DPW Special Thread: Uzi maalumu kuhusu kampuni ya DP World

DPW Special Thread: Uzi maalumu kuhusu kampuni ya DP World

Mkataba ni nyara ya serikali; haupaswi kuwekwa hadharani mitandaoni
Wasema kweli?

Basi tutatumia hivyo vipande vipande vilivyokwishajadiliwa humu kwa pamoja; badala ya "Makubaliano" yenyewe.

Mkuu 'tpaul' wazo lako hili zuri mbona JF hawalipi umuhimu stahiki na kufanya ulivyopendekeza?
 
Mkuu pandisha kabisa na mkataba wenyewe.
Mwenye soft copy wa mkataba naomba aweke
1688333850690.png
 
Inashangaza sana ila ndio ukweli kwa sasa.

Nyuzi nyingi zimeanzishwa kuhusu DP World, kuna wanaounga mkono na kuna wanaopinga.

Cha ajabu nimechunguza sana na kuona kuwa asilimia kubwa ya wanaopinga au kuanzisha uzi za kupinga ni new member JF, kwanini?
Weka ushahidi bwashee ili tukuamini. Kuna mamia za kupinga huo mkataba wa kijinga, ni ngapi kati ya hizo zimeanzishwa na new members?
 
Pye.... wewe ukitaka hao member wawepo tangu mwanzo wa jf :
1. Je DP-WORLD ilishakuwa imekuja Tanzania?
2. Kwa uelewa wako mdogo unadhani wale member wa zamani ndio wenye haki ya kuleta na kujadili hoja tuu!
3. Next time unapoanzisha mada tumia akili boya wewe!
Umepanick? Unaeza kupita kimya tu ya nini kutukana?
Haya sawa
 
Sijui kwanini huyu bibi ushungi kaamua kuuza nchi yetu (siyo yake) kuhuni hivi.
Angekuwepo Nyerere sijui kama mtu huyu andedumu kwenye kiti kwa masaa mengine yanayoitimiza siku moja. Yungemkuta ameshapigwa pini na ameandika barua kuachana na mambo ya kuongoza nchi.
 
Inashangaza sana ila ndio ukweli kwa sasa.

Nyuzi nyingi zimeanzishwa kuhusu DP World, kuna wanaounga mkono na kuna wanaopinga.

Cha ajabu nimechunguza sana na kuona kuwa asilimia kubwa ya wanaopinga au kuanzisha uzi za kupinga ni new member JF, kwanini?
"...asili mia kubwa..." ngapi?

Unasema umechunguza, tena sana; lakini hata mifano miwili tu huna?

Wewe unadhani kutumia takwimu ni anasa?
 
Babu bul peke yake ameelewa
Wengine mihemko tu, ndio hao hao new member
Ndiyo maana Maccm Yana tumia pesa nyingi kwenye timu propoganda Uongo Mwingi Ukweli kidogo saa ingine hata huo ukweli kidogo Zero

Watanganyika Mungu aturehemu maana huko jehenamu tutakuwa kuñi za kuchomea
 
Inashangaza sana ila ndio ukweli kwa sasa.

Nyuzi nyingi zimeanzishwa kuhusu DP World, kuna wanaounga mkono na kuna wanaopinga.

Cha ajabu nimechunguza sana na kuona kuwa asilimia kubwa ya wanaopinga au kuanzisha uzi za kupinga ni new member JF, kwanini?
3 [emoji845]MUHIMU ISOME[emoji845]
#Tanzania
Katika ripoti ya @WorldBankAfrica ghafla DP World imeibuka [emoji2957]
Sasa ngoja niwaeleweshe [emoji1484]

Sehemu ya mkopo na msaada wa $421 milioni kuna pesa ya kujenga mfumo wa IT wa bandari kupitia TPA. Ripoti ya Benki ya Feb 2023 walisema hakuna maendeleo ILA TPA imesema imeingia makubaliano (MoU) na DP World kujenga mfumo huu wa IT [emoji845][emoji32]

ELEWENI: DP World watalipwa kutoka pesa hizi za mkopo wa Benki ya Dunia kusaidia “mifumo isomane” hawawekezi[emoji845]
Pili kwa mujibu wa serikali walisema ile MoU ya TPA na DPW ni kuhusu mfumo wa IT (tunaambiwa ilisainiwa Feb 2022)
Imekuwaje consultancy ya DPW ya IT imegeuzwa kuwa IGA na tunatoa bandari zetu kwa kusema eti DPW watatusaidia mifumo isomane alafu tunawapa uendeshaji wa bandari ambao UMESHAKAMILIKA kwa uwekezaji mkubwa wa mradi huu?
Hii dili ilianza kama CONSULTANCY na kugeuzwa UPORAJI
Sasa @WBTanzania nyie mnasemaje maana tuna kesi na ninyi pia!
20230703_043057.jpg
20230703_043247.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania tukifanikish ku sitisha ili swala la bandari, mwendo ni ule ule kwenye mikataba mingine kama ya Loliondo mpaka Tanzania irudi maana we have nothing to expect from politicians. Wanasiasa wamefornn coalition against citizens, na sisi we stand against them. Tanzania ni ya watanzania na siyo ya Wanasiasa.
IMG_20210323_161134_951.jpg
 
Watanzania tukifanikish ku sitisha ili swala la bandari, mwendo ni ule ule kwenye mikataba mingine kama ya Loliondo mpaka Tanzania irudi maana we have nothing to expect from politicians. Wanasiasa wamefornn coalition against citizens, na sisi we stand against them. Tanzania ni ya watanzania na siyo ya Wanasiasa. View attachment 2676765
Japo tunayasema yasiyo sahihi mitandaoni dhidi ya Watawala na tuliowachagua wakapuuza, wajue kwamba tunaishi nao mitaani. Kwa karne hii ya TAHEMA, wakikosa madaraka yao ya kisiasa, watatukuta mitaani kama Wahenga walivyonena mpanda ngazi hushuka au aliye juu mngoje chini. Siyo dua la kuku kwani kuna ushahidi wa waliokuwa na madaraka tunao mitaani tunaona maisha yao, labda wachache wanaolindwa na Katiba.

Hatujasahau wala hatusahau
[emoji830]︎ ubadhirifu wa mali ya umma, ulioripotiwa na CAG;
[emoji830]︎ matumizi ya hovyo ya kodi zetu, misaada na mikopo;
[emoji830]︎ usimamizi dhaifu wa rasimali za Taifa;
[emoji830]︎ urasimu na uzembe katika maofisi ya umma;
[emoji830]︎ na kadhalika

Tunachohitaji ni Wanasiasa tuliowapa dhamana ya madaraka na mamlaka, kikatiba, kutimiza wajibu wao kama ulivyoanianishwa kwenye Katiba, na siyo kuyatumia kwa maslahi yao binafsi.

Wenye madaraka na mamlaka ya kikatiba, wakumbuke kuwa japo wengine, kwa Katiba ya sasa wanaendelea kulindwa, kana kwamba bado wako madaraka, ninaamini Katiba mpya itawaondolea tupambane nao mitaani kunako huduma hafifu za jamii, miundombinu isiyoridhisha, mlolongo wa tozo, na kero lukuki za maendeleo.

KAZI IENDELEE na Kuupiga mwingi
 
Back
Top Bottom