Donald Trump Pamoja na kupigwa Risasi na Kujeruhiwa lakini hapiti kwenye vyombo vya habari kuichafua Marekani kama alivyofanya Lissu kwa Tanzania

Are you for real? ata kama ni uchawa siyo kwa syle hii.

Serekali ambayo ilikataa watu wasimuombe, achilia mbali kumtibu? embu tuwe wanadamu kwanza
 
Tangia lini na wewe umekuwa na akili ya kutambua hoja?
Angalia post zote tangu upandishe huu utopolo wako watu wote wameku crush. Huna akili dogo,kujifanya kwako unajua ndiyo unajitia kidole kabisa,usingekuwa na hiki kiherehere chako nani angejua kuwa wewe ni tutusa? Punguza ujuaji wa kishamba wewe.
 
Hoja yangu ipo juu ya upeo wako.subiri mada za kuendana na akili yako .
 
Mjifunze kuwa wazalendo kwa Taifa letu na kuacha kuwa waropokaji hovyo hovyo.Embu niambie kwanini Trump hajakwenda kuishtaki Marekani na kutaka iwekewe vikwazo vya kiuchumi?
Hebu na wewe twambie kwanini Biden hajazuia wamarekani kumpa pole Trump?
 
Nilivyogundua wewe ni ccm nikakuelewa
Ingekuwa tofauti na hapo ningejua nikushauri vipi lakini nakukumbusha tu kwamba
Lisu siyo Trump na Marekani siyo Tanzania
Lakini ningekushauri uongee jambo hili mwakani kwa sababu Trump bado hata hajatuliza akili tayari wewe wa chikongola ushajua kwamba Trump hana comment yoyote negative kwa wapinzani wake
 
Serikali ya USA unafananisha na huu utopolo?? we jamaa ni mjinga kiwango cha hali ya juu.
Ungemsikiliza Mzee Rungwe kwenye kipindi cha dkk 45 ITV Jana usiku ungebubujikwa na mkojo.
 
Naona unapiga Ramli chonganishi tu.
 
Serikali ya USA unafananisha na huu utopolo?? we jamaa ni mjinga kiwango cha hali ya juu.
Ungemsikiliza Mzee Rungwe kwenye kipindi cha dkk 45 ITV Jana usiku ungebubujikwa na mkojo.
Uwe na heshima kwa serikali yetu wewe.
 
Mjifunze kuwa wazalendo kwa Taifa letu na kuacha kuwa waropokaji hovyo hovyo.Embu niambie kwanini Trump hajakwenda kuishtaki Marekani na kutaka iwekewe vikwazo vya kiuchumi?
Ushahidi wa kimazingira kuhusu nani alimshambulia Lisu uko wazi kwa mtu asiye na upofu kuona. Lakini kwa uchawa unalinganisha shambulio la Lisu na Trump.
 
Mauzinde at work
 
Ushahidi wa kimazingira kuhusu nani alimshambulia Lisu uko wazi kwa mtu asiye na upofu kuona. Lakini kwa uchawa unalinganisha shambulio la Lisu na Trump.
Ushahidi upi wa mazingira huo unaousema ambao hauachi mashaka ya aina yoyote ile.
 
Huyu
Huyu alipigwa akiwa kwenye MMKUTANO na yule alipigwa akiwa NDANI YA MAKAZI YA VIONGOZI WA SERIKALI YALIYOKUWA YAKILINDWA NA SERIKSLI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…