Doto Mashaka Biteko: Kutoka Ualimu, Ubunge atakuja kuwa Waziri Mkuu wa kwanza kijana

Kama ni Mwalimu Grade 3A .... Basi huyo ndiyo design halisi ya Kiongozi anayefit CCM. Yaani ni aina ya kiongozi wanayemtaka CCM design za form IV failures kina Lukuvi, Majaliwa, Nape ....!!
 
Noo, he is not a presidential material but in life anything can happen ndio maana we have the current president ambae she knows nothing, uwezo mdogo na vitu kama hizo lakini ndio president.

Prime minister, I can sense that.
Na anaweza kutumika Tu atuvushe 2025 na akarudi kuwa Waziri Tu.
 
Halafu bado anaitwa kijana?
 
Nini cha ajabu hapo mbona jambo la kawaida tu. Watu wengine mna akili za hovyo, unaibu waziri mkuu eti wasukuma wana akili sana, kumbe hata siyo msukuma. Sijajua wasukuma ni washamba ni wapumbavu hivi. Km ni akili Sumaye amekuwa waziri mkuu miaka 10 mbona hatukusikia wairaqw wakiambiwa wana akili sana? Wamasai wamekuwa na mawaziri wakuu wawili, tusemeje kuhusu wao? Kuna makabila nchi hii hawatakiwi kupewa nafasi ya juu. Unaibu waziri mkuu? Nafasi ambayo haipo hata kikatiba?
 
Hana lolote anapaishwa tu na wapambe!
 
Hivi umeelewa nilichokiandika!!?

Ama umeelewa hichi ulichokiandika!?
 
Mtu amemaliza chuo 1999 miaka 24 iliyopita mpak leo anaitwa kijana hivi bongo ujana hauna ukomo?
 
Kama ni Mwalimu Grade 3A .... Basi huyo ndiyo design halisi ya Kiongozi anayefit CCM. Yaani ni aina ya kiongozi wanayemtaka CCM design za form IV failures kina Lukuvi, Majaliwa, Nape ....!!
Wenda lukuvi akuudaka uwaziri mkuu
 
H
Hatutarudia kosa kusimamisha rais toka bara,the next ptesifent is February malope
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…