Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Usihofu tujipe muda angalao miaka miwili halafu tuwahukumu kwa HAKI🤓Tutajua vipi kama wamelipia Ushuru stahiki?
Kazi kweli.
Tumewagawia Bandari zote. Eh Mungu wee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usihofu tujipe muda angalao miaka miwili halafu tuwahukumu kwa HAKI🤓Tutajua vipi kama wamelipia Ushuru stahiki?
Kazi kweli.
Tumewagawia Bandari zote. Eh Mungu wee.
Asante kwa kutumia kiasi cha ubongo wako kwa ufasaha!Usihofu tujipe muda angalao miaka miwili halafu tuwahukumu kwa HAKI🤓
Hii hoja ya kuwa anafanya kazi UK, ni wajinga kama wewe na huyo rais wako kiazi ndiyo mnaishikilia. Hivi unajua hata UK anafanya kazi gani na kwa mkataba gani? Kwa taarifa yako haya ni mambo nilinayojua na sifuati mkumbo kama wewe n huyo rais wako!DP World anafanya kazi UK, Unamaanisha waingereza ni wajinga?, always tumia kiasi cha ubongo ulichojaliwa.
International business zina special criteria, hii siyo biashara ya vitumbua, anayeingia kazi anakuwa amejizatiti kutimiza malengo fulani.
Nao wanajiuliza mzigo utabaki kitu hapo?Tutajua vipi kama wamelipia Ushuru stahiki?
Kazi kweli.
Tumewagawia Bandari zote. Eh Mungu wee.
Achana na mashamba ya wakubwaJuhudi zote hizi zilete ongezeko la mapato kwa taifa na si vinginevyo!
Tungefurahi kuona tunapatiwa update za ongezeko la mapato kila wakati bila kupikwa kisanii.
Ni wakina nani wanaopangisha pango kwa muda wa miaka 30? Sawa basi, utasema wanataka kurudisha fedha zao $250 Millioni? Tanzania tumetumia takribani $800 millioni-kwanini tusingesubiri hiyo mika 30 turudishe Investmens zetu?Mnachoshindwa kukielewa ni dhana mpya ya biashara ya bandari duniani, kingine hamkielewi ni huyo DP World kuwa mpangaji tu sawa na ambavyo tunawapangisha wapangaji kwenye nyumba zetu.
Kwamba sasa na mhindi kapewa kipande basi kuna uhalali wa DPW nae kuendelea? 'Mdosi' ana mkataba kama wa IGA? 'Mdosi' nae anapangishwa kwa miaka 30?Hapo mwenye nyumba ni TPA mwenyewe DPW ni mpangaji sawa na yule mdosi anayeanza kazi mwaka huu.
Na hiyo, ni kwasababu za makelele ya Wapenda Nchi. hatahivyo, Initially according to the agreement kati ya Serikali yetu na DPW, ambamo Serkali inapaswa kuwaeleza na kupata ridhaa kutoka DPW upo uwezekano mkubwa kwamba hawa ni ma sub contractors, na kwasababu mkatabu huu umebubujikwa na Usiri after the fact, hatuezi kujua nini kimefanyika-ama unataka kusema walibadilisha vipengele vya masharti?Na hao ni wapangaji wawili tu wa bandari za Dar kuna wapangaji wengine wa bandari ya Tanga, Bagamoyo na kule Mtwara.
Wewe ndie unasema imeuzwa, mimi nasema, wamegawiwa. Justification ya kugawiwa bandari yetu ambayo ina changia 40% ya mapato ya Serikali yetu is Unfathomable, ni vigumu kuelewa. Je, kuna rushwa? au Upendeleo kwa wajomba?Dhana kwamba Samia kauza bandari zetu eti kwa waarabu ambao ni wajomba zake ni upuuzi kama upuuzi mwingine wowote ule.
DPW anaendesha bandari za India, Belgium na Uingereza, na huko wameuza pia bandari zao kwa mwarabu?.
Wewe endelea kubwatuka.Bandari zipi unaongelea au unasumbuliwa na msongo wa mawazo.Tutajua vipi kama wamelipia Ushuru stahiki?
Kazi kweli.
Tumewagawia Bandari zote. Eh Mungu wee.
Ticts washasepa kuna wahindi kuleNa kule kwa TICTS niaje?
