Dr. Bashiru: Wale wote waliomtukana Rais Magufuli bado wana mashtaka ya kujibu mbele ya CCM, msamaha waliopata ni wa Dr Magufuli siyo CCM

Rais anatakiwa kuwa ni mtu anayeweza kutukanwa sana bila anayetukana kufunguliwa mashtaka.

Yani, katika watu ambao mtu anaweza kuwatukana vibaya sana, bila kufunguliwa mashtaka, wa kwanza kabisa anatakiwa kuwa rais.

Wananchi wengine wote wanatakiwa kuwa na kinga ya kisheria dhidi ya kutukanwa kumpita rais.

Kwa nini?

Kuna msemo mmoja wa Kifaransa, wanasema "Noblesse Oblige". Maana yake ni kwamba, wanaopewa nafasi kubwa za kuongoza jamii, wanawajibika kubeba mzigo mkubwa zaidi".

Msemo huu unatoka katika Biblia. Bwana Yesu (namuongelea kama mwanafalsafa, si Mungu wala Mtume, kwa wale ambao watataka kurukia hili kuonesha namuamini kidini) alitoa mfano wa talanta katika kitabu cha Mathayo 25: 14 - 30.

Kwa kifupi, alisema kwamba, kama kuna watu vijakazi kadhaa, wamepewa mtaji na bwana wao wakafanyie kazi, wengine wamepewa mtaji mkubwa, wengine wamepewa mtaji mdogo, wakimaliza kufanya kazi zao, nani atadaiwa marejesho zaidi?

Aliyepewa mtaji mdogo atadaiwa arejeshe mapato zaidi ya aliyepewa mtaji mkubwa?

La hasha.

Aliyepewa mtaji mkubwa atadaiwa kurejesha mapato makubwa zaidi.

Kupewa uongozi wa nchi ni kupewa mtaji, mtaji mkubwa. Ukipewa mtaji mkubwa, utadaiwa kuleta mapato makubwa zaidi.

Unapogombea uongozi, inabidi ujitafakari. Ujiulize, mimi naweza mikiki ya public life? Nawez akuwa na ngozi ya mamba ya kutotetereka nikitupiwa mawe? Nina kifua cha kukaa na maneno? Kutojibu matusi kwa matusi?

Kama huwezi, usigombee uongozi.

Waswahili wanasema "ukubwa gunia la chawa". Walielewa kwamba ukubwa unamletea mtu matusi na kejeli, kufanya kazi bila kushukuriwa, lawama n.k.

Noblesse Oblige.

Hizi sheria za kukingia viongozi matusi (Lese Majeste), ni sheria za zama za kisultani an kifalme. Enzi za demokrasia, sheria hizi zimepitwa na wakati.

Hizi ni zama za uhuru wa kujieleza, si zama za censorship.

Rais anatakiwa kuwa mtu w amwisho kabisa kulindwa na sheria dhidi ya matusi.

Lese Majeste is not protection of leaders against insults.

No.

Lese Majeste is an insult to freedom of speech.
Kwa Africa ni heri umkosoe Mungu utasemeheka na si mtawala Wa kiafrica ambae ni sawa na mungu wengi wamepotezwa Africa nzima.Kiongozi Wa nchi yatakiwa uwe na ngozi nne,maji ya moto hayawezichoma nyumba,kelele za mlango zisikunyime usingizi,mtoto ni mtoto tu hata akikukojolea usimtupe.
 
P unakumbuka mheshimiwa mnyika aliwahi kumuita Rais kikwete Bungeni kuwa ni DHAIFU? na hata alipoambiwa kuwa hyi si lugha kistaha hakufuta kauli yale?

Je lile ilikuwa Tusi?je p unajua vzr maana ya lugha ambayo si ya kistaha? tukubali kuwa unaweza kumtukana mtu je Kufanya hivyo ni tiba?

Ni kwel kabisa dunia ya sasa inahitaji uwazi maana si YA kisultan,kitemi,au kifalme, yamkini itoshe kusema stahaa ni jambo JemA sana..

B
Pascal Mayalla,
Nimeuliza hapi juu, kutukana ni nini?

Sijajibiwa.

Kwa msingi huu, hata mtu akisema "hii suti ya leo rais haijamkaa vizuri" anaweza kuambiwa kamtukana rais.
 
Katibu mkuu wa CCM, Dr Bashiru Ally amesema wale wote waliomtukana Mwenyekiti wa CCM, Dr. Magufuli bado wana kesi ya kujibu mbele ya kamati ya nidhamu ya chama.

