Camp Gilgal
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,453
- 4,592
Sure! Lakini huo ni mtihani mkubwa kwake.Atawafikia tu. Hata mimi siyo ccm ila nina imani na msgufuli siyo ccm. Tusubiri june akishika kila kitu atafanya ksma rais wa china ataanzia ktk ccm alishasema hataki kuishi na wsnafiki
Peleka upuuzi wako bawachaSina tatizo na kila Mtuhumiwa kupelekwa mahakamani maana hiyo sehemu ya mtu kujietetea !
Lajini anayedhani magifuli ni Mtakatifu na anaweza kukata Tawi alilokalia anajidanganya !
Kuhusu Lowassa anayesubiri kupelekwa mahakamani kwa issue ya Richmond anajidanganya !
Labda atanguliw Yeye kikwete
Mawaziri waliotajwa bungeni na makatibu wakuu !
Hapa Mbwembwe !!
Hapa sio CCM bali ni magufuri aliyeamua kwani uozo wote huu umefanyika chini ya mwenyekiti wa sasa wa CCMSawa, Serikali ya CCM awamu ya Tano haina undugu na yeyote, ubadhirifu wa fedha za uma ni makosa wacha sheria ifuate mkondo wake, na haki ionekane kwa pande zote.
Sasa mkuu unajuaje kama mitandao ndio imevujisha hizi ishu na sio system yenyewe??Tunamshukuru Mh Rais kwa lipi? Kama mitandao isinge weka wazi haya mambo system yote ilikuwa imesha mlinda. Na ungekuta jamaa sasa ni balozi akiendelea kuula
Wawapokonye mali zao hapo itakuwa safi zaidi...lakin kumfunga mtu miaka mitatu kisha aendelee kutumbua hela alizoiba bora waache tu
Si andamana tu mkuu kunamtu kakuzuiyambona lowasa hapandishi mahakamani...lowasa fisadi sana yule jamaa...naitaka serikali impandishe mahakamani haraka sana....la sivyo sisi vijana wazalendo tutaandamana hadi ikulu
Kama ni kweli kumbe ndiyo maana mameneja aliyewapachika upande wa manunuzi tena wa imani yake waliambaa baada ya kupiga madili huko NSSF!!!! Commander Valentino fanya uchunguzi wa kina, madili mengi yalipitishwa wakati wa utawala wa Alhaji Dau!! this is according to investigative and reliable newspapers!!!Sasa ni wazi masaa na dakika za Dr. Dau (Mkurugenzi mstaafu wa NSSF) kukaa uraiani zinahesabika, baada ya jana Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa kumhoji "kumfanyia interogation" kwa zaidi ya masaa 4. Hii inatokana na unadhirifu wa zaidi ya Billion 179 uliofanyika chini yake akiwa ni DG wa NSSF..
Dr. Dau anashitakiwa kwa makosa zaidi ya 5 ikiwemo ubadhirifu na matumizi mabaya ya madaraka, kinyume na sheria ya PCCA No. 11/2007...
NB: Asante Rais Magufuli kwa kuamua kupambana na mafisadi na majizi, waliotuibia kwa zaidi ya miaka 10.
Kwani alitajiwa nchi anayokwenda? Nadhani atakuwa balozi wa magenge ya wafungwa huko Segerea.Jamani huyu si tuliambiwa atakuwa balozi, kumbe yamekuwa hayo tena, mweeeeeeee
Mnanyanyasa sana huyo mzee wa watu mwacheni apumzike...sidhani kama ni sahihi kumhusisha na kila uozo ilhali mambo mengine yapo ndani ya maamuzi ya wahusika...Hapa sio CCM bali ni magufuri aliyeamua kwani uozo wote huu umefanyika chini ya mwenyekiti wa sasa wa CCM
Kweli mkuu bila mijizi yote inajuilikana hawahitaji tochi kama kweli magu atafanya kazi kweli basi haponi MTU na yeye anajuwa kila kitu si alikuwemo serekali ni miaka 20 asijuwe mijizi na mikataba fekiYAANI MITANDAO NI MUHIMU SANA KATIKA KUREKEBISH NA KUKOSOA. NA NDIO MAANA WALIFIKIA WAKATI MAFISADI WA TANZANIA WAKATENGENEZA SHERIA YA MITANDAO ILI WATU TUSIONGEE.
LAKINI KAMA SIYO MITANDAO YOTE YASINGEJULIKANA.
TUNAOMBA RAIS MAGUFULI AFUTE ILE SHERIA KANDAMIZI YA MITANDAO ILI TUMSAIDIE KUFICHUA MENGI NA UONGOZI WAKE UWEZE KUFANIKIWA KWA MANUFAA YA WATANZANIA NA SIYO WACHACHE KAMA ILIVYO SASA.
HUYU NI MNAFIKI NA NAHISI ALIKUWA MNUFAIKA WA HAYA MADUDU.mnafiki on the move....nae atumbuke2
je MKAPA NA KIKWETE watafikiwa?maana nao ni MAFISADIKazi ipo ,mwaka huu kuna watu watajinyonga tu. Maana mibuyu inadondoka . Lakini nina hofu na mzee wa kuzungusha mikono ,sijui watamfikia?
Ha ha ha ha
Mnayoyataman hayawezi kuwaaa...
Roho zinawasokota sana lkn mwisho wa siku mtabakia na maumivu zaid...
Hebu tupe chanzo cha taarifa yako tuipitie..
Report ya Takukuru inaonesha kuwa Nssf chin ya Dr Dau ndiyo least corrupt institution in Tz..wao wenyewe wanalijua hilo..