thetowerofbabel
JF-Expert Member
- Jul 17, 2010
- 266
- 360
Hata mchina anavyo deal na mzungu ni tofauti na anavyo deal na MwafrikaWe unaona Uingereza ipo sawa na sisi? Elimu, siasa, uwazi na uhuru wa vyombo vya habari? Ulishatizama bunge la Uingereza? Wale jamaa ni vichwa huwezi waingiza mikataba ya kijinga na hata ikitokea utawajibishwa, katiba yao imenyooka, PM wanapigiwa kura za kutoaminiwa na MPs hapa utaweza?
Kingine hizo bandari sio kubwa kwa taifa la Uingereza.
Hata bidhaa anatengeneza kwa ajiri ya Ulaya ni tofauti na inayokuja Africa
Wanajua viongozi wetu Africa wanafikiri kwa kutumia cauda equina