Hili swala nimewahi kulizungumzia katika andiko langu “ Je Tanzania ni nchi ya kidini ” tuna kila sababu ya kubadilika .
Hizi dini kuu mbili hapa nchini hazipaswi kujishikiza na serikali katika shughuli mbalimbali za kitaifa, ifike hatua dini zipigwe marufuku kwenye maswala ya kiserikali wabaki kwenye nyumba zao za ibada na kuendeleza majukumu yao. Wanapaswa kuwekwa mbali kabisa na serikali.
Wanasema mamlaka inatoka kwa Mungu wakati mtu kapiga na kuua watu wakati wa uchaguziTunasema, sio MUNGU kasema.
Serikali inatafuta cheap popularity kupitia wanyonge.Hili swala nimewahi kulizungumzia katika andiko langu “ Je Tanzania ni nchi ya kidini ” tuna kila sababu ya kubadilika .
Hizi dini kuu mbili hapa nchini hazipaswi kujishikiza na serikali katika shughuli mbalimbali za kitaifa, ifike hatua dini zipigwe marufuku kwenye maswala ya kiserikali wabaki kwenye nyumba zao za ibada na kuendeleza majukumu yao. Wanapaswa kuwekwa mbali kabisa na serikali.
Hili swala nimewahi kulizungumzia katika andiko langu “ Je Tanzania ni nchi ya kidini ” tuna kila sababu ya kubadilika .
Hizi dini kuu mbili hapa nchini hazipaswi kujishikiza na serikali katika shughuli mbalimbali za kitaifa, ifike hatua dini zipigwe marufuku kwenye maswala ya kiserikali wabaki kwenye nyumba zao za ibada na kuendeleza majukumu yao. Wanapaswa kuwekwa mbali kabisa na serikali.
KweliSerikali wekeni dini mbali na mambo yenu ya Kiserikali ili nyote muwe huru
Wiki hii watu wametokwa na povu sana kutokana na matukio mbalimbali yalioashiria mwanzo wa kuanza kutomaswa tomaswa kwa dini zao ambazo zilikuwa zimepewa hadhi maalum ya kuwa zisizogusika au 'untouchables' kwa muda mrefu. Mzee wa Upako ni mmojawapo wa watu waliotokuwa na povu hilo hadi kufikia...www.jamiiforums.com
Hivi huwa unasoma na kuelewa au huwa unasoma huku ukifikiri kupinga?Ungesoma Geography ya O-level ungeelewa sababu baadhi ya nchi au maeneo kukumbwa sana na majanga ya asili kuliko kwingine.
Donor Countries vile vile wanafagilia ushoga, basi tuwaige?
Kweli na wanatumia dini kama tulizo la hao wanyonge kudai mabadiliko yao.Serikali inatafuta cheap popularity kupitia wanyonge.
Dini katika kipindi cha absolute monarch huko Europe ili tumika kuzima hali ya mabadiliko ya kiutawala, hii hali inayo tukumba sisi sasa ili wakumba Europe miaka ya nyuma sana.Dini ni sehemu ya matrix ya watawala ,kuwatawala wasiojielewa
Ukipewa nchi ambayo wanaamini katika imani za dini hii ndo njia pekee ya kuhalalisha mabaya yako na wasikusumbue. Nchi zilizoendelea sio kila jambo ni la MUNGU.Wanasema mamlaka inatoka kwa Mungu wakati mtu kapiga na kuua watu wakati wa uchaguzi
Kifupi ni kuwa watu wasiomjua Mungu kabisa kabisa wanaishi maisha ya utulivu na amani kuliko hao wanafiki
Na jamaa baada ya kupata mbinu nyingine wakaachana na mambo ya dini,,,ndo maana sahivi hukuti wazungu wanahangaika sana na maswala ya dini sababu wameshavuka hio level , viongozi wao tayari wana mbinu nyingine ila kwa Africa dini bado ina muhimu kwa watawala maana inasaidia kuwaweka sawa watawaliwa ,hadi hapo wakipata njia nyingine ndo wataachana na dini kama mabwana zao wa ulayaDini katika kipindi cha absolute monarch huko Europe ili tumika kuzima hali ya mabadiliko ya kiutawala, hii hali inayo tukumba sisi sasa ili wakumba Europe miaka ya nyuma sana.
Ndiyo maana kuna mdau alisema wimbo wa taifa urekebishwe, tunasema "wabariki viongozi wetu wakati ni wezi wakubwa"Yawezekana ndiyo maana kama taifa hatutoboi. Kila siku tunaogelea kwenye mabalaa na majanga. Ni kwasabb tunamdhihaki Mungu wetu wa mbinguni.
Hawa hawa viongozi wetu ambao ni wafujaji wa kodi zetu, wezi wa mali ya umma na wala rushwa wakubwa ndiyo kila wakikutana kwenye mikutano, warsha na makongamano wanaanza kwa sala na dua?
Ndiyo maana hawataki kutunga sheria kali wanajua zitawazuia kufanya madudu yaoHawa hawa viongozi wetu ambao ni wafujaji wa kodi zetu, wezi wa mali ya umma na wala rushwa wakubwa ndiyo kila wakikutana kwenye mikutano, warsha na makongamano wanaanza kwa sala na dua?
Huko kwa wenzetu hawalitaji bure jina la mnyaazi Mungu. Shughuli zao za kiserikali huanza kwa kufuata protokali za kutambulishana kisha mengine huendelea.
Ni kweli kitu namba moja kilicho saidia kuzima influence ya hizi dini ulaya ni mabadiliko/ mapinduzi ya kisayansi huko ulaya.Na jamaa baada ya kupata mbinu nyingine wakaachana na mambo ya dini,,,ndo maana sahivi hukuti wazungu wanahangaika sana na maswala ya dini sababu wameshavuka hio level , viongozi wao tayari wana mbinu nyingine ila kwa Africa dini bado ina muhimu kwa watawala maana inasaidia kuwaweka sawa watawaliwa ,hadi hapo wakipata njia nyingine ndo wataachana na dini kama mabwana zao wa ulaya
Danganya toto !! Au ?!!Yawezekana ndiyo maana kama taifa hatutoboi. Kila siku tunaogelea kwenye mabalaa na majanga. Ni kwasabb tunamdhihaki Mungu wetu wa mbinguni.
Hawa hawa viongozi wetu ambao ni wafujaji wa kodi zetu, wezi wa mali ya umma na wala rushwa wakubwa ndiyo kila wakikutana kwenye mikutano, warsha na makongamano wanaanza kwa sala na dua?
Huko kwa wenzetu hawalitaji bure jina la mnyaazi Mungu. Shughuli zao za kiserikali huanza kwa kufuata protokali za kutambulishana kisha mengine huendelea.
Tuache kulitaja pasi na kumaanisha jina la mwenye enzi yote, Mungu wetu baba wa mbinguni, huku mkijua ninyi ni wezi, wala rushwa na wanafiki.
View attachment 2451627
Huku ni unafiki tupu wala hakuna loloteYawezekana ndiyo maana kama taifa hatutoboi. Kila siku tunaogelea kwenye mabalaa na majanga. Ni kwasabb tunamdhihaki Mungu wetu wa mbinguni.