DP World: Zungu atinga mkutanoni na mafaili ya makubaliano

 

Attachments

  • IMG_0779.MP4
    1.4 MB
Sasa hivi unauliza, kwanza si ulishamuwa hiyo? Umesahau mwongo mkubwa wewe.

Ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu.

Punguani wahed.


Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Duh, mwislam unaporomosha matusi Kama hayo!
Haki ya uislam iko wapi bibie!

Huyo bidada hata hajakukosea chochote!

Mbona mabraza wengi humu wanakuattack na kukukashifu na unawajibu kwa upole?

Kweli waislam wapo wachache!
 
Duh, mwislam unaporomosha matusi Kama hayo!
Haki ya uislam iko wapi bibie!

Huyo bidada hata hajakukosea chochote!

Mbona mabraza wengi humu wanakuattack na kukukashifu na unawajibu kwa upole?

Kweli waislam wapo wachache!
Wacha uongo. Hayo matusi yako wapi? Au huelewi maana ya matusi?

Nitajie maneno niliyoyaandika unayodhani wewe kuwa ni matusi.



Mama Samia anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Naona huelewi maana ya mikataba ya IGA na HGA. Ukiilewa hutouliza tena hilo swali. Isikilize hiyo video clip iliyopo post namba moja, naibu spika anatowa darsa kuhusu ni nini IGA na nini HGA.


Mama Samia anaupiga mwingi Kimataifa.
Hatuwezi kusikiliza darsa la shaytwan.
 
Azuke nayo pale Law School ndipo nitamwona yy ni mwanasiasa makini.
 
Mama
Anaupiga Mwingi
Wenye wivu wajinyonge
Wakristo wanywe sumu
 
Yule Babu apumzike tu, miyeyusho tu.Hajui kuwa ayo makubaliano waliyopitisha Bungeni ndiyo sheria tayari kimataifa!
 
mataifa ya nyoko
 
Ma shaa Allah, kazi ya Mungu haina makosa.


Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Na yeye asipokuwa makini atamfuata Magufuli,maaana wenye nchi wameshakataa Mpango wake tata wa Bandari.
Huyo Kikwete mwenyewe ameshawahi kuitwa na wenye nchi akahojiwa kama raia wa kawaida.
Hiogopeni Vatican, mwambieni Mama yenu akamuulize Mzee Mwinyi kuhusu sakata la OIC!
Hii nchi ni ngumu sana,endeleeni kumpa kichwa!
 
Wabara na waarabu, hizi kauli zako zinachekesha sana jinsi ulivyozitumia katika andiko lako, lakini ndio akili za sasa za watanzania wa kawaida zinavyolipokea hili suala zima.

Ni akili fulani za kikoloni, za kitumwa.
 
Sakata la OIC na suala la DP World ni vitu viwili tofauti kabisa. Havina uhusiano wa aina yoyote ile.

Loliondo ni uuzaji wa wanyama na Mzee Mwinyi baadae alikuja kukiri uchafu uliofanyika.

DP World na Tanzania ni suala la biashara za pande mbili za kukodisha bandari ya TZ. Ukodishaji na uendeshaji mzima wa bandari utategemea mikataba ya kibiashara itakayosainiwa kabla ya kampuni ya kigeni kuanza kufanya shughuli zozote zile.

Siyajui mengine, lakini naweza kusema kuwa mpaka dakika hii SSH hajauza kipande chochote cha Tanzania.
 
Basi Inshallah Sheikh!
 
Hakika mimi naunga mkono ✋ waarabu kuchukuwa bandari, kuna watu wache sana walinufaika na uozo ulio bandarini, kuna mtu binafsi namfahamu anatambua mtaani kila wiki anaondoka na 4m, na hicho ni cha mtoto wale siniors walikuwa wanakula zaidi, yaani kifupi zaidi ya milion 100 ilikuwa inapotea pale bandari ya DAR kila wiki.
 
Yapo nengi sana yatabumburuka.


Mama anaupiga mwingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…