Kwanza Kubenea ni mwandishi wa habari hivyo ana maslahi na hiyo kesi ila Kwa nini Clouds wenye maslahi na hiyo kesi hawajafungua kesi mpaka sasa?
Shida naye mimi na nani?
Kutokuwa na maslahi maana yake nini?
Locus standi
Ni ile hali ya kuonesha Wewe umeathirika au una faida gani au hasara gani unapata kutokana na tukio lililetwa au kukusudiwa kuletwa Mahakamani
Mf. Mimi Pohamba sina Maslahi kwny Kesi ya mgogoro wa KKKT kule Mbeya hivyo kwa namna yeyote ile sina maslahi kwny kesi zinazohusu tukio lile
Toka mwanzo niliona kubenea atagonga mwamba kwa kuwa serikali haina nia na bashite.Kushambulia media moja au mtangazaji mmoja ni kuitia hofu tasnia nzima ya uandishi wa habari isiweze kufanya kazi zake kwa uhuru na weledi unaotakiwa.
Hujawahi kusikia waandishi wanagoma kutoa habari za viongozi kwa sababu mwenzao mmoja amekamatwa?
Unamuonea tu DPP, yeye anafata maagizo tuWamwache akajitetee kama wengine, sheria za kipuuzi sana DPP kupinga mtu kufunguliwa mashtaka, gharama zao wenyewe acha wasikilizwe na mahakama huru, DPP mtu wa ovyo sana kaamua kuwa kada wa CCM kutetea wahuni
Mapingamizi hayo ni, Kubenea kutokuwa na maslahi na maombi hayo.[emoji3064][emoji15][emoji3064][emoji2827]DPP na DCI wameweka mapingamizi manne katika maombi yaliyofunguliwa na Saed Kubenea, kupata kibali cha kumfungulia kesi ya matumizi mabaya ya madaraka, aliyekuwa RC wa Dar es Salaam, Paul Makonda.
Mapingamizi hayo ni, Kubenea kutokuwa na maslahi na maombi hayo.
Pia soma
Maelekezo toka juu.. Lakini Kubenea atakata rufaaKwavipi hana maslahi wakati Kubenea ni mwananchi na mlipa kodi, vinginevyo wanasema watawaliwa hatuhusiki na maovu ya watawala wawapo madarakani! Haiwezekani.
At least for now but not always!Makonda ni Untouchable..
Mkuu kama kweli yeye ni untouchable vipi watu wa USA walimpiga biti asiende kwao?Makonda ni Untouchable..
Kutokuwa na maslahi maana yake nini?
Mkuu kama kweli yeye ni untouchable vipi watu wa USA walimpiga biti asiende kwao?
Clouds hawana USAFI wa kumshtaki Makonda, wanajuana UCHAFU wao.Kwanza Kubenea ni mwandishi wa habari hivyo ana maslahi na hiyo kesi ila Kwa nini Clouds wenye maslahi na hiyo kesi hawajafungua kesi mpaka sasa?
Kwani makonda ni mmarekani kwamba anarudi kwao USA [emoji631]?Mkuu kama kweli yeye ni untouchable vipi watu wa USA walimpiga biti asiende kwao?
Hilo ni pingamizi mbuzi, litapanguliwa kirahisi sana na upande wa Kubenea.DPP na DCI wameweka mapingamizi manne katika maombi yaliyofunguliwa na Saed Kubenea, kupata kibali cha kumfungulia kesi ya matumizi mabaya ya madaraka, aliyekuwa RC wa Dar es Salaam, Paul Makonda.
Mapingamizi hayo ni, Kubenea kutokuwa na maslahi na maombi hayo.
Pia soma
Anazungumzia hapa Tanzania, wahindi ambao untouchable India yaani hawaruhusiwi kuwasogelea waliobarikiwa na mungu hapa Tanzania ndio magabacholi!Mkuu kama kweli yeye ni untouchable vipi watu wa USA walimpiga biti asiende kwao?