DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Yule Mwijaku hua anajisifu kua ni msomi,ila watu humtukana na kumwambia,usomi wake umeishia kwenye uchawa tu,
Dotto yeye hajasoma na amekua Chawa,na yeye anatukanwa pia!
😀 😀
Wanachangamsha mji tu hao wameamua kuitaftia riziki kwa njia hiyo.
So Mimi naona wapo sawa tu kwa nafasi zao walizonazo kijamii.
Kumbuka watu wengine they are very conscious Ila huamua kutafuta njia za kujipatia mkate kwa haraka. Ndo wanazaliwa hakina mwijaku ,baba Levo na Dotto.