JITU BANDIA
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 2,868
- 6,453
Siasa ni kipaji na bahati mkuu, haihitaji elimu.... ndio maana waziri wa katiba na sheria anapelekwa kwenye sanaa!!!!Mwl msingi ! Kumbe
Mmmh!Ndio maana makatibu wakuu Wana mishahara mizito! Zaidi ya waziri mwenye dhamana!!!
Mwigulu ni Pro Magufuli, wameona wamuandae huyu kwa rais ajae mkristo
Hii comment akiiona Mpwayungu village hapa tokalikaMwl msingi ! Kumbe
Makatibu wakuu kwenye wizara ndio wana mshahara mkubwa kuliko mtumishi yoyote wa wizara ila waziri halipwi mshahara, analipwa marupurupu tu na posho.Siasa ni kipaji na bahati mkuu, haihitaji elimu.... ndio maana waziri wa katiba na sheria anapelekwa kwenye sanaa!!!!
Kazi Huwa zinafanywa na makatibu wakuu...
Ndio maana makatibu wakuu Wana mishahara mizito! Zaidi ya waziri mwenye dhamana!!! Hapa ndipo utashangaa ...!
Hii inatokea kwenye hizi nchi zetu tu za ulimwengu wa3
Noo, he is not a presidential material but in life anything can happen ndio maana we have the current president ambae she knows nothing, uwezo mdogo na vitu kama hizo lakini ndio president.Next La Presida..?!
Time will tell....
Hii nmeijua leoMakatibu wakuu kwenye wizara ndio wana mshahara mkubwa kuliko mtumishi yoyote wa wizara ila waziri hakipwi mshahara, analipwa marupurupu tu na posho.
Waziri mshahara wake ni ule wa mbunge na posho zake za kibunge. Kinachoongezeka ni kidogo sana baada ya kua waziri, sidhani hata milioni 1 inafika.
Waziri sio muajiriwa, ni msimamizi. Katibu mkuu ndio muajiriwa.
Wakurugenzi wa kwenye taasisi za umma zilizo chini ya wizara husika wana mishahara mikubwa kuliko makatobu wakuu.
Hajawa waziri mkuuHizi ni tetesi/hisia zangu za ndani kabisa ,zimeniambia hivyo....
Unabii Huwa haupuuzwi... Unabii ukijidhihirsha... Ndio huitwa unabii...
Mwalimu huyu Grade 111A kutoka katoke teacher's college 1999...na Mbunge huyu wa bukombe-Ushirombo.... 2015 to date....
Amekuwa na upepo nzuri sana wa kisiasa na kijamii kwa ujumla ulionyooka, tangu pale alipoteuliwa na Mwendazake kusimama kamati ya madini 2017....
Tangu alipoingia bungeni mara ya kwanza 2015...na kuteuliwa kusimamia ile kamati ya madini......
Nyota yake kisiasa imekuwa iking'aa siku hadi siku... haifananishwi na Mbunge yeyote kwa sasa.....
La mgambo likilia... Ujue kuna jambo!!!
Time will tell....!
Mpwayungu Village ukuje hukuHii comment akiiona Mpwayuku village hapa tokalika
Mawazo ya kijinga Sana haya,akiwa mlutheri ndiyo itasaidia nini? Kwani shida ya Nchi hii ni viongozi wasio na Dini? Au ni mfumo mbaya wa ungozi?halafu ni mlutheri, umeona hata walutheri wamekuwa wapole kwenye uwekezaji wame sense kuwa rais ajeye anatoka kwao kwa mara ya kwanza tangu nchi ipate uhuru. Hiyo rekodi nusura iwekwe na Lowassa kama si ile ajali yake ya kisiasa
ni mawazo fikirishi, huwezi ukawa na viongozi wakuu kutoka upande mmoja tu wakijirudiarudia kana kwamba upande mwingine hakuna the same as ukanda.Mawazo ya kijinga Sana haya,akiwa mlutheri ndiyo itasaidia nini? Kwani shida ya Nchi hii ni viongozi wasio na Dini? Au ni mfumo mbaya wa ungozi?
Kuna kitu kinaitwa mbeleko na kuna kitu kinaitwa connectiona .. Vizingatie sana hivyo katika maisha.. Wengi wako kwenye nafasi walizopo kwa ajili ya hivyo vitu viwiliHizi ni tetesi/hisia zangu za ndani kabisa ,zimeniambia hivyo....
Unabii Huwa haupuuzwi... Unabii ukijidhihirsha... Ndio huitwa unabii...
Mwalimu huyu Grade 111A kutoka katoke teacher's college 1999...na Mbunge huyu wa bukombe-Ushirombo.... 2015 to date....
Amekuwa na upepo nzuri sana wa kisiasa na kijamii kwa ujumla ulionyooka, tangu pale alipoteuliwa na Mwendazake kusimama kamati ya madini 2017....
Tangu alipoingia bungeni mara ya kwanza 2015...na kuteuliwa kusimamia ile kamati ya madini......
Nyota yake kisiasa imekuwa iking'aa siku hadi siku... haifananishwi na Mbunge yeyote kwa sasa.....
La mgambo likilia... Ujue kuna jambo!!!
Time will tell....!
wamuandae huyu!, yupi biteko au mwigulu pro magufuli?Mwigulu ni Pro Magufuli, wameona wamuandae huyu kwa rais ajae mkristo