grand millenial
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 3,943
- 5,550
Tukitumia logic hii hii inamaanisha hata wanaoabudu ng'ombe na wanyama wengine wapo sahihi maana Kwa imani yao Mungu amechukua umbile la huyo mnyama mfano wahindu.Usiwapangie Watu kuamini waamuavyo.
Mungu anaweza kutenda mambo yote (hakuna jambo lolote linalomshinda) lakini hawezi kuzaliwa, ni akili hizo au matope?
Mungu kakuthibitishia kuzaliwa bila ya biological factors (sexual intercourse) za kibinadamu ili uone jinsi gani anaweza kufanya jambo lolote sababu NGUVU, UWEZO na MAMLAKA vina yeye na UKAMILIFU wake umepita fahamu za Binadamu, nyau wewe [emoji1]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Tukija kwako unatumia nini kuwatambua watumishi wa Mungu? Na kwanini niamini kipimo chako kwamba ndiyo sahihi?Usiongee mambo ya utumishi wa Mungu bila kuwa na uhakika nayo.
Unaweza kuingia dhambi ya Kumkufuru Roho Mtakatifu.
Wewe una kipimo gani cha Kiroho kinacho watambua Watumishi wa Mungu ?
Kwanini wewe usiwe Mtumishi sahihi wa Mungu ?
Kumbuka hata Yesu pamoja na Ukamilifu wake alishawahi ambiwa kuwa ni Nabii wa Uwongo na baadhi ya watu.
Chunga Sana Ulimi Wako Unapofika Kuwasema Vibaya Watumishi wa Mungu.
Kuna maelfu ya watu wanaokoka kupitia mafundisho yao kwa hali yoyote wawavyo.
Kwa sababu ni weekend1 Tim 4:12 SUV
Mtu awaye yote asiudharau ujana wako, bali uwe kielelezo kwao waaminio, katika usemi na mwenendo, na katika upendo na imani na usafi.
Lk 2:52 SUV
Naye Yesu akazidi kuendelea katika hekima na kimo, akimpendeza Mungu na wanadamu.
Efe 6:11-18
Efe 6:11-18 SUV
Vaeni silaha zote za Mungu, mpate kuweza kuzipinga hila za Shetani. Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.
Kwa sababu hiyo twaeni silaha zote za Mungu, mpate kuweza kushindana siku ya uovu, na mkiisha kuyatimiza yote, kusimama.
Basi simameni, hali mmejifunga kweli viunoni, na kuvaa dirii ya haki kifuani, na kufungiwa miguu utayari tupatao kwa Injili ya amani; zaidi ya yote mkiitwaa ngao ya imani, ambayo kwa hiyo mtaweza kuizima mishale yote yenye moto ya yule mwovu.
Tena ipokeeni chapeo ya wokovu, na upanga wa Roho ambao ni neno la Mungu; kwa sala zote na maombi mkisali kila wakati katika Roho, mkikesha kwa jambo hilo na kudumu katika kuwaombea watakatifu wote.
Mit 8:17 SUV
Nawapenda wale wanipendao, Na wale wanitafutao kwa bidii wataniona.
=======================
Haya wana wa Mungu twendeni kazi
👇🏻👇🏻👇🏻
hio mito yapombe labda kaiweka mamako mi sijui.ila mabikra wapo.Mkatom...be mabikira 72 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 na mito ya POMBE
MMELOGWA
Muulize shehe KIPOOZEO😂😂😂😂 HALAFU ACHA MAKASIRIKOhio mito yapombe labda kaiweka mamako mi sijui.ila mabikra wapo.
huyo shehe wako Mimi simjui.siwezi kukasirikia watu wamotoni mimi.hapanaandika huku nacheka Sanaa nikiona mnavyo chafukwa ka vifungu vyangu vinavyo wachomaMuulize shehe KIPOOZEO😂😂😂😂 HALAFU ACHA MAKASIRIKO
kausha.shusha mistariHumfahamu KIPOOZEO😅😅😅😅😅 MUULIZE FaizaFoxy anyejua dini wr kilaza tu
Mimi sijasema chochote juu ya Usahihi au Uwongo wa watumishi wa Mungu.Tukija kwako unatumia nini kuwatambua watumishi wa Mungu? Na kwanini niamini kipimo chako kwamba ndiyo sahihi?
Mhubiri 9:7Acha gambe jamaa😂😂😂
Ipo soma biblia ya kikatolikiDu! Hii mbona haimo kwenye biblia mkuu?
Mstari Safi kabisa huu!Mhubiri 9:7
Wewe enenda zako , ule chakula chako kwa furaha , unywe mvinyo yako kwa moyo wa kuchangamka ,kwa kuwa Mungu amekwisha kuzikubali kazi zako.
Unamtafuta jamaa mmoja yupo ughaibuni.Zaburi 53:1
Mpumbavu husema hakuna Mungu