DP World wawepo Uingereza kwa wanaojitambua halafu Waswahili wa Tanzania tuikatae?

Tanzania ina watu wajinga sijapata kuona hao UK nao wanaanza kwenda kuwakagua Dubai ndio wanawapa kama UK walishamaliza mambo ya kuwa na mikataba sahihi kwa manufaa ya Wananchi wao sio matumbo yao hao DP World ni kampuni kubwa kweli ila zipo sehemu wanashindwa Tender na kampuni zingine bora zaidi hapo kwa Madiba wana dry port Komatiport ambayo wamepewa eneo kwa ajili ya mizigo ya bandari ya Msumbiji ila walishindwa Tender ya Bandari ya Durban na Bandari ya Eastern Cape na kumbuka wana ofisi muda mrefu hapo Durban ila Transnet walitangaza kwa Tender Makampuni zaidi ya 15 yakaomba ilikua 2021 mwishoni mpaka leo 2023 June ni kampuni 4 ndio zimechujwa na hapo inatakiwa kampuni moja ili Bunge leo liidhinishe baada ya Wataalamu wa Transnet na maswala ya Bandari kuelezea...hakuna Msauzi alieenda sijui China,Uholanzi kuangalia ubora wa hizo Kampuni kama tulivyofanya hapa kwetu wasafirishaji wakina Msukuma waende Docks ambako hata hawajui vinafanyikaje vitu na kuachwa Wataalamu kwenye maswala ya Bandari...Nchi hii ina safari ndefu sana kwa kuwa haina Wazalendo wa kweli kwenye Mali zao.
 
Uko sahihi popoma. Bongo ina uhaba mkubwa wa wananchi wanaojielewa. Ukitoa makundi yafuatayo unaweza kukuta hata hao wanaojitambua 50k hawafiki;
1. Wafuasi wa Da Mange.
2. Wafuasi wa Mdude Chadema.
3. Wafuasi wa Dr Babutale.
4. Wafuasi wa manabii feki.
Umewasahau wafuasi wa Jiwe
 
Huku kuna ports 51 na zinaingiza mkwanja na 2 za DP pamoja na rail
Ni kampuni inayomilikiwa na Royal family
Acha waingie tu
 
Inaonekana uelewa wako ni kama wa makanjanja wa kule mjengoni waliomezeshwa maneno, unadhani masharti ya mkataba waliosaini UK yanalingana na masharti tuliyopewa sisi? Tunacho pigia kelele hapa ni masharti ya hivyo ya mkataba wenyewe.
 
Yaani DP World wawepo hadi nchi kubwa ya watu wanaojitambua Duniani ya Uingereza halafu Waswahili wa Tanzania tuikatae?

Taratibu sasa naanza kuamini kuwa huenda Taifa letu lina bahati ya kuwa na population kubwa ya watu Milioni 61 na Vyuo Vikuu vingi ila wanaojielewa hasa wakawa hawazidi hata elfu hamsini (50,000).

Yaani DP World ashindwe kuharibu nchi ya Uingereza aliyomo (kiuwekezaji wa bandari) na nchi zingine 36 halafu akija Uswahilini Tanzania asiweze kufanya vyema huko aliko na alikofanya vyema?

DP World wapewe bandari tafadhali.
Mjadala ufungwe😃
 
Weee vipi? Wee ndo uelewi! Shida sio Dp world! Shida ni mkataba kandamizi na kinyonyaji! Uingereza mkataba wao ni kutanguliza maslahi ya Uingereza kwanza na baadaye mwekezaji! Hapa Bongo kwanza walitanguliza rushwa kwa serikali (SSH), wakaja wabunge, wakaha kwa waandishi wa habari! Baada ya hapo wakapitisha mkataba kandamizi! Hawa viongozi tulionao woote wamehongwa na hawajitambui!
 
Wabongo tuko sawa, usitulazimishe kuamini ujinga. Tena sasa hivi ndo tupo active sana. Kwani mikataba mingapi mikubwa imepita huko nyuma na tulipigwa? Acha kujisahaulisha na kuita wabongo wenzako wajinga. Huna werevu wowote wewe. Tunahoji kwa maslahi yetu sote na sio ujinga, hizo ni rasilimali za taifa.
Acha kunililia hapa. Mimi sio mzazi wako.
 
Yaani DP World wawepo hadi nchi kubwa ya watu wanaojitambua Duniani ya Uingereza halafu Waswahili wa Tanzania tuikatae?

Taratibu sasa naanza kuamini kuwa huenda Taifa letu lina bahati ya kuwa na population kubwa ya watu Milioni 61 na Vyuo Vikuu vingi ila wanaojielewa hasa wakawa hawazidi hata elfu hamsini (50,000).

Yaani DP World ashindwe kuharibu nchi ya Uingereza aliyomo (kiuwekezaji wa bandari) na nchi zingine 36 halafu akija Uswahilini Tanzania asiweze kufanya vyema huko aliko na alikofanya vyema?

DP World wapewe bandari tafadhali.
Mhhh Genta ni ww kweli umeandika huu uzi au mchepuko wako kadandia simu yako?😳😳😳😳
 
Yaani DP World wawepo hadi nchi kubwa ya watu wanaojitambua Duniani ya Uingereza halafu Waswahili wa Tanzania tuikatae?

Taratibu sasa naanza kuamini kuwa huenda Taifa letu lina bahati ya kuwa na population kubwa ya watu Milioni 61 na Vyuo Vikuu vingi ila wanaojielewa hasa wakawa hawazidi hata elfu hamsini (50,000).

Yaani DP World ashindwe kuharibu nchi ya Uingereza aliyomo (kiuwekezaji wa bandari) na nchi zingine 36 halafu akija Uswahilini Tanzania asiweze kufanya vyema huko aliko na alikofanya vyema?

DP World wapewe bandari tafadhali.
DP World wawepo Uingereza ni sawa na mkataba unafanana na uliopelekwa Dodoma kupitishwa na Joseph Musukuma?
 
Back
Top Bottom