DP World tayari imejenga "Bandari Kavu" Rwanda yenye uwezo wa kontena elfu 50, wakati bandari yetu ni ya kontena elfu 19 tu

Binafsi sioni cha ajabu kwa sababu ni rahisi kujenga bandari nchi kavu tofauti na kujenga baharini au pembeni ya bahari



Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Kama Samia ameshindwa kubuni vyanzo vya mapato aondoke ofisini waingie wenye uwezo

Asiuze nchi kwa waarabu kwa visingizio visivyokuwa maana
Unajieza kwa kp ebu toa orodha ya taasis inayojiendesha vizur ya serikali....
 
ila kagame mpambanaji sana, alishatutukana kwamba yeye angekuwa na bandari tu ingetosha, sasaivi ameamua kuleta uwekezaji kwenye bandari kabu sisi ya maji tu imeleta shida. angekuwa kwenye bahari huyo tusingemkuta.
 
Hakuna Sehemu ambayo DP world amewekeza ambayo hajawekeza kupanua Bandari, akipewa Bandari hata Hapa Tanzania anaweza kuweka zaidi ya hio 50k Teu.

Unaiongelea hii kampuni kama Vile ni kikampuni cha uchochoroni kinaweza kuwa controlled na Rwanda.
Read btn the lines acha kukurupuka....
 
Ni mkataba wa hovyo sn
 
ila kagame mpambanaji sana, alishatutukana kwamba yeye angekuwa na bandari tu ingetosha, sasaivi ameamua kuleta uwekezaji kwenye bandari kabu sisi ya maji tu imeleta shida. angekuwa kwenye bahari huyo tusingemkuta.
Tatizo kwetu ni haya majangili ya CCM
 
Safi, kwa ukubwa wa soko la Rwanda hiyo mizigo itachukua muda gani kusambazwa nchi nzima au mingine itakuwa inaletwa bongo kwa kutumia Rwanda kama transit center.
 
naanza kuhusi hizi terms za kutaka tusijenge bandari ingine bongo alizileta kagame, ili tusijenge bandari nzuri ziwa Tanganyika kufika congo kirahisi, wala mpakani na burundi, ili dp word yake ya kigali iwe monopoly ya mizigo ya congo. na sisi tukaingia kichwa kichwa, na kagame alikuja hapa recently, alikuja kujadili nini?
 
Safi, kwa ukubwa wa soko la Rwanda hiyo mizigo itachukua muda gani kusambazwa nchi nzima au mingine itakuwa inaletwa bongo kwa kutumia Rwanda kama transit center.
yaani, itafika Dsm port, itasafirishwa moja kwa moja kwa reli tuliyojenga kwa kodi zetu au kwa barabara tulizojenga kwa kodi zetu, itafikia Rwanda. wacongo hawatahitaji kuja bongo kuchukua mizigo yao, watachukulia pale bandari ya kigali tu. unaona akili hiyo? kwahiyo anakuwa ameimiliki bandari ya dsm kwa mlango wa nyuma. hao watu wote walitakiwa waje bongo, watumie makampuni ya usafirishaji ya bongo, walete hela kwenye lodge/guest/hotel za bongo na walete mzunguko wa pesa. sasa watakatwa waishie kigali kwenye bandari ya dp word. bongolala.
 
kwa lugha nyingine, unaweza kuona kagame ameweka mazingira shindani, ikawa rahisi kununua mzigo Rwanda kuliko dsm, wafanyabiashara wote wa congo, uganda, kenya na kwengine wakakimbilia kufunga mzigo singapore ya africa (rwanda). very simple.
 
Huku tunapambania democratic ili wanasiasa nao waingia kula
 
Sijaelewa, kwamba final destinatin iwe DRC halafu mzigo ukashushwe Rwanda?
 
Na wewe umelipwa kiasi gani
 
Ninachoshangaa Waafrila mtu akiwa na kamgao Yuko tayari kupambana kufa alimradi yeye na familia yake wananufaika. Kama watz wamesema hapana kwanini msisitishe , nguvu kubwa inayotumika ni ya Nini?
Wewe peke yako ndio hutaki sie wengine tunamuhitaji Dpw
 
Shida yetu kubwa ni mkataba wa milele, na vipengele vingine lukuki ambavyo havina maslahi Kwa watanganyika
Tena iwe milele bin milele maana bandari kwa sasa inawanufaisha wachache
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…