CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
UJINGA NI KIPAJI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikuwa najibu ulutheri wa mwigulu reply ikadondoke kwingine. Huko kanda ya ziwa inland church ndio base yake, imetamalaki kuliko madhehebu mengine. Anyway, itapendeza pia nchi ikipata rais mu inland kama si mlutheriSiyo Mlutheri...Anasali AIC.
Kama ni Mwalimu Grade 3A .... Basi huyo ndiyo design halisi ya Kiongozi anayefit CCM. Yaani ni aina ya kiongozi wanayemtaka CCM design za form IV failures kina Lukuvi, Majaliwa, Nape ....!!Hizi ni tetesi/hisia zangu za ndani kabisa ,zimeniambia hivyo....
Unabii Huwa haupuuzwi... Unabii ukijidhihirsha... Ndio huitwa unabii...
Mwalimu huyu Grade 111A kutoka katoke teacher's college 1999 na Mbunge huyu wa bukombe-Ushirombo 2015 to date.
Amekuwa na upepo nzuri sana wa kisiasa na kijamii kwa ujumla ulionyooka, tangu pale alipoteuliwa na Mwendazake kusimama kamati ya madini 2017.
Tangu alipoingia bungeni mara ya kwanza 2015...na kuteuliwa kusimamia ile kamati ya madini.
Nyota yake kisiasa imekuwa iking'aa siku hadi siku... haifananishwi na Mbunge yeyote kwa sasa.
La mgambo likilia... Ujue kuna jambo!
Time will tell....!
Na anaweza kutumika Tu atuvushe 2025 na akarudi kuwa Waziri Tu.Noo, he is not a presidential material but in life anything can happen ndio maana we have the current president ambae she knows nothing, uwezo mdogo na vitu kama hizo lakini ndio president.
Prime minister, I can sense that.
Halafu bado anaitwa kijana?Hizi ni tetesi/hisia zangu za ndani kabisa ,zimeniambia hivyo....
Unabii Huwa haupuuzwi... Unabii ukijidhihirsha... Ndio huitwa unabii...
Mwalimu huyu Grade 111A kutoka katoke teacher's college 1999 na Mbunge huyu wa bukombe-Ushirombo 2015 to date.
Amekuwa na upepo nzuri sana wa kisiasa na kijamii kwa ujumla ulionyooka, tangu pale alipoteuliwa na Mwendazake kusimama kamati ya madini 2017.
Tangu alipoingia bungeni mara ya kwanza 2015...na kuteuliwa kusimamia ile kamati ya madini.
Nyota yake kisiasa imekuwa iking'aa siku hadi siku... haifananishwi na Mbunge yeyote kwa sasa.
La mgambo likilia... Ujue kuna jambo!
Time will tell....!
Hawataki watu bright watawachallange, maza naye kaunga snKama ni Mwalimu Grade 3A .... Basi huyo ndiyo design halisi ya Kiongozi anayefit CCM. Yaani ni aina ya kiongozi wanayemtaka CCM design za form IV failures kina Lukuvi, Majaliwa, Nape ....!!
Wapo wengi sana serikalini na kwenye taasisi za umma,tena wana nafasi kubwa tuu.Una maanisha kuwa Wakimbizi waliotokana na mauji ya kimbali ndio wana ng'aa Tanganyika?
Niwekee taaluma ya Mbowe,Lema,Sugu na MnyikaHawataki watu bright watawachallange, maza naye kaunga sn
Nini cha ajabu hapo mbona jambo la kawaida tu. Watu wengine mna akili za hovyo, unaibu waziri mkuu eti wasukuma wana akili sana, kumbe hata siyo msukuma. Sijajua wasukuma ni washamba ni wapumbavu hivi. Km ni akili Sumaye amekuwa waziri mkuu miaka 10 mbona hatukusikia wairaqw wakiambiwa wana akili sana? Wamasai wamekuwa na mawaziri wakuu wawili, tusemeje kuhusu wao? Kuna makabila nchi hii hawatakiwi kupewa nafasi ya juu. Unaibu waziri mkuu? Nafasi ambayo haipo hata kikatiba?Hizi ni tetesi/hisia zangu za ndani kabisa ,zimeniambia hivyo....
Unabii Huwa haupuuzwi... Unabii ukijidhihirsha... Ndio huitwa unabii...
Mwalimu huyu Grade 111A kutoka katoke teacher's college 1999 na Mbunge huyu wa bukombe-Ushirombo 2015 to date.
