Doto Mashaka Biteko: Kutoka Ualimu, Ubunge atakuja kuwa Waziri Mkuu wa kwanza kijana

Doto Mashaka Biteko: Kutoka Ualimu, Ubunge atakuja kuwa Waziri Mkuu wa kwanza kijana

halafu ni mlutheri, umeona hata walutheri wamekuwa wapole kwenye uwekezaji wame sense kuwa rais ajeye anatoka kwao kwa mara ya kwanza tangu nchi ipate uhuru. Hiyo rekodi nusura iwekwe na Lowassa kama si ile ajali yake ya kisiasa. Mtu mwenye kariba ya Magufuli aliyeachwa ili aandaliwe kuwa rais ndiyo Mwigulu, mwana UKWATA, Mlutheri asilia
Achane uwongo. Biteko siyo Mluteli. Ni AIC (African Inland Church).
 
halafu ni mlutheri, umeona hata walutheri wamekuwa wapole kwenye uwekezaji wame sense kuwa rais ajeye anatoka kwao kwa mara ya kwanza tangu nchi ipate uhuru. Hiyo rekodi nusura iwekwe na Lowassa kama si ile ajali yake ya kisiasa. Mtu mwenye kariba ya Magufuli aliyeachwa ili aandaliwe kuwa rais ndiyo Mwigulu, mwana UKWATA, Mlutheri asilia
mhhh, umeelewa ulichokiandika lakini, au ni utoto unakusumbua
 
Kwenye waziri mkuu wa kwanza kijana kulingana na heading yako nakataa.
Nyerere alikuwa waziri mkuu kabla ya kufika 40 na nadhani hiyo rekodi inaweza isitokee kwa miaka ya karibuni kwa sababu wasomi wamekuwa wengi mno.

Pia kijana wa chini kidogo ya miaka 40 wa miaka ile ni tofauti kabisa na wa miaka hii kwa upande wa upeo. Na ndio maana akina Dkt. Salim walishika madaraka makubwa ya nchi wakiwa na miaka michache sana.
Nadhani mtoa mada hajui vizuri historia ya nchi. Kuanzia kwa Nyerere, Kawawa, Cleopa Msuya, Sokoinne, Salim Hamed Salim, na Jaji Sinde warioba. Hawa wote walikuwa Mawaziri wakuu kabla ya kufikisha miaka arobaini.
Mnasahau kwamba wazee wa sasa ndo vijana wa zamani, wakati ule tunapata uhuru.

Salim H. Salim alipata ubalozi akiwa na miaka 22 tu. Utakuta watu wanasema fulani amekuwa mkuu wa mkoa kijana tu au waziri kijana tu mawaziri wote wa zamani walishika mamlaka ya nchi wakiwa vijana wadogo, na wengine wakuu wa mikoa wadogo. Shida mnapowaona wazee mnadhani walikuwa wazee hivyo hivyo toka zamani. Ha ha ha!
 
Siasa ni kipaji na bahati mkuu, haihitaji elimu.... ndio maana waziri wa katiba na sheria anapelekwa kwenye sanaa!!!!

Kazi Huwa zinafanywa na makatibu wakuu...

Ndio maana makatibu wakuu Wana mishahara mizito! Zaidi ya waziri mwenye dhamana!!! Hapa ndipo utashangaa ...!

Hii inatokea kwenye hizi nchi zetu tu za ulimwengu wa3
Sawa ticha ,nimekuelewa
 
Hizi ni tetesi/hisia zangu za ndani kabisa ,zimeniambia hivyo....

Unabii Huwa haupuuzwi... Unabii ukijidhihirsha... Ndio huitwa unabii...

Mwalimu huyu Grade 111A kutoka katoke teacher's college 1999 na Mbunge huyu wa bukombe-Ushirombo 2015 to date.

Amekuwa na upepo nzuri sana wa kisiasa na kijamii kwa ujumla ulionyooka, tangu pale alipoteuliwa na Mwendazake kusimama kamati ya madini 2017.

Tangu alipoingia bungeni mara ya kwanza 2015...na kuteuliwa kusimamia ile kamati ya madini.

Nyota yake kisiasa imekuwa iking'aa siku hadi siku... haifananishwi na Mbunge yeyote kwa sasa.

La mgambo likilia... Ujue kuna jambo!

Time will tell....!
Sasa unabii uko wapi hapo?
 
Mawazo ya kijinga Sana haya,akiwa mlutheri ndiyo itasaidia nini? Kwani shida ya Nchi hii ni viongozi wasio na Dini? Au ni mfumo mbaya wa ungozi?

Katumbasongwe upande upi?
Huku Mwakikome au kule Kitwika
Karibu home Nsesi hapa kwa Mwakalinga.
Njoo tule ‘Mbalaga’ na ‘kipome’

Siasa za TZ bila kuwa na katiba mpya itakayo leta checks and balances hata aje nan ni kazi bure.
 
Kwa nchi hii hata Uraias anaweza kuwa 2030

Usikute alikuwa mwalimu kachero
 
Hizi ni tetesi/hisia zangu za ndani kabisa ,zimeniambia hivyo....

Unabii Huwa haupuuzwi... Unabii ukijidhihirsha... Ndio huitwa unabii...

Mwalimu huyu Grade 111A kutoka katoke teacher's college 1999 na Mbunge huyu wa bukombe-Ushirombo 2015 to date.

Amekuwa na upepo nzuri sana wa kisiasa na kijamii kwa ujumla ulionyooka, tangu pale alipoteuliwa na Mwendazake kusimama kamati ya madini 2017.

Tangu alipoingia bungeni mara ya kwanza 2015...na kuteuliwa kusimamia ile kamati ya madini.

Nyota yake kisiasa imekuwa iking'aa siku hadi siku... haifananishwi na Mbunge yeyote kwa sasa.

La mgambo likilia... Ujue kuna jambo!

Time will tell....!
Je, ana-exposure ya kutosha?
 
Back
Top Bottom