Dr. Bashiru amesema wale walioomba msamaha na kusamehewa walifanya hivyo kama watu binafsi na Dr. Magufuli aliwasamehe kama mzazi lakini kwenye chama mashtaka yao yapo palepale na muda ukifika wataitwa kujieleza na kuchukuliwa hatua " rasmi" kwa namna itakavyoonekana inafaa kwa mujibu wa katiba ya chama.

Chanzo: ITV habari!
Bashiru, Katibu wa CCM safi sana. Lazima wanachama waashike adabu. Wanaodhani CCM ni kijiwe cha misheni tauni nje!

Ni Jambo la Ajabu kwamba CCM wanashikishana adabu halfu eti unakuwa na mjadala hata wasiohusika na CCM wakitetea waharifu wa ndani ya CCM! Wao walimkosea kiongozi wao. Wameamua kutiana adabu, mulioko nje munashabikia eti huko ndani ya CCM wapewe uhuru wa kumtukana Kiongozi wao. who are you? Yanawahusu nini? Kwani wamepelekwa mahakamani?
 
P unakumbuka mheshimiwa mnyika aliwahi kumuita Rais kikwete Bungeni kuwa ni DHAIFU? na hata alipoambiwa kuwa hyi si lugha kistaha hakufuta kauli yale?

Je lile ilikuwa Tusi?je p unajua vzr maana ya lugha ambayo si ya kistaha? tukubali kuwa unaweza kumtukana mtu je Kufanya hivyo ni tiba?

Ni kwel kabisa dunia ya sasa inahitaji uwazi maana si YA kisultan,kitemi,au kifalme, yamkini itoshe kusema stahaa ni jambo JemA sana..

B
Tatizo letu si kwamba hatuna staha.

Tatizo letu tuna staha ya kupitiliza.

Li rais gubegube linavunja katiba, linapiga marufuku mikutano halali ya kisiasa bika moango, linaingilia biashara ya korosho na kuangusha mapato ya nchi, linatukana kwenye hotuba, linavunja nyumba za watu upande mmoja na kupendelea upande mwingine, halijiheshimu, linasema titapiga mpaka shangazi za wapinzani.

Bado tunatakiwa tulistahi tu?
 
Hata kama ungekua wewe ungefanyaje?,nd an I kuna koboko[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mi naona mbinu kamili ya kuwatimua imesukwa maana magu hataki kabisa kuona au kuskia vijana wa jk kwenye awamu yake nabinasemekana ni timu mbeme
 
Kiranga
We ni senior JF, nashauri urudie kile ulicho andika, mheshimiwa kikwete aliyaacha yote hayo tulipata faida gani? Je tulijenga miundombinu? Je tulijenga vituo vya afya vingi?

Kiranga kila kitu kinapande mbili uchaguzi ni ww ni upande upi uegamie.. kwa sasa Rais amechagua upande huo.. kumtukana Rais c kosa kosa unatumia lugha ipi?
Tatizo letu si kwamba hatuna staha.

Tatizo letu tuna staha ya kupitiliza.

Li rais gubegube linavunja katiba, linapiga marufuku mikutano halali ya kisiasa bika moango, linaingilia biashara ya korosho na kuangusha mapato ya nchi, linatukana kwenye hotuba, linavunja nyumba za watu upande mmoja na kupendelea upande mwingine, halijiheshimu, linasema titapiga mpaka shangazi za wapinzani.

Bado tunatakiwa tulistahi tu?
 
Kiranga
We ni senior JF, nashauri urudie kile ulicho andika, mheshimiwa kikwete aliyaacha yote hayo tulipata faida gani? Je tulijenga miundombinu? Je tulijenga vituo vya afya vingi?

Kiranga kila kitu kinapande mbili uchaguzi ni ww ni upande upi uegamie.. kwa sasa Rais amechagua upande huo.. kumtukana Rais c kosa kosa unatumia lugha ipi?
Kikwete aliyaacha yote hayo yapi? Lini?

Unaelewa Kikwete ndiye kaleta sheria ya kuminya uhuru wa habari, kabla Magufuli hajawa rais?

Na unaelewa kwamba kama uhuru wa habari ni sehemu ya kupata maendeleo, lakini uhuru wa habari hauleti maendeleo bila ya watu kuelimika, kama rais akiruhusu uhuru wa habari, na nchi ikashindwa kuendelea kwa sababu watu hawana elimu, kushindwa kuendelea huko hakutikani na uhuru wa habari, bali na kukisekana kwa elimu, na hivyo, ufumbuzi wa kupata maendeleo si kuminya uhuru wa habari bali kuongeza elimu?

