Donald Trump: Hakuna maji ya kuzima moto, hakuna pesa katika mashirika ya dharura

Mungu analipa hapa Duniani Trump alisema kama Hamas hawatachia mateka kabla ya tarehe 20 Basi Gaza itakuwa Jahanamu😂


View: https://x.com/silentlysirs/status/1877819200703807578?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWO%20vw
Watu waliokufa ni wengi lkn kwasasa awawezi kuwafikia adi itulie lkn wapo wengi wamenaswa ktk ali ya kukimbia wengine wakiwa ndani ya magari kuna wezi wengi pia wamenaswa na moto idadi asa itajulikana baadae!!! Tuwapo pole awa jamaaa siamin kuwa wote ni waovu!!
 
Yaaaaaaaaaraabiiiiii tusameeeee viumbe wako ww ni mkuuu yaraaabiiiii tusameee
Hatari sana. Wazayuni wa nashishi na w chaz awaelewi inakuaje yupi mungu wa kweli kwasasa!!!! Wametatizika sasa niwakati wenu kujua mungu ninani marekani inapigwa nanani inaunguzwa nananani kwanini iwe marekani tu kupata moto huuu sote atujawai ona popote Duniani moto wa nfano huuu mwenye akili huu niwazi ni ujumbe kutoka kwa mungu kuja kwetu. Haki usizurumu haki ya mnyonge Palestine ni wanyonge lkn wanae mungu mkuu awajawai kukata tamaaa walikuwa awachoki kuomba mungu wao awakumbuke leo leo hatari mola wao tunaona kwa macho yetu Uwezo wa mungu!!! Mabank yanateketea majumba makubwa yanawaka moto akika watu sasa wataamini wazi wazi Mungu yupo mana watu wameandamana kila seem marekani kawa kiziwi sasa ngoja tuone mwisho wa huu moto. Atatoa mlio tu !!
 
 
While Israel ( Israel means God perseveres or God shall fight ) burns gaza , God burns california ( California is the home land of Kamala Harris , a woman who contested for America's presidency. God is burning California because God never wanted a woman to be a leader. Tanzania have to watch out!)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…