DPP, TAKUKURU na Polisi: Wasikilizeni CHADEMA. Kuna jinai kubwa imetendeka


Kabisa, kama Nduga aliweza kumuita Cecil Mwambe ambaye alijiuzulu ubunge kwa tiketi ya cdm kisha kujinga na ccm, halafu baada ya muda akarudishwa bungeni kwa tiketi ya cdm, hapo utasema kuna sheria zozote zinafuatwa. Sasa hivi rais ndio kipo cha utekelezaji wa sheria ndani ya nchi hii. Kwa sasa rais ndio amegeuka katiba na sheria. Unaweza kufanya chochote na kuvunja sheria yoyote, ili mradi iwe inamfurahisha rais. Na watanzania haya tunayaona kwa macho yetu.
 
Hahahaaaa....hili hakuna wa kuligusa
 
Walikaa katika baraza lao kuu?!!!
Ugomvi hapo ni kuwa Mdee amekataa majina ya watu wa Lisu Mbowe, Mnyika, na Mwalimu, na hoja yake ni kuwa Hao watu hawajajenga chama kabisa

Walikaa vikao 3 na vyote wakikubali majina yapelekwe, so hapo ugomvi sio majina kupelekwa ila ni Nani wameenda ndio shida
 
Hakuna usimamizi wa sheria nchini. Usimamizi pekee ni pale wa wadogo wanapotaka kuhatarisha maslahi ya wakubwa.
 
Kilichotendeka,ni state sponsored crime,ujambazi unaofanywa na mfumo,(ccm,serikali,na vyombo vyote vya usalama,hakuna wa kuingilia,watajifanya hawaoni.
Nilipomsikia siku moja,Yule boss wa Takukuru,Tena mjeshi,anasema Swala la watoa Rushwa ambao ni wanachama wa ccm,anakiachia chama Cha ccm,kichukue hatua,ndio nilipojua Hawa watu ni bure kabisa vichwani.
 
Mkuu chadema walikaa vikao na wakikubali majina yaendeee

Kosa la Mdee ni kupeleka majina tofauti na ya wakuu zake ambao Walitaka wawepo

Hiyo ndio shida
 
Alaa kumbeeee....

Ndio mana toka jana nimeushikilia msimamo wa mh.Mdee kuwa MWENYEKITI anajua uwepo wao pale BUNGENI....

Hakitokuwa geni kwa "hao ndugu" kuwapanga WABUNGE WAWATAKAO WAO...sasa mh.Mdee kawa NGANGARI🤣

Mbowe banaaaa...Mzee wa KUBADILI GIA ANGANI!!!
 
Sawa kabisa. Kuna kesi ya jinai hapa.
 

Hakuna taasisi yoyote inaweza kuchukua hatua kwa jambo lolote linaloibeba ccm na mwenyekiti wao. Uchaguzi wa juzi umenajisiwa waziwazi na waliosimamia uchafu huo ni taasisi za kimamlaka za nchi hii.
 
Mkuu chadema walikaa vikao na wakikubali majina yaendeee

Kosa la Mdee ni kupeleka majina tofauti na ya wakuu zake ambao Walitaka wawepo

Hiyo ndio shida
Mi nasubili hiyo ijumaa kikao Cha kamati kuu,kitasemaje kuhusu hili sakata,maana leo,Katibu mnyika,amekana hakuna kikao kilichobariki Hawa 19,kwenda.
 
Kuwafukuza, kwenda mahakamani, will just be a formality. Hili swala halihitaji uchunguzi, ni dhahiri limefanywa na serikali. Itakuwa ni kupeleka shitaka la ngedere mla mahindi kwa hakimu nyani.
 

Hapo ndio unaona umetupoteza maboya na wala hatujui mleta mada anamaanisha nini.
 
Hata wakifukuzwana CDM, amini nakuambia, bungeni hawatoki.
 
Mkuu chadema walikaa vikao na wakikubali majina yaendeee

Kosa la Mdee ni kupeleka majina tofauti na ya wakuu zake ambao Walitaka wawepo

Hiyo ndio shida

Uza ubongo huo unakaa nao kwa hasara.
 
Kuwafukuza, kwenda mahakamani, will just be a formality. Hili swala halihitaji uchunguzi, ni dhahiri limefanywa na serikali. Itakuwa ni kupeleka shitaka la ngedere mla mahindi kwa hakimu nyani.

Exactly, hata ule uchaguzi umeharibiwa na serikali, na aliyeagiza hilo anafahamika vizuri sana. Tatizo lote hili linaletwa na katiba yenye mapungufu ya dhahiri.
 
Tanzania govt takes away rights to file cases against it at African Court

Sasa rasmi mtanzania marufuku kutafuta Haki kisheria. Labda ukatafute Msituni. Wameanza kuitafuta haki yao Mtwara wameingia Lindi. DSM sio mbali. Kabudi na Jiwe lake waendelee kuziba watu vinywa vyao kibabe.
 
Uza ubongo huo unakaa nao kwa hasara.
Ww nimekuzoea hata juzi wakati nakwambia ulisema haiwezekani si umeona Sasa?

Na hata wakivuliwa uanachama watakuwa wabunge wa mahakamani so chadema haitopata faida yoyote zaid ya kuzidi kufa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…