Unaulixa natumia lugha ipi, kwa mujibu wa nani?

Naweza kumsalimu mtu "hello", kwa nia nzuri, mtu mwingine akaona nimemkoga kwa salamu ya kigeni. Mwi gine atasema nimemtukana.
 
Rais anatakiwa kuwa ni mtu anayeweza kutukanwa sana bila anayetukana kufunguliwa mashtaka.

Yani, katika watu ambao mtu anaweza kuwatukana vibaya sana, bila kufunguliwa mashtaka, wa kwanza kabisa anatakiwa kuwa rais.

Wananchi wengine wote wanatakiwa kuwa na kinga ya kisheria dhidi ya kutukanwa kumpita rais.

Kwa nini?

Kuna msemo mmoja wa Kifaransa, wanasema "Noblesse Oblige". Maana yake ni kwamba, wanaopewa nafasi kubwa za kuongoza jamii, wanawajibika kubeba mzigo mkubwa zaidi".

Msemo huu unatoka katika Biblia. Bwana Yesu (namuongelea kama mwanafalsafa, si Mungu wala Mtume, kwa wale ambao watataka kurukia hili kuonesha namuamini kidini) alitoa mfano wa talanta katika kitabu cha Mathayo 25: 14 - 30.

Kwa kifupi, alisema kwamba, kama kuna watu vijakazi kadhaa, wamepewa mtaji na bwana wao wakafanyie kazi, wengine wamepewa mtaji mkubwa, wengine wamepewa mtaji mdogo, wakimaliza kufanya kazi zao, nani atadaiwa marejesho zaidi?

Aliyepewa mtaji mdogo atadaiwa arejeshe mapato zaidi ya aliyepewa mtaji mkubwa?

La hasha.

Aliyepewa mtaji mkubwa atadaiwa kurejesha mapato makubwa zaidi.

Kupewa uongozi wa nchi ni kupewa mtaji, mtaji mkubwa. Ukipewa mtaji mkubwa, utadaiwa kuleta mapato makubwa zaidi.

Unapogombea uongozi, inabidi ujitafakari. Ujiulize, mimi naweza mikiki ya public life? Nawez akuwa na ngozi ya mamba ya kutotetereka nikitupiwa mawe? Nina kifua cha kukaa na maneno? Kutojibu matusi kwa matusi?

Kama huwezi, usigombee uongozi.

Waswahili wanasema "ukubwa gunia la chawa". Walielewa kwamba ukubwa unamletea mtu matusi na kejeli, kufanya kazi bila kushukuriwa, lawama n.k.

Noblesse Oblige.

Hizi sheria za kukingia viongozi matusi (Lese Majeste), ni sheria za zama za kisultani an kifalme. Enzi za demokrasia, sheria hizi zimepitwa na wakati.

Hizi ni zama za uhuru wa kujieleza, si zama za censorship.

Rais anatakiwa kuwa mtu w amwisho kabisa kulindwa na sheria dhidi ya matusi.

Lese Majeste is not protection of leaders against insults.

No.

Lese Majeste is an insult to freedom of speech.
Acheni waisome namba !!
 
Hilo linaitwa guluba yaani ugomvi usioisha,walevi ndio zao,mlevi anaweza gomba usiku kucha, asubuhi ukimuuliza alikuwa anagomba nini asiweze kukujibu.sasa hakina Nape tusi gani kubwa kiasi hicho lisilosameheka.huyu mhaya naye shobo tu.
 
Rais anatakiwa kuwa ni mtu anayeweza kutukanwa sana bila anayetukana kufunguliwa mashtaka.

Yani, katika watu ambao mtu anaweza kuwatukana vibaya sana, bila kufunguliwa mashtaka, wa kwanza kabisa anatakiwa kuwa rais.

Wananchi wengine wote wanatakiwa kuwa na kinga ya kisheria dhidi ya kutukanwa kumpita rais.

Kwa nini?

Kuna msemo mmoja wa Kifaransa, wanasema "Noblesse Oblige". Maana yake ni kwamba, wanaopewa nafasi kubwa za kuongoza jamii, wanawajibika kubeba mzigo mkubwa zaidi".

Msemo huu unatoka katika Biblia. Bwana Yesu (namuongelea kama mwanafalsafa, si Mungu wala Mtume, kwa wale ambao watataka kurukia hili kuonesha namuamini kidini) alitoa mfano wa talanta katika kitabu cha Mathayo 25: 14 - 30.

