DP World: Zungu atinga mkutanoni na mafaili ya makubaliano

Ikiwa wewe unajuwa, kwanini tena unauliza swali?

Wewe baki na navyojuwa na sisi tuwache tubaki na tunavyojuwa. Lakini jipume nafanikio, yako wewe na ya hao unaoona hawajuwi. Utapata jibu.


Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Zaidi ya uchawi pia ni mchawi, halafu alikuwa anauza unga, akapumzika Magufuli alivyoshika nchi, nadhani kwa utawala huu utarudia mambo yake
 
adeal kwanza na soko lake jeusi la ilala
 
Stay in your idiotry as long as your curse is not inherited by others.
 
Zaidi ya uchawi pia ni mchawi, halafu alikuwa anauza unga, akapumzika Magufuli alivyoshika nchi, nadhani kwa utawala huu utarudia mambo yake
Muongo. Wakuja wewe utamjuwaje zungu?

Ma shaa Allah, Zungu ni moja katika watu wenye ubora wa hali ya juu Tanzania hii.
 
Saa hizi ni masaa al kheir.

Tumpe Mama Samia mauwa yake kwa hili la Bandari.

Mama Samia, kwa upendo, heshima na taadhima pokea mauwa yako👇🏾


View attachment 2660603


Mama Samia anaupiga mwingi Kimataifa.
Rais Samia Ni zawadi kwetu watanzania tunayopaswa kujivunia kuwa nayo hapa nchini,Watu na viongozi aina ya Rais Samia hawazaliwi kila siku na hawapatikani kila mahali,huja Kama zawadi na huja na Neema mkononi kwa mamilioni ya watu,huja Kama nuru katikati ya Giza,huja Kama Tumaini kwa waliokata Tamaa,huja Kama Faraja kwa wabubijikwao na machozi.
 
 
 

Attachments

  • IMG_0667.MP4
    1.4 MB
  • IMG_0666.MP4
    2.8 MB
  • IMG_0644.MP4
    11.8 MB
Mtanikumbuka
 

Attachments

  • IMG_0547.MP4
    3.4 MB
  • AB9C972C-F91A-45A2-87E6-51BCD5C40291.jpeg
    32 KB · Views: 3
  • 94197970-2575-4EFD-9723-9E1C2A548340.jpeg
    75.7 KB · Views: 3
  • 4C0CEC6F-8239-4B44-BE93-3810861BDBD7.jpeg
    131.1 KB · Views: 4
  • 8D3AB945-D2CE-4D0F-B494-E0901DAB9ED4.jpeg
    55.3 KB · Views: 4
Dah, umenitowa machozi.

Ukitazama ya kkna mbowe ya masheikh, ya walioikimbia nchi, ya waluofukuzwa kazi bila kufatwasheria, ya plea bargain, ya..ya...ya....

Na mama alivyiwarudishia uhai na matumaini ndani ya muda mchache wa utawala wake.

Ma shaa Allah kweli Mama ni tunu na zawadi adimu kutoka Mwenyezi Mungu kwa Taifa letu.



Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Amesema mkataba ukishapita ndipo Tz itaingia mkataba na DP-World ambapo ndipo wataenda kuweka mbele maslahi ya nchi sio sasa kwenye IGA(Inter Government Agreement)
Huku ni kutapatapa kwingi na kupotosha.
Huo mkataba wa IGA hauna maana yoyote? Kwa nini waliingia mkataba huo kama hauna maana.

Huo mkataba wa IGA una makubaliano gani waliyokubaliana na yote hayana athari zozote kwa Tanzania?
Kama huo mkataba wa IGA hauna madhara yoyote, kwa nini upelekwe Bungeni kupoteza muda wa wabunge na jambo lisilokuwa na athari yoyote kwa nchi

Hiyo mikataba ya DP World, ikishindikana kukubaliana juu ya hiyo mikataba, mambo yataishia hapo na kuwaambia hatuwezi kufanya kazi nao waondoke waende zao, tutatafuta watu wengine wa kufanya nao kazi hizo?

Mnahangaika sana na huu mkataba na kufanya kila muwezalo kuwalaza akili watu, lakini hamtafanikiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…