Tetesi: Dr. Dau kufikishwa mahakamani. Yasemekana kahojiwa TAKUKURU

Status
Not open for further replies.
mbona lowasa hapandishi mahakamani...lowasa fisadi sana yule jamaa...naitaka serikali impandishe mahakamani haraka sana....la sivyo sisi vijana wazalendo tutaandamana hadi ikulu

Magufuli yupo Rwanda kukutana na Kamanda Mkuu wa huko ambaye alikwishasema, 'there is a line, if he crossess ------'

Unapokuwa na rafiki yako lakini rafiki yako ghafla anaamua kuwa rafiki mkubwa wa adui yako, tafsiri yake ni nini? Au anataka kukupa ujumbe gani? Naiona Tanzania na Rwanda, chini ya Kagame na Magufuli watatengeneza one block of leadership and purpose within EAC. Na kwa mbali itaunganishwa na Uganda. Kenya chini ya Uhuru huenda ikawa pembeni.
 

Zito naye ni kati ya watu wanafiki na wenye kuangalia maslahi binafsi.
 
hili jambo siyo rahisi kutokea kwa sasa ,unahitaji kwanza upate uungwaji mkono wa idadi kubwa ya wabunge, jambo ambalo kwa sasa sio rahisi,lakini pia kunahitajika utashi wa kufanya hivyo kutoka kwa wakuu wa taasisi husika
 
Hicho ndicho tunachotaka... Mambo ya CCM kukomba pesa ya serikali yakomee. Kwani upinzani wanapata wapi pesa za kanpeni?? Wao si wanasema wana wanachama Million 8 na zaidi?? Na ni bora safari hii Magufuli kakata kupeleka pesa Lumumba mpaka JK anawaombea vijana wa mtandao kwenye majukwaa
 
eheee, Baghosha, mbona watumbuaga majipu hiv? jamani huyu si ni swala TANO jaman sasa anaswali nini, ebu Mungu Mlipue kumbe kweli si kira mpiga goti na si kira mbenguaji makalio juu, ataiona mbengu.
 
Kama maghufuli hatajitumbuwa kwa nyumba za serikali MV Dar es salaam na meli ya samaki nitamuona ni mnafiki sana msumeno ukate kote sio kuchagua na kama Mkapa na KIkwete sitawaona basi ajenge nchi kwa kutuletea miradi sitahiki sio sifa


Kosa dau kushtakiwa ndo unafiki wa Jpm mbona kiongozi waandamiZi kuanzia enzi za maalumu kina mramba walifungwa,kwani yeye jk alokuwa msafi sana wakati ndo source ya EPA,mtake msitake dau atafungwa tu
 
Daaa kama ni kweli basi ni hatari , sasa ule ubalozi ulikuwa wa nini?Daah
 
Hakuna aliye na ubavu kuhusu sakata la Radda..Escrow...Richmond...nk..nk..nk. sembuse sakata la Dr.Dau.Tuandike tu humu jf na yaishie humuhumu.
Anaweza kumgusa Dr Dau watamwambie sasa mzee unajua sare,mafuta na mbwembwe zote kipindi cha uchaguzi vilitoka wapi,ataambiwa huyu ni mwenzetu wa Lumumba kadi yake ya zamani kuliko yako Mheshimiwa, tutakususia chama 2020 usimame mwenyewe,kama tulivokuweka 2015 tutafanya figisufigu.Bila shaka Dau alikuwepo tu kama kivuli
 
Kile kigorofa chake cha pale kinondoni karibu na kwa mwambalasu ndio kimefika mwisho.
 
Kazi ipo ,mwaka huu kuna watu watajinyonga tu. Maana mibuyu inadondoka . Lakini nina hofu na mzee wa kuzungusha mikono ,sijui watamfikia?
Ngoja nikusaidie wewe kumama! Sema hivi baba riz haponi kwenye huu mtiti!
 
Kuna ule mgodi wa makaa ya mawe kule kyela mkoani mbeya mbona serikali siisikii kuufuatilia na mwenendo wake au washaususa ? Hapo mwanzo niliwah kusikia kuna kiongozi kajimilikisha mali ya umma ilikuwaje?
mkuu tunajadili hili wewe unatuletea kingine, usichanganye madawa.
 
Usemalo ni sawa mana hata 2015 walichukua pesa nyingi huku kwenye mifuko ya jamii....ngoja tuone huu mtinange dau hatakubali kwenda n maji atawataja wote
 
Kweli cheo ni dhamana, naomba nipandishwe cheo zitapungua sana serikalini na ofisi za umma.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…