Kwa kifupi, alisema kwamba, kama kuna watu vijakazi kadhaa, wamepewa mtaji na bwana wao wakafanyie kazi, wengine wamepewa mtaji mkubwa, wengine wamepewa mtaji mdogo, wakimaliza kufanya kazi zao, nani atadaiwa marejesho zaidi?

Aliyepewa mtaji mdogo atadaiwa arejeshe mapato zaidi ya aliyepewa mtaji mkubwa?

La hasha.

Aliyepewa mtaji mkubwa atadaiwa kurejesha mapato makubwa zaidi.

Kupewa uongozi wa nchi ni kupewa mtaji, mtaji mkubwa. Ukipewa mtaji mkubwa, utadaiwa kuleta mapato makubwa zaidi.

Unapogombea uongozi, inabidi ujitafakari. Ujiulize, mimi naweza mikiki ya public life? Nawez akuwa na ngozi ya mamba ya kutotetereka nikitupiwa mawe? Nina kifua cha kukaa na maneno? Kutojibu matusi kwa matusi?

Kama huwezi, usigombee uongozi.

Waswahili wanasema "ukubwa gunia la chawa". Walielewa kwamba ukubwa unamletea mtu matusi na kejeli, kufanya kazi bila kushukuriwa, lawama n.k.

Noblesse Oblige.

Hizi sheria za kukingia viongozi matusi (Lese Majeste), ni sheria za zama za kisultani an kifalme. Enzi za demokrasia, sheria hizi zimepitwa na wakati.

Hizi ni zama za uhuru wa kujieleza, si zama za censorship.

Rais anatakiwa kuwa mtu w amwisho kabisa kulindwa na sheria dhidi ya matusi.

Lese Majeste is not protection of leaders against insults.

No.

Lese Majeste is an insult to freedom of speech.
Kwa taifa la wajinga kama bongo hii ipo tofauti
 
Interesting
Keu words
Nobble oblige
Lesse Majeste
 
Matusi ni nini? Kipi ni tusi na kipi ni ukweli tu ambao rais hataupenda?

Unajuaje nikisema "John Magufuli ni mshamba wa kutupwa" hilo ni tusi la kumvunjia heshima mkuu wa nchi na ni haki nifungwe jela au ni ukweli ambao ni haki yangu ya kikatiba kuueleza?

Kati ya serikali na mwananchi, nani ana mzigo wa kuonesha hili ni tusi na hii ni haki ya kikatiba ya kujieleza tu?
Mimi nilikunukuu tu ulivyosema Rais au mtu akiwa kiongozi wa watu anatakiwa atukanwe sana na aweze kuvumilia "matusi" kuliko mtu wa kawaida.

Sasa tafsiri yoyote ya matusi uliyokuwa ukimaanisha hapo, ndipo hoja yangu ilipo.

Matusi ni matusi. Hata ukileta ujanja ujanja wa maneno hakuna mtu timamu asiyeelewa matusi ni yapi.

Kuna muda unakera sana unavyojitoa fahamu kwa makusudi mzee wangu.
 
Kiranga,
Magufuli halijui hilo bwana kiranga
Amesahau kuwa yeye ni "Mimi sijibiwi hivyo", "Mimi sijaribiwi"

Yeye ni mtu anayewamiliki "wanyonge", maana yake hapo ni kwamba hili ni kundi lisilotakiwa kumhoji chochote bali kumtukuza na kumshukuru tu yeye.

Hawa 'wanyonge' kama hawaoni nguvu alizonazo yeye juu ya maisha yao, wathubutu kufanya kinyume na matakwa yake waone. Kama walimchagua "Mbunge aliyewatelekeza" kwa kwenda kufaidi raha zake ulaya, atawanyima huduma ya maji hadi hapo chama chake kitakapowateulia Mbunge anayewafaa wanyonge hao.
 
Katibu mkuu wa CCM, Dr Bashiru Ally amesema wale wote waliomtukana Mwenyekiti wa CCM, Dr. Magufuli bado wana kesi ya kujibu mbele ya kamati ya nidhamu ya chama.

Dr. Bashiru amesema wale walioomba msamaha na kusamehewa walifanya hivyo kama watu binafsi na Dr. Magufuli aliwasamehe kama mzazi lakini kwenye chama mashtaka yao yapo palepale na muda ukifika wataitwa kujieleza na kuchukuliwa hatua " rasmi" kwa namna itakavyoonekana inafaa kwa mujibu wa katiba ya chama.

Chanzo: ITV habari!
Kuna MTU muliemkusudia hapo lkn yule siwa kujipendekeza
 
Back
Top Bottom