Doto Mashaka Biteko: Kutoka Ualimu, Ubunge atakuja kuwa Waziri Mkuu wa kwanza kijana

Achane uwongo. Biteko siyo Mluteli. Ni AIC (African Inland Church).
 
mhhh, umeelewa ulichokiandika lakini, au ni utoto unakusumbua
 
Nadhani mtoa mada hajui vizuri historia ya nchi. Kuanzia kwa Nyerere, Kawawa, Cleopa Msuya, Sokoinne, Salim Hamed Salim, na Jaji Sinde warioba. Hawa wote walikuwa Mawaziri wakuu kabla ya kufikisha miaka arobaini.
Mnasahau kwamba wazee wa sasa ndo vijana wa zamani, wakati ule tunapata uhuru.

Salim H. Salim alipata ubalozi akiwa na miaka 22 tu. Utakuta watu wanasema fulani amekuwa mkuu wa mkoa kijana tu au waziri kijana tu mawaziri wote wa zamani walishika mamlaka ya nchi wakiwa vijana wadogo, na wengine wakuu wa mikoa wadogo. Shida mnapowaona wazee mnadhani walikuwa wazee hivyo hivyo toka zamani. Ha ha ha!
 
Sawa ticha ,nimekuelewa
 
Sasa unabii uko wapi hapo?
 
Mawazo ya kijinga Sana haya,akiwa mlutheri ndiyo itasaidia nini? Kwani shida ya Nchi hii ni viongozi wasio na Dini? Au ni mfumo mbaya wa ungozi?

Katumbasongwe upande upi?
Huku Mwakikome au kule Kitwika
Karibu home Nsesi hapa kwa Mwakalinga.
Njoo tule ‘Mbalaga’ na ‘kipome’

Siasa za TZ bila kuwa na katiba mpya itakayo leta checks and balances hata aje nan ni kazi bure.
 
Kwa nchi hii hata Uraias anaweza kuwa 2030

Usikute alikuwa mwalimu kachero
 
Je, ana-exposure ya kutosha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…