Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkataba unasema sababu za kufukuzwa ni zile zile kama #TPA tuPrivate kutimuliwa saa yoyote. Wajipange kufanya kazi, mambo ya kwenda Lunch usirudi hadi kesho sababu hukuwapa chanjo kuku wako shambani wajifunze kuyasahau.
Wafanyakazi walihoji baada ya hiyo miaka 30 tutaenda wap ?Umeona wapi kuwa hakuna mkataba wa miaka 30 ?
sisi ambo tupo private sector kwa miaka mingi ni kawaida sana hiyo situation. tumeshazoea.Private kutimuliwa saa yoyote. Wajipange kufanya kazi, mambo ya kwenda Lunch usirudi hadi kesho sababu hukuwapa chanjo kuku wako shambani wajifunze kuyasahau.
Da Sina Neno•Tayari wamechukua udhibiti wa mzizima port
•Wanaendelea kuleta vifaa vyao vya kisasa zaidi (of course ni vya kisasa)
•Wamechukua GATI number 1 mpaka 7 kwa wasiojua kuhusu Hizo gati wanadhani kuna zingine zimebaki kifupi jamaa wamechukua Mzizima port yote wamebakiza gati za mafuta tu ambazo huku wahusika saana ni makampuni binafsi pia #TPA NO MORE at mzizima port
•Wameanza kutoa mikataba ya awali wa wafanyakazi hapa maslahi yameongezeka kwa 60%
•Posho ya 40K kwa siku muarabu yeye kaweka 70K per day NEEMA HII
•Muda wa kazi ni masaa 9 tu kwa siku
•Ukijiunga na Muarabu unatolewa kwenye data base ya watumishi wa umma
•Ukikataa Kujiunga na muarabu hakuna uhakika wa kuendelea kubakia U-TPA kwani kuna Ridandasi itapita
•Kwa watakaobaki U-TPA lazima waamishiwe sehemu zingine, DAR NO MORE
•Watakaoenda kwa Muarabu watakuwa na maslahi Mara 4 ya watakaobaki U-TPA
•Muarabu anaanza kutoa mikataba ya awali kwa wafanyakazi wa TPA then baadae ndio atatoa ya kudumu .
•Mkataba wa muarabu una pensheni pia
Kubwa zaidi ni kuwa
HAKUNA MKATABA WA MIAKA 30 UKWELI NI KUWA MUARABU KAICHUKUA JUMLA
Tuelimishanee
BABA CATHE
Prem 96
Kubaki #TPA kuna Ridandasi itapita soon so ni kama kuna force ya kuwasukuma wafanyakazi kwenda kwa muarabu na muarabu ana chujio lake ametega sehemu anachosubiri ni kwanza waingie then ataanza kushikishwa njia mmoja mmoja(divaidi and lulu)Kwa mfanyakazi bora kubaki TPA wakuhamishie huko kigoma au Rukwa maana hao walizoea kazi kwa mazoea akitamani huo mpunga mrefu basi akubali mziki wa private
Tofauti huwa ni tafsiri, ufuatiliaji na usimamizi wa kilichopo kwenye mikataba. Serikalini si rahisi kuondolewa kwa uzembe, mfano kutoroka kwa kujirudia rudia baada ya lunch ni uzembe ambao ukifanyika serikalini hauna madhara sana ila private unakuondoa kazini.Mkataba unasema sababu za kufukuzwa ni zile zile kama #TPA tu
Wizi uzembe kazini
wizi uzembe na kutotambua wajibu haukubaliki popote!!Private kutimuliwa saa yoyote.
Na ndio raha ya private,ukiwa mvivu kama wale jamaa hata nisipotimiza wajibu wangu mwisho wa mwezi mshahara unaingia kushneyPrivate kutimuliwa saa yoyote. Wajipange kufanya kazi, mambo ya kwenda Lunch usirudi hadi kesho sababu hukuwapa chanjo kuku wako shambani wajifunze kuyasahau.
Hili lipo wazi. Masuala ya utumishi nilishamalizana nayo boss ila nakuelewa, nimepita huko.sisi ambo tupo private sector kwa miaka mingi ni kawaida sana hiyo situation. tumeshazoea.
sometimes tunalazimika kwenda job mpaka siku za kwenda ibadani(ijumaa na jumapili).
kazi kwenu watumishi wa umma mliozoea kufanya kazi kiujanja ujanja. karibuni DP World
Soma Article 23 hadi 24 ya Mkataba ule uliovujaUmeona wapi kuwa hakuna mkataba wa miaka 30 ?
Na mwarabu anajua, anachofanya ni kutoa chambo ya mshahara mnono halafu anasubiri uanze ulevi wako akupunguze.Na ndio raha ya private,ukiwa mvivu kama wale jamaa hata nisipotimiza wajibu wangu mwisho wa mwezi mdhahara unaingia kushney