Wangesema ni magaidi,.......unakuta mtu yule yule anayesema Venezuela wanaonewa,Ukraine anaonewa,leo anasema Iran inabidi ivamiwe tu.Angekua anafanya hayo muarabu, mchina au mrusi ungesema hivo pia?
Utatukana tu kwa sababu ndio mafundisho mnayopewa huko madrasa lakini ukweli unabaki palepale kwamba dola ya Marekani ndiyo benchmark inapokuja suala la kuthamanisha sarafu mbalimbali duniani.Either wewe ni MPUMBAVU ama MJINGA,tutaona baada ya kureply hii comment
1.Kwa hio Dollar thamani yake haishuki?,toka mwaka 1978?ππ
2.kwa hio kabla ya dollar kutengenezwa watu walikua hawaishi hapa duniani?,na hakukua na matajiri?ππππ
3.kwa hio Dollar ni S.I ya uchumi hapa duniani?,kua nchi isipotumia Dollar kama Iran,mafuta yake na gesi zake zinakua hazina thamani?πππ
4.Kabla ya tarehe 28 December 2025,1$ ilikua sawa na Rial 42000,hapa tunavoongea 1$ ni sawa na 1,600,000 Rial za Iran
--------Hii ni sawa na labda leo 1$ ni 2500 Tsh,Kisha mwezi ujao iwe 1$ iwe 500,000/=
Katika mfano huo Tanzania itateseka,sababu sisi ni wapumbavu,tunaoamini propaganda za mmarekani kuhusu uchumi,
Ila Iran wala hawana muda na hizo propaganda na exchanges fakes za westπ«π€£π€£π€£,waajemi wana njia zao za uchumi,wale wana sayansi yao,ni wasomi hasa,.......ndio nchi ya kwanza kuipiga Nchi nyingine bila hata mwanajeshi wake mmoja kutembea sentimeta hata mojaππππ,Netanyau anaelewa vizuri ile sayansi,sio usomi huu wa kukalili kingereza mtoto anasema yes no,junior papa,ππππPUMBAVU WEWE!
Wakimuondoa Khamenei wanamuweka nani ?..Updates:
Taarifa zisizo rasmi za kijasusi zadai kuwa mataifa ya magharibi yameomba nayo yapewe muda zaidi kujiandaa kuushughulikia utawala wa Iran unoongozwa na kiongozi mkuu (supreme Leader) Ayatollah Ali Khamenei.
Shughuli iliyopo ni mipango thabiti ya kuhakikisha hakuna makosa katika hili (la kumuondoa Khamenei na wenzake ambao wote ni wale watu wenye msimamo mkali au fundamentalists). Nchi hizo za magharibi zadaiwa kusogeza vifaa vya kivita katika eneo la mashariki ya kati ili kuongeza nguvu juhudi za Marekani na Israeli ambayo ndo yasemwa itakuwa na kazi ya kutumia ndege za kivita kupiga maeneo lengwa.
Raisi wa Iran Masoud Pazeshkian ambae ni sehemu ya chini katika ngazi ya utawala wa Iran pamoja na viongozi wengine katika serikali yake wao wachukuliwa na Marekani kuwa ni watu wao na msimamo mkali yaani moderates.
Tuufahamu kidogo utawala wa Iran ambao wasumbua namna ya kuungusha baina nchi za magharibi zikiongozwa na Marekani kwani majaribio kadhaa ya kuwahadaa viongozi na maofisa wa ngazi za juu wakiwemo wanajeshi ili wahamie upande wa waandamanaji (defection) kufeli.
Iran yatawaliwa na mifumo mitatu ilokuja baada ya mapinduzi ya mwaka 1979 yalomwondoa aiekuwa kiongozi wa kisultan bwana Shah Muhammad Reza Pahlavi ambae alikimbia. Baada ya hapo ukaletwa utawala ulozingatia sheria za kiislam na kiongozi wake mkuu akawa Ruhollah Khomein.
Mfumo wa Utawala.
1. Kuna kiongozi mkuu yaani Supreme Leader ambae ni ALi Khamenei na ana jeshi lake la kimapinduzi maarufu kama IRGC. Huyu Khamenei ana nguvu kubwa juu ya mahakama, jeshi na idara zote za serikali na ndie husuka sera na mitazamo yote ya Iran na pia yeye ni kiongozi wa maisha.
