DP World inatisha. Musukuma alisema kweli

Madame, umekuja kwa kasi sana!!
Hapo ni Dar au Dubai?
Isikilize video clip, au lugha anayoogea binti huyo inakupiga chenga?

In Shaa Allah baadae ntaweka tafsiri ya Kiswahili.


Mama Samia anaupiga mwingi Kimataifa.
 
mwulize mamako
 
Heko.

Ynaufurahia uamuzi wa mama kuwaleta Waarabu wa Dubai au huufurahii?


Mama Samia anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Kwa mtindo huu wengi watakosa ajira tofauti na CCM wanavyosema nafasi nyingi za kazi zitapatikana na waliopo bandari kwa sasa katika ajira wanalindwa na mkataba hivyo hawatapoteza kazi zao.
 
Hao maharamia wakiarabu wana kesi kila taifa walipowekeza, kwani huko kote kwenye hayo makesi waliyofunguliwa hakuna mabinti wakuelezea teknolojia ya kushusha mizigo? Jiheshimu.

Samia ni shetani msaliti.
Sema Samia siyo Sukuma gang
 
Halafu nawashangaa sana utakuta mtu wa bara huko maji ya bahari ladha hajui mishipa ya shingo imesimama " bandari yetu bandari yetu" ... Agenda yao ni moja tu ! Uislamu basi !? Na ukanda...
 
Samia ni mpaka atake mwenyewe kuondoka, hatukuwahi kupata rais kama huyu,
Wanaopinga warudi kwao burundiiiiiiii
 
Mnapiga promo kibao lakini hao DIPIWODI wakija wanaweka mimashine ya kishamba tu na mitecknolojia ya kizamani waliyodump huku UK/USA miaka 10 iliyopita ndiyo mnakuja kufungiwa nyinyi.
 
Wapeleke Zanzibar kwanza
 
Msukuma alisema kweli, muone binti akishusha makontena kama anacheza video game[emoji1484]



Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
We Kibibi tuache na Tanganyika yetu tafadhali. Endekea kula Tende kwa raha zako.
 
Huyo Binti wa DPWorld Jebel Ali ndio Jemima Mrembo?
 
Kwa wataopedelea kusoma kwa Kiswahili kinachoelezwa kwenye post #1, warudi post#1 nimeweka tafsiri kwa msaada wa AI.


Mama anaupiga mwingi kimataifa.
 
Ni vzr muwaelewe watanzania nn wanataka nn hawataki!! Vita ya watanzania dhidi ya DPW ni juu ya terms and conditions, longevity ya mkataba na maslahi ya Taifa!! NB; Watanzania hawakatai uwekezaji, tatizo ni terms and conditions ambazo zipo deployed kweny mikataba na percentage za mapato ndio changamoto na sielew wanaoingia mikataba tang enz hizo hua wana nia gan na Taifa!!
 
Kwa wataopedelea kusoma kwa Kiswahili kinachoelezwa kwenye post #1, warudi post#1 nimeweka tafsiri kwa msaada wa AI.


Mama anaupiga mwingi kimataifa.
Pambana mtaan kumechafuka hali tete! Pesa hakuna hivyo shikilia hapohapo kikubwa mkono uzame kinywani!!
 
Pambana mtaan kumechafuka hali tete! Pesa hakuna hivyo shikilia hapohapo kikubwa mkono uzame kinywani!!
AlhamduliLlah, usimtishe Muislam kula.

Tunafahamu mtowa rizki ni nani.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…