Kwa mantiki hiyo yako kampuni hiyo hiyo inaendesha bandari ya Southampton Uingereza.Nao waingereza hawana akili watu waliotawala nusu ya dunia?Qatar ina vitega uchumi vya uhakika kwenye Jiji la London na waliowaruhusu hawana akili?Njaa na udini ni magonjwa mabaya kwa ustawi wa akili ya mtu.Hiyo haiondoi ukweli kwamba ccm yote hakuna mwenye akili na ushahidi ni huo wa mfano mmoja tu wa bandari, kwa miaka zaidi ya 60 inashindwa kuendesha bandari kwa faida wanazidiwa akili na kikampuni kilichoanzishwa mwaka 2005 kipindi ambacho Kikwete anaanza ngwe yake ya kwanza ya urais Ccm muache kuhadaa wananchi, hamna mnaloweza zaidi ya kuiba na kujilimbikizia mali kifisadi. Inakuaje kampuni inakuwa na ufanisi kuliko serikali ambayo hata kodi hailipi?
Mkuu, you have a preset and prejudice mindset. your bigoted and racist view is well documented here on JF.Nao wanajiuliza mzigo utabaki kitu hapo?
Na ndio hao na wapambe wao ndio wanalalamika sana kwa kuwa wanajua free lunch is no more.Itabidi ufanye kazi ndio ule.Wale wazee wa tpa wa kuingia kazini saa mbili kupiga dili kwenda kula lunch kwa shilole sijui wanarudi saa tisa kazini
Kazi wanayo
Ova
Hata mimi nimeshangaa!Gati namba 1 hadi 7?
Mbona walisema wanapewa Gati moja?
Huyu malikia wetu jamani
Hivyo vifaa vinajulikana na tulikuwa na uwezo wa kuvileta, tatizo mafisadi wapo kaziniMAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), imesema kampuni ya DP World ya Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) imeanza kushusha vifaa katika Bandari ya Dar es Salaam kuanza uwekezaji.
Aidha, TPA imebainisha kuwa makabidhiano ni tangu Aprili 7, mwaka huu bila kuathiri uendeshaji wa bandari hiyo. Mkurugenzi wa Bandari ya Dar es Salaam, Mrisho Mrisho alisema hayo Dodoma akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Plasduce Mbossa katika Mkutano wa 13 wa Mwaka wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF).
Mrisho alisema DP World ambao wataendesha gati namba moja hadi saba, wameshusha meli nzima yenye vifaa vya kisasa ikiwamo mashine nane za RTG, mashine nyingine 19 za kushusha kontena, jenereta kubwa za kuendesha mashine hizo na mashine nyingine nne ziko njiani.
Ni hivi. Wananchi hawajaridhishwa na mkataba huu kati ya DPW na Serikali.Wewe endelea kubwatuka.Bandari zipi unaongelea au unasumbuliwa na msongo wa mawazo.
Wananchi wangapi?Una interest na Bandari na mkate umemwagiwa mchanga?Kelele zako binafsi hazisaidii chochote na kama mkataba umekupa tabu sana nenda kwa Mangi nunua kamba cha kufanya unajua. Mimi nitalipia hiyo kamba.Ni hivi. Wananchi hawajaridhishwa na mkataba huu kati ya DPW na Serikali.
Wacha ni bwatuke tu. Ad hominem. Huna hoja.
NB: Inachekesha unauliza Bandari zipi zinaongelewa, wakati taarifa iliyo mezani inasema hivyo. Nani anae bwatuka hapa?
Amani ikufikie.
Tanzania ilishindwa kununua hizo mashine[emoji856][emoji855]......Anyway wakitangaza kazi nishtue ndugu mjumbe...!!MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), imesema kampuni ya DP World ya Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) imeanza kushusha vifaa katika Bandari ya Dar es Salaam kuanza uwekezaji.
Aidha, TPA imebainisha kuwa makabidhiano ni tangu Aprili 7, mwaka huu bila kuathiri uendeshaji wa bandari hiyo. Mkurugenzi wa Bandari ya Dar es Salaam, Mrisho Mrisho alisema hayo Dodoma akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Plasduce Mbossa katika Mkutano wa 13 wa Mwaka wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF).
Mrisho alisema DP World ambao wataendesha gati namba moja hadi saba, wameshusha meli nzima yenye vifaa vya kisasa ikiwamo mashine nane za RTG, mashine nyingine 19 za kushusha kontena, jenereta kubwa za kuendesha mashine hizo na mashine nyingine nne ziko njiani.
Watanganyika wamekataa huu mpango ,mpeni hata mzawa itakua safi sanaMAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), imesema kampuni ya DP World ya Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) imeanza kushusha vifaa katika Bandari ya Dar es Salaam kuanza uwekezaji.