Dotto Magari ni muumini wa dini gani?

Dotto Magari ni muumini wa dini gani?

Ukiwa maarufu ni shida.....huyu nae eti maarufu !! Khaaa......anatukana watu etii...
Na nina uhakika pamoja na huku Kumdharau Kwako kote na Elimu yako ila hajaishia tu kukuzidi huo Umaarufu unaokuumiza ila nina uhakika hata Kipesa / Kifedha pia ameshakuacha mbali vile vile na Elimu yake kuwa ndogo.
 
Ni Chairfire ,jikite kwenye mada ,Dotto Magari mtoto wa mama kizimkazi ni christian au Muislam? Juzi alifunga ndoa ya kiislam au hapa kati amebadili dini?
Dotto ni aina ya watu ambayo wanaishi maisha yao tu without needing to prove any point to others. Kiufupi he doesn't give a flying fucq kuhusu nyinyi yeye anafanya kinachompendeza bila kuvunja sheria za jamhuri. Dotto ni mfano wa namna ninavyoishi japo mimi sio chawa wala siwezi kumtukuza mtu ila niko real.
 
Kuna haja ya kuzuia maandiko yanayochokonoa udini. Sioni faida zaidi ya kupandikiza matusi na chuki badala ya kupandikiza upendo. Mijadala feki kama hii inasaidia nini?” Hao moderators hawalioni hili?
 
Ni muislamu

Waislamu wanaokula wapo wengi. Kitimoto kwenye uislamu haijakatazwa kihivyo, imeruhusiwa ikiwa hakuna chakula kingine.
Unasemaje? haijakatazwa kinini? kwahyo huyo doto amekosa chakula kingine? mtu akiamua kula uchafu wa jalalani mwenyewe kwa hiari yake asemwe yeye hakuna haja ya kuambatanisha na uislamu, maana uislamu uko mbali kabisa na hayo mambo.
 
Huyu Dotto Magari inadaiwa ni muislam lakini ameonekana akila mbuzi katoliki. Dotto ni muumini wa dini gani?View attachment 3121617
Siyo kula tu, huyo ni kati ya wafugaji wakubwa wa huyo mdudu nchini kwenu.
Dini inaruhusu kula kitimoto lakini asishibe, yaani ale kidogo tu. Sasa hapo kosa lipo wapi wakati anakila bila ugali ili asishibe?
 
Back
Top Bottom