DP World inatisha 2: Tazama bandari inazozihudumia Uingereza

Naiunga mkono DP world, lakini si kwa kiwango kufananisha na uwepo wao Uingereza.
Kiwango kipi, sijakuelewa. Unaweza kutujulusha zaidi?


Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Naona DP World mnamfokea afisa habari na mahusiano wenu.

Mikataba ya migodi ya dhahabu na gesi ccm walimilikisha jumlajumla, magufuli alibadili uelekeo wa mikataba ya rasilimali yaani kwa kutunga sheria ya 50 mwekezaji na 50 nchi ambao ni mfumo unaotumika Botswana ndio maana wao hunufaika na dhahabu yao hadi kesho, sasa hawa DP world walitakiwa waje wafungue Kampuni tanganyika ambayo itamilikiwa kwa 50/50 yaani equal share on operating, cha ajabu wamepeleka azimia bungeni kupindua meza ili kupoteza na kuua ile sheria ya 50/50 , huo ni ujuha uliotukuka
 
Waarabu wa Dubai wanatisha.


Mama Samia hujakosea kabisa kuamuwa kuwaleta DP World Tanzania.

Tupo na wewe 100%.
Mama wa kambo siyo mama. Alimuua baba ili atapanye mali zetu na mahawara zake wa uarabuni.
 
Tupe mfano wa nchi masikini kama ya kwetu iliyopata faida na maendeleo kwa uwekezaji wa DP katika bandari zao.Huko Uingereza DP hajaenda kuongeza chochote zaidi ya pesa za gesi.
Akikujibu nishtuee
 
P
Ma shaa Allah. Sema ni Uislam, usijitafune tafune. Usiogooe neni Yislam. Uislam ni mwema sana.

Najivunia Uislam wangu. Wewe unajivunia nini, upinde?

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Pimbi wewe hujui lolote! Eti dini mbona huendagi kuswali! Au dini unadhani ni kujifunga mtandio kiazi wewe! Jitu zima hata kuandika halijui! Unapitwa hata na watoto wa shule za msingi ! Fala tuu wewe !
 
P
Pimbi wewe hujui lolote! Eti dini mbona huendagi kuswali! Au dini unadhani ni kujifunga mtandio kiazi wewe! Jitu zima hata kuandika halijui! Unapitwa hata na watoto wa shule za msingi ! Fala tuu wewe !
Hoja yako nzuri sana, jifunze Uislam. Wewe unajuwa kusali na. Mie najifunza kuandika.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Tutazidi kutoa elimu taratibu juu ya mikataba ya kibiashara ya kimataifa ili baadae tuongee lugha moja kwa maslahi mapana ya nchi yetu mama tanganyika,
 
Hoja yako nzuri sana, jifunze Uislam. Wewe unajuwa kusali na. Mie najifunza kuandika.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Hujui kuandika kiazi wewe hata kwenye hiyo dini wewe ni hamuma haswa! Pimbi jike wewe
 
FaizaFoxy kwani hata CEO akiwa mnyaturu wewe inakusaidia nini wewe na shida zako hadi matakoni! Acha kujipendekeza wewe malaya wa bure ! Mamayo
 
Itafute Djibouti utaona impact ya hao DP
Hakuna impact yoyote wa DP kwa Djibouti, Bandari za Djibouti zimekuwa zinaendeshwa muda mrefu na shirika la Serikali ya Djibouti, baadaye wakaja Wachina na hao DP ambao walivurugana baada ya muda mfupi tu, wakaufuta mkataba wao na kuwanyang'anya Bandari. Sasa hivi Djibouti inadaiwa mabilioni ya Dola baada ya kushindwa kesi zilizotokana na mkataba wa aina hii unaopigiwa kelele.
 
Wewe poyoyo wacha lorojo. AlhamduliLlah nimesoma mtaala wa Cambridge.

"Spelling doesn't matter."

Chuo Kikuu cha Cambridge Kinasema Tahajia Haijalishi👇🏾​


Usuli​

Oh niambie hujawahi kupokea barua hii ya zamani ya mnyororo ambayo ilikuwa na aya ifuatayo iliyoambatanishwa ndani yake, na kukuonya kwamba ikiwa hautaisambaza kwa marafiki 20, kitu kibaya kitatokea. Kifungu -

Aya ina rundo la herufi ambazo zimechanganyikana na bado unaweza kuisoma kwa mwendo wa kawaida. Kifungu kinajieleza chenyewe na kusema kwamba kulingana na utafiti uliofanywa katika chuo kikuu cha Cambridge, haijalishi herufi katika neno ziko katika mpangilio gani; herufi za kwanza na za mwisho pekee zinahitajika kuwa mahali pazuri. Kulingana na hayo, kila kitu kilicho katikati kinaweza kuchanganyikiwa na bado unaweza kuisoma kwa urahisi hata ikiwa haifai kuwa na maana yoyote.

Maswali, Maswali!​

Hakika hupiga akili yako. Lakini ukianza kuhoji uhalali wa kile kifungu kinadai, unaanza kupata maswali kadhaa ambayo hayajajibiwa…

Soma zaidi: Cambridge University Says Spelling Does Not Matter? – Awesci – Science Everyday
 
FaizaFoxy kwani hata CEO akiwa mnyaturu wewe inakusaidia nini wewe na shida zako hadi matakoni! Acha kujipendekeza wewe malaya wa bure ! Mamayo
Kamsome niliyemjibu aliandika nini. Usidandie basi kwa mbele.


Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Fa
Kamsome niliyemjibu aliandika nini. Usidandie basi kwa mbele.


Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Fala wewe unajidai unawajua DP World! Mbona kabla hawajakuja hukuwahi kuwataja popote kima wewe wakati wa kampeni zako chafu za kidini! Boya tuu wewe fala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…