Doto Mashaka Biteko: Kutoka Ualimu, Ubunge atakuja kuwa Waziri Mkuu wa kwanza kijana

Nipo kijiwe cha magazeti nafatilia mijadala ya habari za leo magazetini. Nimewachomekea kuwa uteuzi wa dotto kuwa naibu waziri mkuu ni maandalizi ya kumuandaa kuwa rais ajaye wakanibishia na kuniambia anayeandaliwa kuwa the next president ni ma rope, hayo ni ya vijiwe vya magazeti na kahawa, time will tell
 
Kila mtu na Nyota yake
 
Hilo bichwa la habari siyo ukweli:

Nyerere alikuwa waziri mkuu akiwa na miaka 39.

Kawawa alikuwa waziri mkuu akiwa na miaka 36.

Salim Ahmed Salim alikuwa waziri mkuu akiwa na miaka 42.

Dotto Biteko hivi sasa ana miaka 45.


Hapo vipi? - Kwa sauti ya Makongoro.
 
Time will tell
 
Ni kweli bibi, japo mods wamebadilisha title heading.....
 
Mwenzio ni PHD holder,ukimwita mwalimu grade 111A unamvunjia heshima sana.
 
Wenda lukuvi akuudaka uwaziri mkuu
Anything is possible. CCM toka Mwinyi atoke hawakuwa hi kuwa na Waziri Mkuu wa maana. Wa Mkapa alikuwa bomu, wa JK, Pinda alikuwa bomu.... Lowasa too much scandals but material. Wa JPM na Maza bomu. Hivyo akipewa Lukuvi siwezi shangaa... Same trend. Ni wale wale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…