Tetesi: Dr. Dau kufikishwa mahakamani. Yasemekana kahojiwa TAKUKURU

Status
Not open for further replies.
Wawapokonye mali zao hapo itakuwa safi zaidi...lakin kumfunga mtu miaka mitatu kisha aendelee kutumbua hela alizoiba bora waache tu
kwa hapa bongo hilo halipo aise
 
Kama maghufuli hatajitumbuwa kwa nyumba za serikali MV Dar es salaam na meli ya samaki nitamuona ni mnafiki sana msumeno ukate kote sio kuchagua na kama Mkapa na KIkwete sitawaona basi ajenge nchi kwa kutuletea miradi sitahiki sio sifa
Bongo lala wewe hivi una akili kweli????
 
.....ANGEIGUSA "ESCROW" NINGEMKUBALI ZAIDI.
ESCROW NI YA JUZIJUZI TENA BADO MBICHI KABISA.
 
Anku
 
Lakini nani alikuwa mhusika mkuu katika wizara husika??

KwaniDAU yeye ndiye alikula hzo pesa za NSSF au ni watendaji wake ambao yeye alishindwa kuwasimamia na kufuatilia vizuri.
 
Wale waliokuwa wanamtetea dau wapo wapi?
 
Boss wa Takukuru Hosea alishafukuzwa kwa tuhuma hizihizi za rushwa..
 
Kama maghufuli hatajitumbuwa kwa nyumba za serikali MV Dar es salaam na meli ya samaki nitamuona ni mnafiki sana msumeno ukate kote sio kuchagua na kama Mkapa na KIkwete sitawaona basi ajenge nchi kwa kutuletea miradi sitahiki sio sifa
Meli ya 1979 kwa 7.9bn halafu unakaa kimya .....lazma nae atumbuliwe tu mda ukifika
 
.....ANGEIGUSA "ESCROW" NINGEMKUBALI ZAIDI.
ESCROW NI YA JUZIJUZI TENA BADO MBICHI KABISA.
Escrow hawezi kuigusa.. Waliokula ni ndugu zake wa kanda ya ziwa na kanisa lake katoliki... Hata hivyo amshughulikie huyu dau kwanza
 
Akili zako huwa unatumia kusoma misafu msikitini nini???
 
Tunataka serikali ya sampuli hii, no one is above the law
 
Escrow hawezi kuigusa.. Waliokula ni ndugu zake wa kanda ya ziwa na kanisa lake katoliki... Hata hivyo amshughulikie huyu dau kwanza
Msiwe na was I wasi huko kote atatumbua majipu si alikuwemo bungeni unajuwa kila kitu anawavutia pumzi tu
 
Kama maghufuli hatajitumbuwa kwa nyumba za serikali MV Dar es salaam na meli ya samaki nitamuona ni mnafiki sana msumeno ukate kote sio kuchagua na kama Mkapa na KIkwete sitawaona basi ajenge nchi kwa kutuletea miradi sitahiki sio sifa
Kwan ushatumbuliwa? Mbona povu linaanza kukutoka mapema
 
Escrow hawezi kuigusa.. Waliokula ni ndugu zake wa kanda ya ziwa na kanisa lake katoliki... Hata hivyo amshughulikie huyu dau kwanza
mkuu hii ya dau imekaa vibaya mana ccm ndio huchukua hela hizo nakumbuka kipindi cha 2010 mwz ......marehemu mabina aliuza eka 50 ya shamba kwa zaidi ya 700m kwa nssf kilometa 30 nje ya mji kwa maagizo toka ccm.....yeye alibaki na 400m zingine akaambiwa awape ccm mkoa kwa ajili ya uchaguzi.
Dau ataondoka na wengi kwenye hiyo kashfa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…