Donald Trump Pamoja na kupigwa Risasi na Kujeruhiwa lakini hapiti kwenye vyombo vya habari kuichafua Marekani kama alivyofanya Lissu kwa Tanzania

Huyu

Huyu alipigwa akiwa kwenye MMKUTANO na yule alipigwa akiwa NDANI YA MAKAZI YA VIONGOZI WA SERIKALI YALIYOKUWA YAKILINDWA NA SERIKSLI.
Nachozungumza ni kile kilichofanywa na watu hao wawili baada ya tukio. Lissu alizunguka Dunia nzima akiichafua na kuipaka matope nchi yetu na kutaka tuwekewe vikwazo. Je umeona Trump akitoa maneno ya kuichafua Marekani na kutaka iwekewe vikwazo na kutengwa na Dunia? Umeona Trump akimnyooshea joe Bideni kuwa anahusika katika jaribio la kutaka kumuua?
 
Vipi serikali yako imewapata waliomjeruhi Lissu kama ambavyo marekani wamempata na kumuua aliyemjeruhi Trump?
 
Mifano ya kijinga.
 
Thread from the headless chicken, Lucas Mwashambwa!
 
🤣🤣🤣🤣
Kumchukia mtu ambaye hakujui na hana habari na wewe ni matumizi mabaya ya chuki, Anza kwanza kuuchukia huo uchawa wako na utumwa wa akili yako ulioubeba kwa ajili ya kuwa furahisha MaCCM. Umekuwa ni mfungwa wa fikra na ufahamu.
 
Mijitu kama Lucas iko tayari kuona taifa linaingia kwenye machafuko ilimradi tu mkono uende kinywani, hauna tofauti na wahutu nina wasiwasi na uraia wako Mtanzania mwenye roho mbaya kama wewe nadhani bado hajazaliwa tz au ameishakufa
 
Trump aichafue serikali yake kwani ndiyo imemshambulia ? Mbona kama ubongo wako umeganda maana Unamzungumzia mada mbili tofauti kabisa. Utakuwa na mtindio wa ubongo wewe si bure.
 
Inawezekana wametengeneza scene kipata sympathy ya wapiga kura.
 
Mngese ww
 
You guy don't make comparison between Lisu and Trump.
 
Inawezekana wametengeneza scene kipata sympathy ya wapiga kura.
Hapana na ndio maana unaona hakuna anayelizungumzia tukio hilo kwa kuhusisha na uchaguzi.watu wapo Bize kunadi sera na ajenda zao na nini wataifanyia Marekani na wamarekani.
 
Aliyejaribu kumuua Trump alipatikana na kuuawa ila waliomshambulia Lissu mpaka Leo hawajulikani.
 
Wakati huku tunaumizana kwa democracy wenzetu adui yao ni kukosa mafanikio wanapambana kuwa na Great Amerika so sio chama
 
Luca ukificha yanayokusibu moyoni hatimaye moyo unaweza kulipuka,Mzee Trumpet mwenyewr kuongea kwake na kutoa ya mayoni imepelekea maharamia kutaka kumzima.
 

Aichafue vipi sasa wakati haikuhusika? Wewe huoni wachafuliwa walifanza nini?
 
Tofauti
Tofauti ya Tanzania na Marekani, uchunguzi umeanza haraka. Sniper kadunguliwa, na ripoti imetolewa haraka.

Lisu huu ni mwaka wa 7 hakuna majibu ya kueleweka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…