davejillaonecka
JF-Expert Member
- Oct 17, 2018
- 697
- 749
Uko sahihi mkuuNafasi kama hii wazanzibari wanaililia leo wamepata watanganyika wanaona kama wanatapeliwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko sahihi mkuuNafasi kama hii wazanzibari wanaililia leo wamepata watanganyika wanaona kama wanatapeliwa.
Sasa kwanini lisipelekwe Uganda au DRC likashushiwe huko moja kwa moja?Naona hii itakuwa mahususi kwa ajili ya upande wa DRC Congo na Uganda ambao na wao wanatumia bandari ya Dsm.
Wabongo wanataka bandari iendelee kuwanufaisha mabwanyenye wachache bandarini kuna upigaji usio na mfano.Uko sahihi mkuu
Ficha ujinga wako.kisa umesikia bandar kavu ndio wazani ni kama godown la mahindi?
Unajieza kwa kp ebu toa orodha ya taasis inayojiendesha vizur ya serikali....
Read btn the lines acha kukurupuka....Hakuna Sehemu ambayo DP world amewekeza ambayo hajawekeza kupanua Bandari, akipewa Bandari hata Hapa Tanzania anaweza kuweka zaidi ya hio 50k Teu.
Unaiongelea hii kampuni kama Vile ni kikampuni cha uchochoroni kinaweza kuwa controlled na Rwanda.
Ni mkataba wa hovyo snNa ndio kile kipengele cha kutovunja mkataba hata kitokee nini kinapopigiwa kelele. Ila naomba kuuliza, kwamba uchukue kontena Dar hadi Rwanda halafu ndio upeleke Zambia? Au kontena litike Dar linende kukaa Reanda halafu ndio ulipakie tena kwa mara ya pili kwenda Kongo?
Tatizo kwetu ni haya majangili ya CCMila kagame mpambanaji sana, alishatutukana kwamba yeye angekuwa na bandari tu ingetosha, sasaivi ameamua kuleta uwekezaji kwenye bandari kabu sisi ya maji tu imeleta shida. angekuwa kwenye bahari huyo tusingemkuta.
Safi, kwa ukubwa wa soko la Rwanda hiyo mizigo itachukua muda gani kusambazwa nchi nzima au mingine itakuwa inaletwa bongo kwa kutumia Rwanda kama transit center.Katika hili wala hauhitaji kujua aliye nyuma ya hawa DP World ni nani, haijatokea kwa bahati mbaya, hakuna coincidence hapa, ni mipango iliyopangwa ikapangika na sasa tunaenda kupigwa mchana kweupeee.
==========================
TAARIFA KUHUSU UWEKEZAJI UNAOPENDEKEZWA NA DP WORLD TANZANIA
DP World imejenga kituo cha hadhi ya kimataifa cha bandari kavu na kitovu cha usafirishaji katika Rwanda, ambayo ni ndogo kijiografia na isiyo na bahari yenye uwezo wa kuhifadhi makontena 50,000 kwa wakati mmoja. Kinyume chake, bandari ya Dar es Salaam katika Tanzania kubwa kijiografia ina uwezo wa kuhifadhi kontena 19,000 TU kwa wakati mmoja.
Hii ina maana kwamba kama meli kubwa ya kontena yenye uwezo wa kubeba takriban TEU 20,000 au zaidi ingetia nanga Dar es Salaam, kituo kidogo cha kontena cha bandarini hakingeweza kuhifadhi shehena ya meli moja tu.
Wakati mjadala wa kitaifa wenye SIASA NYINGI ukiendelea kuhusu masharti ya uwekezaji ujao wa DP World nchini Tanzania, bandari ya Dar es Salaam bado ina uhitaji mkubwa wa uwekezaji wa miundombinu. Wakati huo huo, Rwanda tayari imejenga bandari kavu ya hadhi ya kimataifa, na nchi jirani ya Kenya inatafuta wawekezaji wa kibinafsi kuendesha sehemu muhimu za bandari zake za Lamu na Mombasa.
Ingawa hoja halali kuhusu masharti ya uwekezaji inapaswa kushughulikiwa, ni wakati sasa kwa Tanzania kujadiliana na DP World kwa kina kwani bandari ya Dar es Salaam itakuwa kama njia tuu ya kupeleka shehena Rwanda. Hii ina maana Rwanda itakuwa inapata faida kubwa kupitia bandari yetu kulinganisha na sisi.
View attachment 2656852
View attachment 2656853
View attachment 2656854
View attachment 2656854
View attachment 2656855
yaani, itafika Dsm port, itasafirishwa moja kwa moja kwa reli tuliyojenga kwa kodi zetu au kwa barabara tulizojenga kwa kodi zetu, itafikia Rwanda. wacongo hawatahitaji kuja bongo kuchukua mizigo yao, watachukulia pale bandari ya kigali tu. unaona akili hiyo? kwahiyo anakuwa ameimiliki bandari ya dsm kwa mlango wa nyuma. hao watu wote walitakiwa waje bongo, watumie makampuni ya usafirishaji ya bongo, walete hela kwenye lodge/guest/hotel za bongo na walete mzunguko wa pesa. sasa watakatwa waishie kigali kwenye bandari ya dp word. bongolala.Safi, kwa ukubwa wa soko la Rwanda hiyo mizigo itachukua muda gani kusambazwa nchi nzima au mingine itakuwa inaletwa bongo kwa kutumia Rwanda kama transit center.
ndioTutachukulia mizigo yetu Rwanda
Biashara ni Sayansi
Huku tunapambania democratic ili wanasiasa nao waingia kulabinafsi nafurahi Rwanda ikipiga hatua kimaendeleo kuziona fursa kuzing'amua na kuzichangamkia.
lengo langu labda uwenda majirani wazembe,wala rushwa na wavivu watajifunza kwa huyu jirani yao Rwanda,nchi changa iliyotoka kwenye machafuko lakini kwa muda mchache wanatengeneza nchi yao.
Sijaelewa, kwamba final destinatin iwe DRC halafu mzigo ukashushwe Rwanda?Acha kupotosha watu, mteja let's say kutoka Congo DR amenunua mzigo wake China, yeye ndio ayaamua mzigo wake aupokelee wapi Final destination kutokana na freight aliyolipia. Kumbuka ukinunua mzigo kitu cha kwanza supplier atakuuliza final distinction ni wapi na mzigo wako utaupokelea wapi ( port of delivery ) acha kupotosha watu
Na wewe umelipwa kiasi ganiMnalipwa kiasi gani kutetea huu uozo wa huu mkataba? Hebu kama mmeamua kujitoa ufahamu nyinyi kwa vipande 30 vya feza basi waoneeni huruma watoto wa watoto zenu.Hatupendi wajukuu zetu waje watuone kama sote tulikuwa hamnazo,lazima watu wahoji na wapatiwe majibu ya kueleweka pale panapohijika.
Wewe peke yako ndio hutaki sie wengine tunamuhitaji DpwNinachoshangaa Waafrila mtu akiwa na kamgao Yuko tayari kupambana kufa alimradi yeye na familia yake wananufaika. Kama watz wamesema hapana kwanini msisitishe , nguvu kubwa inayotumika ni ya Nini?
Tena iwe milele bin milele maana bandari kwa sasa inawanufaisha wachacheShida yetu kubwa ni mkataba wa milele, na vipengele vingine lukuki ambavyo havina maslahi Kwa watanganyika