Amekuwa na upepo nzuri sana wa kisiasa na kijamii kwa ujumla ulionyooka, tangu pale alipoteuliwa na Mwendazake kusimama kamati ya madini 2017.
Tangu alipoingia bungeni mara ya kwanza 2015...na kuteuliwa kusimamia ile kamati ya madini.
Nyota yake kisiasa imekuwa iking'aa siku hadi siku... haifananishwi na Mbunge yeyote kwa sasa.
La mgambo likilia... Ujue kuna jambo!
Time will tell....!
Hana lolote anapaishwa tu na wapambe!Hizi ni tetesi/hisia zangu za ndani kabisa ,zimeniambia hivyo....
Unabii Huwa haupuuzwi... Unabii ukijidhihirsha... Ndio huitwa unabii...
Mwalimu huyu Grade 111A kutoka katoke teacher's college 1999 na Mbunge huyu wa bukombe-Ushirombo 2015 to date.
Amekuwa na upepo nzuri sana wa kisiasa na kijamii kwa ujumla ulionyooka, tangu pale alipoteuliwa na Mwendazake kusimama kamati ya madini 2017.
Tangu alipoingia bungeni mara ya kwanza 2015...na kuteuliwa kusimamia ile kamati ya madini.
Nyota yake kisiasa imekuwa iking'aa siku hadi siku... haifananishwi na Mbunge yeyote kwa sasa.
La mgambo likilia... Ujue kuna jambo!
Time will tell....!
Huyuhuyu mchumi wa mataptapMwigulu ni Pro Magufuli, wameona wamuandae huyu kwa rais ajae mkristo
Walimu Tabia zao ufanana Huwa hawabebani Wala kukumbukana hata wakiwa raisi,shida zao ni za mileleHii comment akiiona Mpwayungu village hapa tokalika
Hivi umeelewa nilichokiandika!!?Nini cha ajabu hapo mbona jambo la kawaida tu. Watu wengine mna akili za hovyo, unaibu waziri mkuu eti wasukuma wana akili sana, kumbe hata siyo msukuma. Sijajua wasukuma ni washamba ni wapumbavu hivi. Km ni akili Sumaye amekuwa waziri mkuu miaka 10 mbona hatukusikia wairaqw wakiambiwa wana akili sana? Wamasai wamekuwa na mawaziri wakuu wawili, tusemeje kuhusu wao? Kuna makabila nchi hii hawatakiwi kupewa nafasi ya juu. Unaibu waziri mkuu? Nafasi ambayo haipo hata kikatiba?
Mtu amemaliza chuo 1999 miaka 24 iliyopita mpak leo anaitwa kijana hivi bongo ujana hauna ukomo?Hizi ni tetesi/hisia zangu za ndani kabisa ,zimeniambia hivyo....
Unabii Huwa haupuuzwi... Unabii ukijidhihirsha... Ndio huitwa unabii...
Mwalimu huyu Grade 111A kutoka katoke teacher's college 1999 na Mbunge huyu wa bukombe-Ushirombo 2015 to date.
Amekuwa na upepo nzuri sana wa kisiasa na kijamii kwa ujumla ulionyooka, tangu pale alipoteuliwa na Mwendazake kusimama kamati ya madini 2017.
Tangu alipoingia bungeni mara ya kwanza 2015...na kuteuliwa kusimamia ile kamati ya madini.
Nyota yake kisiasa imekuwa iking'aa siku hadi siku... haifananishwi na Mbunge yeyote kwa sasa.
La mgambo likilia... Ujue kuna jambo!
Time will tell....!
Wenda lukuvi akuudaka uwaziri mkuuKama ni Mwalimu Grade 3A .... Basi huyo ndiyo design halisi ya Kiongozi anayefit CCM. Yaani ni aina ya kiongozi wanayemtaka CCM design za form IV failures kina Lukuvi, Majaliwa, Nape ....!!
Biteko pia ni pro Magufuli na ni sukuma gangMwigulu ni Pro Magufuli, wameona wamuandae huyu kwa rais ajae mkristo
Hatutarudia kosa kusimamisha rais toka bara,the next ptesifent is February malopehalafu ni mlutheri, umeona hata walutheri wamekuwa wapole kwenye uwekezaji wame sense kuwa rais ajeye anatoka kwao kwa mara ya kwanza tangu nchi ipate uhuru. Hiyo rekodi nusura iwekwe na Lowassa kama si ile ajali yake ya kisiasa. Mtu mwenye kariba ya Magufuli aliyeachwa ili aandaliwe kuwa rais ndiyo Mwigulu, mwana UKWATA, Mlutheri asilia