•Tayari wamechukua udhibiti wa mzizima port
•Wanaendelea kuleta vifaa vyao vya kisasa zaidi (of course ni vya kisasa)
•Wamechukua GATI number 1 mpaka 7 kwa wasiojua kuhusu Hizo gati wanadhani kuna zingine zimebaki kifupi jamaa wamechukua Mzizima port yote wamebakiza gati za mafuta tu ambazo huku wahusika saana ni makampuni binafsi pia #TPA NO MORE at mzizima port
•Wameanza kutoa mikataba ya awali wa wafanyakazi hapa maslahi yameongezeka kwa 60%
•Posho ya 40K kwa siku muarabu yeye kaweka 70K per day NEEMA HII
•Muda wa kazi ni masaa 9 tu kwa siku
•Ukijiunga na Muarabu unatolewa kwenye data base ya watumishi wa umma
•Ukikataa Kujiunga na muarabu hakuna uhakika wa kuendelea kubakia U-TPA kwani kuna Ridandasi itapita
•Kwa watakaobaki U-TPA lazima waamishiwe sehemu zingine, DAR NO MORE
•Watakaoenda kwa Muarabu watakuwa na maslahi Mara 4 ya watakaobaki U-TPA
•Muarabu anaanza kutoa mikataba ya awali kwa wafanyakazi wa TPA then baadae ndio atatoa ya kudumu .
•Mkataba wa muarabu una pensheni pia
Kubwa zaidi ni kuwa
HAKUNA MKATABA WA MIAKA 30 UKWELI NI KUWA MUARABU KAICHUKUA JUMLA
Tuelimishanee
BABA CATHE
Prem 96