Organic Live Food
Senior Member
- Aug 2, 2013
- 127
- 236
Nb.Trump hamalizi mwaka huu analambishwa Tusubiri na kuona huu utabiri wako ikiwa itakuwa na ukweli.
Waislamu eleweni moto huo umesababishwa na upepo mkali wa Santa Ana sio allah. Mtakatifu Ana sio muislamu , hili ni jina laEndelea kupeleka mabomu Gaza iwe kama hivi.
View: https://x.com/wordgateweather/status/1877725780832407696?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Huduma gani za kijamii ambazo ni mbovu zisizoendana na hadhi yake?Mm saa nyingine huwa naitathimini Marekani nashindwa kuielewa kabisa.
Marekani ni taifa tajiri na anatawanya pesa nyingi kote dunia kufadhili mambo mbali mbali mengine yenye manufaa mengine ya kipuuzi.
Lakini cha kushangaza ndani ya Marekani kwenyewe huduma za kijamii ni mbovu sana zisio endana na hadhi yake, Marekani ukiumwa kama ww ni masikini aisee hakuna rangi utaona maana gharama za matibabu ziko juu sana.
Wakati wa obama alijaribu kuanzisha mpango wa bima ambao ungewezesha wamarekani masikini kupata matibabu kwa bei nafuu cha kushangaza watu waliupiga vita na Trump akaja aka ufuta.
Kuna watu walikuwa wanaamini kwamba majanga yote duniani yanadhibitika kwa sababu ya teknolojia?Janga la moto limethibitisha ukweli kwamba ndani ya hii dunia, inawezekana ikatokea janga ambalo litatumaliza wanadamu wote, hata wale wenye kudhani kwamba sababu ya maendeleo na technology, wameshamaliza yote.
Na hii inatukumbusha ukuu wa Mwenyezi Mungu. Mwenyezi Mungu yupo na ana nguvu.
Kuna watu walikuwa wanaamini kwamba majanga yote duniani yanadhibitika kwa sababu ya teknolojia?
Mbona tumeona Tsunami na matetemeko yakiathiri mataifa yenye teknolojia kubwa sana kama Japan na Uturuki mara kwa mara?!
Mbona mafuriko yamekuwa yakiathiri sana Marekani miaka kwa miaka??
Wakati Trump akiwa Rais moto kama huo haujawahi kuwaka Marekani??Hili ni funzo wa Biden na wajinga wenzake ambao wanasema waliomchagua Trump hawana elimu na akili.
Wanamaanisha kuwakubali mashoga na transgender ndio umeeelimika.
Wamejaza hawa vilaza kila waliobadili jinsia kila sehemu.
Hivi Genocides siku hizi kiswahili chake ni Majengo?The US should focus on solving its OWN CRISES instead of funding GENOCIDES abroad!
Donald Trump:
===============
Hakuna maji ya kuzima moto, hakuna pesa katika mashirika ya dharura.
Marekani ijikite katika kutatua MGOGORO wake badala ya kufadhili MAJENGO nje ya nchi!
Ongeza picha zingine tuone kulivyoungua huko kwenye mji wa Sodoma na GomolaIwapo utawahi kujisikia mjinga, kumbuka tu kwamba Marekani hutuma mabilioni ya dola kwa Wanazi nchini Ukraini na Wanazi huko Zionistan wakati Marekani inaonekana hivi.
Moto unazimwa na motoMaji hayazimi moto
Ongeza picha zingine tuone kulivyoungua huko kwenye mji wa Sodoma na Gomola
Kwani yeye ndo kawasha moto?Trump hamalizi mwaka huu analambishwa mchanga