Dont Undersetimate the Power of Clouds...

Nadhani pia hizi Taasisi zingine kama EFM bado hawajajipanga vizuri ndio maana Lady Jd ana nyimbo nzuri lakini haziwezi kumwinua maana hana Taasisi.
 
sijayaskia maneno ila Clouds ndiye mastermind wa Promo za muziki Tz.

Ukikosana nao basi unahatihati ya kutotoboa.

Waangalie wasanii waliojiita timu EFM nay na wenzake naamini sokoni hasikiki kama kipindi kile cha akadumba.
Niliona humu watu wakikuwa WANAOTA eti EFM itaiua Clouds!
 
Ruby Namuelewa Sana nandy haingii kwa rubii hata chembe nadhani ni Pigo kubwa sana sana kwake,,,, sauti ya ruby iko so natural msikilize kwenye baadhi ya cover songs utaelewa
 
Ruge ana akili sana... bashite amshukuru mjomba kumbeba.... chek video yake anazama mjengoni ilivyozagaa fasta... na smart ruge akazunguka hajui nani kaivujisha kwa hoja
 
Tatizo mnawapa kichwa halafu hamuwasapoti wakishagombana na clouds, yaani anasema achana nao, akishaachana nao huko kwingine hamuwasapoti, Jide pekee ndo anajitahidi japo sidhani kama mambo yanaenda poa sana
 
Leo wamekuja kumchezea na kumdhalisha tu asititajie hata pewa airtime ya nguvu tena labda ampe boss wke style mpya
 
Wasanii aina ya ruby wapo wengi mno na wataburuzwa ile kinoma,niliwahi kusema kwamba clouds radio wapo sio kwa ajili ya kukuza vipaji bali kuharibu vipaji kwa maana wanaubaguzi miongoni mwa wasanii,ukiwa kama kituo cha burudani hupaswi kuwa na double standards kwani ni hatari sana,wana mtindo wa kuwatumia wasanii kwa faida zao halafu mwisho wa siku msanii hapati chochote zaidi ya promo.
Namshukuru sana bwana NASEEB ABDUL JUMAA ISACK LUNINZE a.k.a DIAMONDPLATNUMZ kwa maana ni kati ya wasanii wachache sana watanzania wanaojitambua,Mungu kambariki na hivi karibuni anafungua radio yake maana keshachoka na masimango ya radio za 'miungu watu'
Ukiwa msanii na ukashindwa kujitambua ni kasheshe.
Hakuna msanii mjinga na mpuuzi Tanzania kama ruby toka nimeanza kuifahamu bongo fleva enzi za SUGU anajiita "2 PROUD".
Tupo dunia ya INSTAGRAM,TWITTER,YOUTUBE,BLOGS KIBAO,RADIO NA TV KIBAO halafu unarudi clouds kwa kujishushia heshima yako uliyoijenga muda mrefu kwa kujiita "MJINGA",MTU kama lady jaydee amechukua tuzo nyingi na anapiga mkwanja mrefu lakini wala hapati sapoti yoyote ya clouds maana walihitilafiana kitambo,msanii mwenye akili timamu ni kujitambua unataka nini na nini directions yako!,kuna wasanii kila siku nyimbo zao zinapigwa clouds usiku na mchana lakini ni omba omba ile mbaya,clouds kupiga nyimbo zako haiwezi kuwa suluhisho la mziki wako,mwenye uamuzi na muziki wako ni wewe mwenyewe msanii ukitaka uishi au ufe!
Leo kuna platforms kibao za kuuza mziki lakini wasanii wetu hawa wameshindwa kabisa kutumia akili na maarifa na kuangalia namna ya kuufikisha muziki wake mbali amekomaa kwenda kuwaomba clouds msamaha,RUBY YOUR FINESHED kaa ukijua ya kwamba msamaha umeshaomba ila tambua utasikia mziki wako ukipigwa clouds ng'oo,huyo ruge aliaminisha watu kuwa yeye na jaydee hawana matatizo na wamesha yamaliza na kwa kinywa chake akasema basi nyimbo za jaydee zipigwe clouds,ulishazisikia zikipigwa?,MUOGOPE SANA MTU ANAYEJIITA BOSS HALAFU HANA KITAMBI HUWA WANA ROHO MBAYA HAKUNA MFANO! DADEEEK
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] nimecheka sana ulivyomalizia, muogope....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom