoto hata kidogo. Netanyahu mwenyewe ameliita kuwa ni ^historic comeback!^
 
Je na kimbuka hakijaleta madhara huko?
 
Ushindi wa Magu ulitanguliwa na ushindi wa Trump,

Hivyo jua kuwa, kama ambavyo Trump anarudi kuimalizia KAZI aliyoianza,

Mrithi wa Magu pia atashinda kuimalizia KAZI aliyoianza Magu.

Tusubiri 🙏
Hivi atakuwa nani?
 
Hivi unafahamu kwanini wamarekani wana shauku sana ya Trump kurudi madarakani? Sababu Trump ni nationalist na anaenda kukata misaada yote kwa hao Israel. Acha kusoma viblogs vya ajabu ajabu badala yake nenda YouTube au X ukasome comments za wenye nchi yao wanasemaje. But it doesn't matter sababu Tanzania mpaka leo bado inalia shida ya maji na umeme.

Alafu acha kuramba miguu ya hao wajinga, ni watu kama wewe mmatumbi.
 
Back
Top Bottom