DP World yashusha meli nzima ya vifaa bandarini, TPA wasema walishakabidhiana tangu April 7

Private kutimuliwa saa yoyote. Wajipange kufanya kazi, mambo ya kwenda Lunch usirudi hadi kesho sababu hukuwapa chanjo kuku wako shambani wajifunze kuyasahau.
sisi ambo tupo private sector kwa miaka mingi ni kawaida sana hiyo situation. tumeshazoea.

sometimes tunalazimika kwenda job mpaka siku za kwenda ibadani(ijumaa na jumapili).

kazi kwenu watumishi wa umma mliozoea kufanya kazi kiujanja ujanja. karibuni DP World
 
Da Sina Neno
 
Kwa mfanyakazi bora kubaki TPA wakuhamishie huko kigoma au Rukwa maana hao walizoea kazi kwa mazoea akitamani huo mpunga mrefu basi akubali mziki wa private
Kubaki #TPA kuna Ridandasi itapita soon so ni kama kuna force ya kuwasukuma wafanyakazi kwenda kwa muarabu na muarabu ana chujio lake ametega sehemu anachosubiri ni kwanza waingie then ataanza kushikishwa njia mmoja mmoja(divaidi and lulu)
 
Mkataba unasema sababu za kufukuzwa ni zile zile kama #TPA tu
Wizi uzembe kazini
Tofauti huwa ni tafsiri, ufuatiliaji na usimamizi wa kilichopo kwenye mikataba. Serikalini si rahisi kuondolewa kwa uzembe, mfano kutoroka kwa kujirudia rudia baada ya lunch ni uzembe ambao ukifanyika serikalini hauna madhara sana ila private unakuondoa kazini.
 
Hili lipo wazi. Masuala ya utumishi nilishamalizana nayo boss ila nakuelewa, nimepita huko.
 
DP kuna posho nje na mshahara? Kama ipo poa tu. Unaingia huko unavuna hela nyingi kuliko serikalini wakija kukuondoa kwa namna yoyote ile tayari una mtaji wa kuanzisha miradi yako na maisha yanaendelea fresh tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…