DP World wawepo Uingereza kwa wanaojitambua halafu Waswahili wa Tanzania tuikatae?

We unaona Uingereza ipo sawa na sisi? Elimu, siasa, uwazi na uhuru wa vyombo vya habari? Ulishatizama bunge la Uingereza? Wale jamaa ni vichwa huwezi waingiza mikataba ya kijinga na hata ikitokea utawajibishwa, katiba yao imenyooka, PM wanapigiwa kura za kutoaminiwa na MPs hapa utaweza?

Kingine hizo bandari sio kubwa kwa taifa la Uingereza.
Hata mchina anavyo deal na mzungu ni tofauti na anavyo deal na Mwafrika
Hata bidhaa anatengeneza kwa ajiri ya Ulaya ni tofauti na inayokuja Africa

Wanajua viongozi wetu Africa wanafikiri kwa kutumia cauda equina
 
Mm mdau wa PPP napenda uwekezaji kwenye sekta nyingi za Serikali ili kutoa nafasi ya huduma za ushindani na kuamsha Ari ya utendaji kwenye sekta husika lkn tukisema DP world kuwa Uingereza ni kigezo cha sisi pia kuwakubali hiyo ni hapana, mkataba na makubaliano ya DP world vs Uingereza na DP world vs Tanzania obvious ni tofauti kabisa! Kinacho takiwa kuangaliwa ni makubaliano pekee na nchi husika, tukija upande wa pili kwenye mifano ya nchi DP world wana oparate mfano tukitumia Mfano wa Djibouti na nchi nyingine zenye case mahakamani na DP world tunaweza sema pia DP world haifai, lkn tukienda deep kwenye makubaliano yao utakuta labda mkataba walioingia akina Djibouti ndio unawabana.
 
Yaani DP World wawepo hadi nchi kubwa ya watu wanaojitambua Duniani ya Uingereza halafu Waswahili wa Tanzania tuikatae?

Taratibu sasa naanza kuamini kuwa huenda Taifa letu lina bahati ya kuwa na population kubwa ya watu Milioni 61 na Vyuo Vikuu vingi ila wanaojielewa hasa wakawa hawazidi hata elfu hamsini (50,000).

Yaani DP World ashindwe kuharibu nchi ya Uingereza aliyomo (kiuwekezaji wa bandari) na nchi zingine 36 halafu akija Uswahilini Tanzania asiweze kufanya vyema huko aliko na alikofanya vyema?

DP World wapewe bandari tafadhali.
Hakuna uzi murua kama huu!

Imagine
Watu wanalia TOZO.

Solution ya Tozo ni kuondoa ule ujinga unaifanyika pale Bandarini!

Hapa TRA wajipange tu vizuri kwa kufanya moderation ya kodi kwa baadhi ya Bidhaa kwa Sababu DP wao hawakutani na Mtu.

Ni Mashine tu inascan na kukutolea Assessment kule!

Sasa kuna kitu kimoja watu hawakijua.

Serikali ikiwa na uwezo wa kukusanya Mapato makubwa na kuweza kutoa huduma zote muhimu kwa watu wake ndipo sasa UZALENDO UNAKUWA DHAHIRI kwa Sababu kila mtu atapenda kulinda maslahi ya Nchi isishindwe kuhudumia wananchi wake vizuri kama ambavyo imeweza!

Saa hizi unakuta kuna ujinga mwiiingi kule Bandarini na watu wachache wanaweza kununua vigari viwili vitatu halafu tunasema acha vijana wetu wapate kazi huko Bandarini!

Hakuna!

Tumeambiwa Bandari inapaswa kutuingizia Trillion 2 kwa Mwezi -ikiwa Bandari pekee itatupa iyo 2T maana yake tutafika 4T...sasa Kuna kitu gani tutashindwa kama Nchi?

Huu Mradi na uje hata kesho!!
 
Bado na ww mjnga tu,mashaka yote yapo kwenye mkataba au tuongeze sauti.
 
Elimu elimu elimu.masharti ya mkataba wa uingereza na tz ni tofauti
 
watu wengi wanaopinga ubinafsishaji , ni watu ambao hawajui fedha zinavyoibiwa katika mashirika ya umma. yaani hawaelewi , hawajui kitu. Laiti ungejua usingepandisha mishipa kuponda suala la kubinafsisha bandari. UFI, URAFIKI, Tanganyika Parkers, Embassy Hotel,New Africa Hotel, Kilimanjaro Hotel, Air Tanzania, Sigara, Kampuni ya bia, NARCO, Yooote hayo yanakufa ni wizi na ubadhilifu katika mashirika ya umma.
unaetetea kutobinafsisha hujui lolote kuhusu waswahili. cha muhimu mkataba uwe na gawio stahili kwa nchi baaaasi. lakini kumuweka mswahili pale, yuko tayari kuuza crane apate hele ada ya Fesa Boys
Watoto wako wakiiba vijiko ndani unauza nyumba?
 
