Akili ndio zinamrudi sasaAmeongeza kwa kusema nchi imepita kwenye kiza kinene ktk kipindi cha miaka 5. Rais wa awamu hiyo hakuheshimu utu, haki na alivunja katiba wazi wazi.
Anaomba tuwe tunarejea histori za wagombea kabla ya kuwapa urais. Kamwe tusirejee tuliyoyapitia.
View attachment 1847668
Nakubaliana na Dr Diallo huwezi kupata katiba kwa kuwategemea wanasiasa kuongoza mchakato.Viongozi wa dini, NGO, wana academia na makundi mengine inawezekana.wana academia wanaweza kuongoza.
[emoji44][emoji44]Eeh alikuwa na file milembeKi ukweli mh. Diallo ameusema ukweli, JPM alikuwa katili , muuaji na mnyanyasaji. JPM alichukiwa na watu kuliko shetani. Diallo amethubutu kusema kweli , hatukujua kuwa alikuwa na file milembe hospital.
Magufuli alikuwa hashindi kwenye chaguzi, alikuwa anashinikiza atangazwe mshindi.Mbona hakupiga kura ya hapana 2020 kwenye mkutano Mkuu wa kumpitisha JPM, hansadi yao inaonesha alishinda kwa asilimia mia moja kabisa.
Huo ni unafiki wa Diallo,na top up huyo ni mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Mwanza. na MNEC.
Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Jizi kama hili nani analitaka..mkwepa kodi mpuuzi kabisaa..walifungiwa na TRA kwa kutokulipa kodi wafanyazi wengi wa star tv wakahama pale wengine walikuwa wanajitolea kufanya kazi..ebu nyie nyamazeni jpm alipambana na majitu ya ajabu..sanaaa..walikomeshwaa sasa hv yanarudi kwa kasi kama hawa kina sexless..watu waliofukuzwaa kwa kuwa na vyeti feki na wauza ngadaaa...
Note this..it will take more than a century to have someone like jpm...
Mmh ...Tz ya V wonderHii ya milembe kiboko
Diallo uyo unamuelekeza wewe?Arudi kusoma vitabu vya Civics topic ya direct and indirect democracy!
View attachment 1847692
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza Dr Anthony Diallo amesema ni makosa makubwa na hatari sana kuwaachia wanasiasa watengeneze katiba ya nchi.
Niliwahi kuambiwa, na mtu mmoja mkubwa sana katika vyombo vya usalama, ambaye kutokana na nafasi yake, ni sharti aongee na Rais kila siku, alisema, 'tuna Rais kichaa, anaweza kuua, anaweza kumfunga mtu yeyote, msidhani ni utani"
Nimefatilia interview ya Diallo, inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii akiishutumu serikali ya JPM, serikali iliyopambana kwa ajili ya wananchi. Naenda kujibu hoja zake kwa niaba ya JPM. Rais ambaye ntampigania mpaka kufa.
1. Kwanza, naomba ujue kuwa kudhamini chama kwenye kampeni hukulazimishwa, wewe kama mwanachama ni wajibu wako. Hivyo usitegemee hela ya wananchi walala hoi, ndio wakulipe pesa eti ulipigana kunusuru chama kushindwa uchaguzi 2015.
2. Eti chama kiwe kinaangalia mtu kabla ya kumuweka kuwania urais,.
Chama chenu ni cha vichaa kwa sababu mlimchagua kichaa. Ina maana hamukuona wengine mpaka mkamuona JPM? Ukweli utabakia kuwa ukweli tu, chama chenu kilikuwa kimeoza. Wananchi tuliwachoka, mlikuwa mafisadi, walafi, wezi, mlikuwa mnanuka. Mkaona mmutumie JPM ili awasafishe maana yeye alikuwa ni msafi.
Mlitegemea JPM atapotoka, na mtamuendesha...ila mligonga mwamba!
Mlitegemea atawasamehe kodi mnazodaiwa ..mabilioni ya pesa...mlitegemea atawaachia mianya muibie chama na serikali.
Eti alikuwa na ulinzi uliotisha? Hivi kwa akili zako na usomi wako ulitegemea JPM atapendwa na mafisadi kama wewe na wanaCCM wenzako? Alijijengea maadui wengi ndani na nje ya nchi kwa ajili ya raslimali za watanzania ambazo nyie kwa miaka mingi mmeshindwa kuzilinda.
Nikukumbushe tu, rais huchaguliwa na Mungu, katika mioyo yenu hamkutegemea JPM awe rais ila Mungu alimleta.
Ntarudi badae kdgo!
Bwiru Boys gani umesoma mjinga wewe? Hujui hata tofauti ya kula na kura?!! Sema ulikuwa unakaa kona ya Bwiru!Mara ya mwisho nikiwa bwiru boys alikuja kutuhonga tukampigie kula jamaa
Nakumbuka alinipa elfu 5 na sikupiga kula