Nitapita hukoAchana na hiyo kitu ya shirima, Jaribu pale Taracare Bar karibu na Kwa father Babu halafu uje uniambie balaa lake
Bora ustadh Dotto kuliko sheikh Manara anayeoa wanawake na kuacha kila siku.Umeona wapi ? Labda shekhe jina..Dotto tangu lini akawakilisha waislamu 😂😂😂wakristo bhana ,akitokea muarabu akafanya kosa mnajumuisha waislamu wote ,anaweza kuwa hata sio muislamu.
Wahuni sio watu end
No ni white meat na ndo mana ana salmonella km kuku tu na bata.Pork ni red meat ndugu angalia facts zako vizuri
Sijaelewa nia yake kwakweli...
Bila shaka brooUkiambiwa utaje waislamu watano wanaokula kitimoto mtani kwako hapo upewe Milion 5 utaweza?
Scientifically ni red meat Hilo Nina uhakika nalo jaribu hata ku googleNo ni white meat na ndo mana ana salmonella km kuku tu na bata.
kula kitimoto med/rare lete mrejesho hapa
Anajifanya msafi kazi kulomba lomba wanawake ovyo ovyoBora ustadh Dotto kuliko sheikh Manara anayeoa wanawake na kuacha kila siku.
Walimuua mume wako?mwenzio kaona asiwe mnafiki kama wewe kaamua kula adharani ili kama maandamano na vurugu mfanye tu ila yeye ajali maana mpo wengi mnakula ila mkishiba kuua soo ndio mnakandia wengine.
Kwani kuna binadamu hafnyi dhambi? Tatizo lenu mnapenda ushabiki sana .Bora ustadh Dotto kuliko sheikh Manara anayeoa wanawake na kuacha kila siku.