Wewe ni mjinga huniambii akili zako zinaishia uko porini

Hujui hawa majangili ya kiarabu yamesitishiwa mikataba nchi nyingi kwa ufisadi na kufanya ujangili

Watanganyika wengi mna low iq ndio maana mnatawaliwa na watu wenye uwezo mdogo
Sawa Juha.
 
watu wengi wanaopinga ubinafsishaji , ni watu ambao hawajui fedha zinavyoibiwa katika mashirika ya umma. yaani hawaelewi , hawajui kitu. Laiti ungejua usingepandisha mishipa kuponda suala la kubinafsisha bandari. UFI, URAFIKI, Tanganyika Parkers, Embassy Hotel,New Africa Hotel, Kilimanjaro Hotel, Air Tanzania, Sigara, Kampuni ya bia, NARCO, Yooote hayo yanakufa ni wizi na ubadhilifu katika mashirika ya umma.
unaetetea kutobinafsisha hujui lolote kuhusu waswahili. cha muhimu mkataba uwe na gawio stahili kwa nchi baaaasi. lakini kumuweka mswahili pale, yuko tayari kuuza crane apate hele ada ya Fesa Boys
Thinking Kubwa kama hi yako kamwe usitegemee Lumpen Proletariat kama uwe hodari akawa nayo.

Huwa napenda mno Watu Brainiac kama hivi Wewe ambao mkisikia Jambo hamdemki nalo Bali mnalichakata Kifikra zaidi.
 
Hakuna uzi murua kama huu!

Imagine
Watu wanalia TOZO.

Solution ya Tozo ni kuondoa ule ujinga unaifanyika pale Bandarini!

Hapa TRA wajipange tu vizuri kwa kufanya moderation ya kodi kwa baadhi ya Bidhaa kwa Sababu DP wao hawamutani na Mtu.

Ni Mashine tu inascan na kukutolea Assessment kule!

Sasa kuna kitu kimoja watu hawakijua.

Serikali ikiwa na uwezo wa kukusanya Mapato makubwa na kuweza kutoa huduma zote muhimu kwa watu wake ndipo sasa UZALENDO UNAKUWA DHAHIRI kwa Sababu kila mtu atapenda kulinda maslahi ya Nchi isishindwe kuhudumia wananchi wake vizuri kama ambavyo imeweza!

Saa hizi unakuta kuna ujinga mwiiingi kule Bandarini na watu wachache wanaweza kununua vigari viwili vitatu halafu tunasema acha vijana wetu wapate kazi huko Bandarini!

Hakuna!

Tumeambiwa Bandari inapaswa kutuingizia Trillion 2 kwa Mwezi -ikiwa Bandari pekee itatupa iyo 2T maana yake tutafika 4T...sasa Kuna kitu gani tutashindwa kama Nchi?

Huu Mradi na uje hata kesho!!
Thanks for the Credits Chief na nimeuanzisha huu Uzi ili Masikini wa Akili na Kufikiri wanaoongozwa na uwe hodari nao wawe na Utajiri wa Akili na Maarifa kama tulionao Wengine.
 
watu wengi wanaopinga ubinafsishaji , ni watu ambao hawajui fedha zinavyoibiwa katika mashirika ya umma.
Pesa inaibiwa kila mwaka mawizarani, tubinafsishe wizara zote na Ikulu kuzuia wizi?
 
DP WORLD watu wanashindwa kuelewa kua huyo ni mwingereza kwa mgongo wa hao waraabu wa hapo Dubai.
 
Yaani DP World wawepo hadi nchi kubwa ya watu wanaojitambua Duniani ya Uingereza halafu Waswahili wa Tanzania tuikatae?

Taratibu sasa naanza kuamini kuwa huenda Taifa letu lina bahati ya kuwa na population kubwa ya watu Milioni 61 na Vyuo Vikuu vingi ila wanaojielewa hasa wakawa hawazidi hata elfu hamsini (50,000).

Yaani DP World ashindwe kuharibu nchi ya Uingereza aliyomo (kiuwekezaji wa bandari) na nchi zingine 36 halafu akija Uswahilini Tanzania asiweze kufanya vyema huko aliko na alikofanya vyema?

DP World wapewe bandari tafadhali.
Kumbuka bongolala na check & balance yake😂
 
Ujinga ujinga tu watu hawakatai wawekezaji kisichotakiwa ni aina ya uwekezaji
 
Back
Top Bottom