2. Raisi wa Iran ni kiongozi anechaguliwa kwa kura ya umaarufu (popular vote) na yeye huongoza taasisi ya uraisi tu yaani "executive branch". Raisi wa sasa wa Iran ni huyo bwana Masoud Pezeshkian.
3. Bunge
Bunge la Iran ni lile lenye mitizamo na itikadi kali na ndio lenye kupitisha sheria zote zinoshushwa kutoka juu kwa mzee khamenei mwenyewe. Hata hivyo Bunge hili halina nguvu sana kutokana na kwamba hata likipitisha sheria yoyote ni lazima ipitiwe tena na Khamenei na genge lake la bodi mbalimbali ambazo zitasoma na kuamua zipitishe au la. Hivyo ni vigumu sana kwa raisi Pezeshkian kutengeneza sera zake mwenyewe na kutaka kuzipitisha bungeni ziwe sheria.
Pamoja na kwamba uongozi wa Iran umejigawa mara tatu kama inavyoonekana hapo juu, bado wananchi wameweza kujitokeza na kufanya maandamano ingawa majibu yake yamekuwa si mazuri kwa kutokea idadi kubwa ya vifo na kampeni ya utawala wa Iran kuwasaka waandamanaji.
Hivyo hadi sasa twaweza kuhitimisha kwamba maandamano na migomo inoendelea nchini humo na mwitiko wa serikali kutaka kufanya mazungumzo na viongozi wa maandamno licha ya serikali kuamua kugawa posho ya miezi mitatu ya kujikimu, hiyo yaonyesha dalili za uongozi huo kuanza kulegea na kuwa dhaifu.
Lakini hii haimaanishi kwamba Uongozi huo wa Iran utaweza kuondolewa kirahisi ukilinganisha na jinsi tawala zingine za nchi kama Syria, Iraq, Misri zilivyoweza kuangushwa kirahisi ndani ya miezi michache.
1 korean won = 1.76 Tzsh.Kwanza sio kweli kwamba hela ya South Korea ni sawa na shilingi ya kitanzania.
US$ 1 = Won 1,437.11
US$ 1 = TZS 2,551.96
Halafu soma hapa π
************************************
The minimum wage in, South Korea, for 2026 is set at 10,320 KRW per hour, up 2.9% from 2025, which totals a monthly wage of 2,156,880 KRW based on a 40-hour workweek and 209 working hours. This national rate applies uniformly across the country, including Seoul, and covers all industries.
***************************************
Kijana kama nchi inajitosheleza kiuzalishaji thamani ya pesa haiathiri ukuaji wa kiuchumi.Utatukana tu kwa sababu ndio mafundisho mnayopewa huko madrasa lakini ukweli unabaki palepale kwamba dola ya Marekani ndiyo benchmark inapokuja suala la kuthamanisha sarafu mbalimbali duniani.
Wewe huelewi athari za fedha kupoteza thamani yake kwa sababu inaonekana baada ya vita vya Kagera 1979 labda ulikuwa ni mdogo au labda hata ulikuwa hujazaliwa.
EXPLAINER - Rising prices, falling currency: Iranβs economy faces rocky road
Iranian rial sinks, pushing inflation to above 40%, fueling nationwide protests - Anadolu AjansΔ±www.aa.com.tr
Ok tuanze tena kidogo kidogo Ili tuone kua wewe ni mjinga ama MPUMBAVU?,πππUtatukana tu kwa sababu ndio mafundisho mnayopewa huko madrasa lakini ukweli unabaki palepale kwamba dola ya Marekani ndiyo benchmark inapokuja suala la kuthamanisha sarafu mbalimbali duniani.
Wewe huelewi athari za fedha kupoteza thamani yake kwa sababu inaonekana baada ya vita vya Kagera 1979 labda ulikuwa ni mdogo au labda hata ulikuwa hujazaliwa.
EXPLAINER - Rising prices, falling currency: Iranβs economy faces rocky road
Iranian rial sinks, pushing inflation to above 40%, fueling nationwide protests - Anadolu AjansΔ±www.aa.com.tr
Huwezi kuelewa kwa sababu unatawaliwa akili na religious dogma.Ok tuanze tena kidogo kidogo Ili tuone kua wewe ni mjinga ama MPUMBAVU?,πππ
1. kwa kua pesa ya Irana ina thamani ndogo mno ukilinganisha na $,kwa hio uchumi wa Iran hauna thamani,na Iran ni nchi masikini sana?,
NOTEπesa ya Iran,ina thamani ndogo mno kuliko pesa ya D.R.C,Burundi,Tanzania,Somalia etcπππ
2.Kua Iran,kwa kua haitumii$$$ kufanya biashara kwa hio bidhaa wnazouza hazina faida?
