johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Chadema unawasingizia 😂😂😂Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Nishati Dkt. Dotto Biteko amesema kuwa mashine moja iliyokuwa imewashwa kwenye bwawa la Mwl Nyerere imezimwa baada ya maji kujaa sana kwenye bwawa kinyume na matarajio ya awali kwamba bwawa hilo litatumia miaka 2 kujaa lakini sasa limetumia mwezi mmoja tu kujaa na sasa maji yanalazimika kupunguzwa.
Hapo mwanzo Chadema walitoa tahadhari kwamba bwawa halitajaa kutokana na miti millioni 3 kukatwa na Magufuli hivyo kupelekea uharibifu wa mazingira na ukame nchini.
We endelea kuwananga chadema,ila utaendelea kulala giza tuHii Chadema itakuua ndugu yangu. Kwahiyo CCM ndo imekojolea hilo bwawa si ndio eehh!!
Kwamba hujui hata mvua kuzidi kiwango ni madhara ya mabadiliko ya tabia nchi? Acha uchizi usaidiwe.
[emoji706] kwani hawakujiwekea level kwamba maji yakifika hapa au level flani basi eneo maji yanapoingilia pafungwe kuzuia maji ya ziada
Hii unawakumbusha Chadema ukiwa muongo uwe na kumbu kumbu!Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Nishati Dkt. Dotto Biteko amesema kuwa mashine moja iliyokuwa imewashwa kwenye bwawa la Mwl Nyerere imezimwa baada ya maji kujaa sana kwenye bwawa kinyume na matarajio ya awali kwamba bwawa hilo litatumia miaka 2 kujaa lakini sasa limetumia mwezi mmoja tu kujaa na sasa maji yanalazimika kupunguzwa.
Hapo mwanzo Chadema walitoa tahadhari kwamba bwawa halitajaa kutokana na miti millioni 3 kukatwa na Magufuli hivyo kupelekea uharibifu wa mazingira na ukame nchini.
Fukuza Hydrology Department yote Wami Ruvu
Tuwekee hiyo official statement ya Chadema iliyosema bwawa halitajaa kutokana na kukatwa miti,vinginevyo mods futeni huu uzushi,JF inafanywa jukwaa la Uzushi na mods mnachekelea tu.
Basi hili bwawa halitofanya kazi kabisa kama Kuna makosa ya kiutaalamu kiasi hiki?? Kadirio iwe ni kujaa kwa miaka 2 halafu lijae kwa mwzi mmoja? !! Hii siyo error, ni mistake.
Naibu waziri awe mkweli tu. Kilichosababisha mtambo kuzimwa ni kiasi kikubwa cha maji yanayomwagikia mto Ruvu na kusababisha mafuriko makubwa maeneo yote ya Kibiti.
Hili bwawa halikujengwa kitaalamu na hata utafiti wa athari za kimazingira haukuzingatiwa . Mm kishoka wa TANESCO nayajua haya. Biteko asiongope.
Kwani ni chadematu. Vipi Nape na Makamba nao walisemaje bila kumsahau KigwaNaibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Nishati Dkt. Dotto Biteko amesema kuwa mashine moja iliyokuwa imewashwa kwenye bwawa la Mwl Nyerere imezimwa baada ya maji kujaa sana kwenye bwawa kinyume na matarajio ya awali kwamba bwawa hilo litatumia miaka 2 kujaa lakini sasa limetumia mwezi mmoja tu kujaa na sasa maji yanalazimika kupunguzwa.
Hapo mwanzo Chadema walitoa tahadhari kwamba bwawa halitajaa kutokana na miti millioni 3 kukatwa na Magufuli hivyo kupelekea uharibifu wa mazingira na ukame nchini.
Hii serikali yetu kama watoto wa nursery yaani kila kitu ni majaribio tu..Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Nishati Dkt. Dotto Biteko amesema kuwa mashine moja iliyokuwa imewashwa kwenye bwawa la Mwl Nyerere imezimwa baada ya maji kujaa sana kwenye bwawa kinyume na matarajio ya awali kwamba bwawa hilo litatumia miaka 2 kujaa lakini sasa limetumia mwezi mmoja tu kujaa na sasa maji yanalazimika kupunguzwa.
Hapo mwanzo Chadema walitoa tahadhari kwamba bwawa halitajaa kutokana na miti millioni 3 kukatwa na Magufuli hivyo kupelekea uharibifu wa mazingira na ukame nchini.
Chadema unawasingizia [emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu mtu anaeitwa Etwege ni mjomba wa Lucas Mwashambwa na Lisibon? Akili zao naona ni kama zina ufanano fulani.Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Nishati Dkt. Dotto Biteko amesema kuwa mashine moja iliyokuwa imewashwa kwenye bwawa la Mwl Nyerere imezimwa baada ya maji kujaa sana kwenye bwawa kinyume na matarajio ya awali kwamba bwawa hilo litatumia miaka 2 kujaa lakini sasa limetumia mwezi mmoja tu kujaa na sasa maji yanalazimika kupunguzwa.
Hapo mwanzo Chadema walitoa tahadhari kwamba bwawa halitajaa kutokana na miti millioni 3 kukatwa na Magufuli hivyo kupelekea uharibifu wa mazingira na ukame nchini.
Ali tabiri lema uyo mtabiri wao..hadi mvua ana tabiri siku hizi
Naamini outlets zipo, ndio maana siku chache zilizopita walisema watayafungulia maji hivyo kuwataka wakazi wa maeneo jirani kuwa waangalifu.Mambo ya aibu. Kwahiyo hilo bwawa limejengwa kama mtungi halina njia za kutolea maji (outlet ). Basi TANESco waende na ndoo zao wakachote
Hapo sasa. Kwanza poor forecast. Miaka 2 kwa mwezi mmoja? Pili maji yamejaa sawa, hapakuwa na plan yakifika level husika yaende wapi?[emoji706] kwani hawakujiwekea level kwamba maji yakifika hapa au level flani basi eneo maji yanapoingilia pafungwe kuzuia maji ya ziada
Kwani ni chadematu. Vipi Nape na Makamba nao walisemaje bila kumsahau Kigwa