Ni wakina nani wanaopangisha pango kwa muda wa miaka 30? Sawa basi, utasema wanataka kurudisha fedha zao $250 Millioni? Tanzania tumetumia takribani $800 millioni-kwanini tusingesubiri hiyo mika 30 turudishe Investmens zetu?
Kwamba sasa na mhindi kapewa kipande basi kuna uhalali wa DPW nae kuendelea? 'Mdosi' ana mkataba kama wa IGA? 'Mdosi' nae anapangishwa kwa miaka 30?
Na hiyo, ni kwasababu za makelele ya Wapenda Nchi. hatahivyo, Initially according to the agreement kati ya Serikali yetu na DPW, ambamo Serkali inapaswa kuwaeleza na kupata ridhaa kutoka DPW upo uwezekano mkubwa kwamba hawa ni ma sub contractors, na kwasababu mkatabu huu umebubujikwa na Usiri after the fact, hatuezi kujua nini kimefanyika-ama unataka kusema walibadilisha vipengele vya masharti?
Wewe ndie unasema imeuzwa, mimi nasema, wamegawiwa. Justification ya kugawiwa bandari yetu ambayo ina changia 40% ya mapato ya Serikali yetu is Unfathomable, ni vigumu kuelewa. Je, kuna rushwa? au Upendeleo kwa wajomba?
Hizo nchi wana vyanzo vingi vya mapato, hizo bandari zao sidhani vinachangia 40% ya mapato ya Serikali kama ilivyo Tanzania, na itoshe wamo wabia wengi ndani ya DPW waliotoka kwenye hizo nchi-Tanzania tuna wabia wangapi?