NOTE
Iran inaongozwa kwa reserve kubwa ya mafuta na gesi,i.e 10% and 15% reserve respectively worldwide,na ni 4 th largest Crude oil seller in the worldπππ
3.kua $$$$ ndio SI ya uchumi duniani,kua kabla ya dollar kuwepo hakukua na matajiri kwenye hii dunia?ππππ
4.kua madrasa na UISLAM inaongozwa na watu wajinga?πππ
NOTE
Nchi masikini zaidi duniani zinawakatoliki wengi i.e Burundi,D.R.C
What's the benefit of being a middle income country when your country is ravaged by the nagging inflation in which too much money can only buy few items resulting in the people pouring onto the streets to protest against the high cost of living.Kijana kama nchi inajitosheleza kiuzalishaji thamani ya pesa haiathiri ukuaji wa kiuchumi.
Embu rudi shule wewe.
Unazidi kutia aibu.
Kama thamani ya sarafu ndio kipimo cha uchumi kwanini Iran ni middle upper income country na Tanzania ni low income country??
Waweza kutujibu hili?
Wewe si ulisema ziko sawa. Sasa umeona mishahara ya wakorea ulinganishe na Tanzania.1 korean won = 1.76 Tzsh.
Umeona huo uwiano?
Ni uwiano mdogo sana na tena hela ya Korea imetuzidi kipindi cha Samia. Sasa piga mahesabu je Tanzania inaifikia Korea kiuchumi??
What's the benefit of being a middle income country when your country is ravaged by the nagging inflation in which too much money can only buy few items resulting in the people pouring onto the streets to protest against the high cost of living.
Pesa ya Tz ina thamani kubwa sana ukilinganisha na pesa ya iran. Iran kiuchumi imetupiga gap kubwa sanaWhat's the benefit of being a middle income country when your country is ravaged by the nagging inflation in which too much money can only buy few items resulting in the people pouring onto the streets to protest against the high cost of living.
Siku ya 5 leo!!!Kujigamba sio kuanzisha vita, vita anayokwenda kuianzisha mwenyewe ni hii na Iran atapimwa kwa vita hii.
There is only one way to find out.Zaidi ya hivyo, kulenga limeli linalotembea, ambalo haliko mahali pamoja, inakuwa vigumu kidogo.
People protesting it doesn't mean that Iran is in that bad situation.What's the benefit of being a middle income country when your country is ravaged by the nagging inflation in which too much money can only buy few items resulting in the people pouring onto the streets to protest against the high cost of living.
Uwiano bado ni mdogo sana.Wewe si ulisema ziko sawa. Sasa umeona mishahara ya wakorea ulinganishe na Tanzania.
Msamehe kaka msameheπππ.Ok tuanze tena kidogo kidogo Ili tuone kua wewe ni mjinga ama MPUMBAVU?,πππ
1. kwa kua pesa ya Irana ina thamani ndogo mno ukilinganisha na $,kwa hio uchumi wa Iran hauna thamani,na Iran ni nchi masikini sana?,
NOTEπesa ya Iran,ina thamani ndogo mno kuliko pesa ya D.R.C,Burundi,Tanzania,Somalia etcπππ
2.Kua Iran,kwa kua haitumii$$$ kufanya biashara kwa hio bidhaa wnazouza hazina faida?
NOTE
Iran inaongozwa kwa reserve kubwa ya mafuta na gesi,i.e 10% and 15% reserve respectively worldwide,na ni 4 th largest Crude oil seller in the worldπππ
3.kua $$$$ ndio SI ya uchumi duniani,kua kabla ya dollar kuwepo hakukua na matajiri kwenye hii dunia?ππππ
4.kua madrasa na UISLAM inaongozwa na watu wajinga?πππ
NOTE
Nchi masikini zaidi duniani zinawakatoliki wengi i.e Burundi,D.R.C
Akifanya hivyo Iran atamalizia kwa kupiga pini Strait of Hormuz, nadhani una elewa nini implication ya hii pini!BREAKING
U.S. President Trump has issued orders to the U.S. Navy and other branches of the U.S. military to prepare for imposing a "naval blockade" on Iran by Friday.