CriSanToS
JF-Expert Member
- Feb 16, 2024
- 1,233
- 3,575
Sina tu kawaida ya kubishana na akili ndogo that's why,,, kwangu mtu ambaye badala ya kujenga hoja anaingiza maneno yasiyostahili, huwa nakubali kushindwa,, 😎🤝🏽mbona sasa hivi baada ya kupewa dawa / dozi ya awali umekuja / umerudi kwa nidhamu kubwa tofauti na pale awali?